Ufugaji wa Kuku

Ufugaji wa kuku nine?

Ufugaji wa kuku ni ukuzaji/ufugaji wa wa ndege kama kuku, batamzinga (turkeys), na bukini (geese) ya kibiashara au ya matumizi ya nyumbani.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 101 times, 1 visits today)

Watu muhimu ambao wanahusika kwa ufugaji ni;

  • Wafugaji wa kuku (poultry farmers)
  • Wafugaji wa uzalishaji (breeders) wa kuku na shughuli ya kuangua/kupasua mayai (hatcheries) ambao wanatunza ili zitumike kwa uzalishaji wa vifaranga vya siku moja (day old chick).
  • Mashine ya usindikiaji/kutengeneza vyakula vya kuku
  • Muuzaji wa madawa za kuku kwa maduka za madawa za kutibu wanyama.
  • Mwenye biashara ya bidhaa za kuku

  • Ukitaka kusajili jina la biashara ya kuku, unaweza kutembelea Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB).
  • Utapewa cheti cha kusajili Kampuni au cheti cha kusajili jina la biashara.
  • Wahusika kwa sekta wa kutoa mpango kama mtu anataka kufungua ofisi, kupokea leseni la biashara kutoka kwa KCCA / Munispaa
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (ili upate TIN).

Tafadhali jua:

Baada ya kusajiliwa mkulima anafaa kufuata/kutii Sheria ya Idara ya uzalishaji (husbandry) wa wanyama kutoka kwa Wizara ya Kilimo,Mnyama, Kiwanda na ufugaji wa Uvuvi (fisheries).

  • Kitambulisho cha Kitaifa (ID)
  • Cheti cha Kusajiliwa.

Kwa mtu asiye binafsi /Kampuni (non individual)

  • Fomu ya Kampuni 20
  • Cheti cha kuingiza/Kusajili Kampuni/Shirika

Bonyeza hapa ili upokee habari kwa kina kuhusu kusajili biashara ya mifugo

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (individual)
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu asiye wa binafsi / Kampuni (non individual)

Bonyeza / finya hapa ili uone haki na wajibu wako kama mlipakodi

Kodi ya Shirika (Corporation tax)

Kiwango/cheo cha kodi kwa Kampuni ni 30% kwa mapato ya taasisi (entity) ambazo zinafaa kutozwa, kodi ni (jumla ya mapato halafu kutoa mapunguzo ambazo zinakubalika)

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu uhesabu wa kodi ya Shirika.

Kodi kwa mapato ya mtu binafsi (individual tax)

Kodi ya mapato kwa mtu binafsi inategemea kikundi cha mabano (bracket) ambayo mapato ya mtu binafsi ikomu

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu cheo cha kodi ya mapato ya mtu binafsi.

Tafadhali jua:

Kodi ya kutozwa kama unaingiza mapato (PAYE) itakuwa kwa walio kwa sekta ambayo inajiri wafanyakazi wa (utawala au wanaolipwa kila siku) ambao wanapokea zaidi ya jumla ya 235,000 kila mwaka. Aina ya kodi hii inabakishwa kila mwezi.

WHT na VAT itakuwa kwa waliotengeneza/usindikiaji (processing) wa vitu vya sekta ya kilimo na vyakula (kuongeza thamani) isipokuwamu nafaka ya ngano (wheat grain)

Kodi ya kubakisha WHT ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo (source) na (mtu ambaye amethibitishwa kubakisha) kama amefanya malipo kwa mtu mwingine (payee). Kama mwenye anafuga kuku amesambaza bidhaa zinayozidi milioni 1. Mtu ambaye amepokea/amesambazwa anafaa kutoza WHT kwa cheo cha 6%. Mkulima atapokea Cheti Cha kuthibisha kufanya/kumaliza Malipo (TCC)

ambayo itasadia wakati wa kupunguza deni ya kodi akirejesha retani ya kodi ya mwisho.

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) ni kodi kwa matumizi ambayo inatozwa kwa 18% kwa bidhaa zote ambazo zimesambazwa na mtu ambaye anafaa kutozwa kodi, Kiwango cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo ambayo yanazidi 150m, au 37.5 kwa miezi mitatu ambazo zinafuatana.

Baada ya kusajili retani unahitajika kulipa kodi kupitia kwa jukwaa (platforms) kama benki, pesa kwa simu ya rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, USSD (code) (*285#) na kadhalika.

Tafadhali jua: Yakwamba tarehe kamili ya kurejesha retani ni tarehe ya malipo

Add to Bookmarks (0)
Skip to content