Bidhaa Zilizopigwa Marifuku

Hizi ni bidhaa ambazo uagizaji au usafirishaji wa nje imepigwa marifuku kabisa na sheria yoyote ambayo inatumika

 kwa Taifa Mshiriki (Partner State) juu ya sababu ya kuhusu afya, mazingira, kukinga aina za mimmea na wanyama (flora na fauna) ambazo ziko hatarini za

kuangamia (extincted), usalama na sheria, nakadhalika.
Vifaa hizi zitashikwa na Forodha na itapigwa faini ikijumuisha kufungwa kwa miaka 5 au faini hadi asilimia 50 za thamani za bidhaa na gharama za kuziharibu.

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

  • Vifaa mzei za kielektroniki kama kompyuta/ “laptop”, “monitor” ya kusimama kipekee, friji na seti ya TV,

 (isipokuwa ya matumizi ya kibinafsi ikiidhinishwa).
• Pesa/noti bandia na pesa yoyote ambayo iko chini cha kiwango ambayo imewekwa kama uzito au wema (finess).
• Nyenzo za ponografia za aina zozote za vyombo vya habari (media), ambazo ziko na habari chafu, vitabu, kadi, lithografia au nyenzo zote ambazo zimechapishwa   maandiko/habari chafu.
• Machi ambayo imetengenezwa na fosforasi.
• Kifaa chochote ambacho kimewekwa mhuri wa  nchi ya Taifa Mshiriki au silaha bandia ambayo ni ya kutumika kwa udanganyifu eti ni halisi.
• Vinywaji ambazo zimedistiliwa ambazo ziko na mafuta muhimu au bidhaa za kemikali ambazo zinathiri afya zinajumuisha, “thijone”, “star arise”, “benzoic”, “aldehyde”,

“salicyclic esters”, hyssop na “absinthe”. Bora kama  hakuna kitu ambayo iko kwa aya (paragraph) itawekwa kwa

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content