Usindikiaji (processing) wa kilimo ni sekta ndogo ya utengenezaji wa kutumia nyenzo (material) za kilimo (agricultural raw materials) na zinatengenezwa kuwa bidhaa ambazo zimekamilika. Kwa hivyo kiwanda cha usindikiaji wa kilimo inahusiana na kuongeza thamani kwa nyenzo/bidhaa (material) za kilimo na kuzibadilisha kwa bidhaa ambazo zinaweza kutumika.
Kwa mfano nyama na samaki ambayo imefanywa usindikiaji (processed meat and fish), kuweka karanga (peanut paste) “odii”, utengenezaji wa bidhaa za kutoka kwa maziwa, kusaga nafaka (grain milling), bidhaa ya mkate, malisho ya wanyama, usindikiaji wa sukari, usindikiaji wa matunda nakadhalika.
Biashara ya usafirishaji wa kilimo inahitajika kusajiliwa na;
– Ofisi ya Huduma ya Usajili (URSB) kwa kusajili Kampuni
– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi
– Halmashauri ya Mamlaka ya Mtaa kama KCCA, Hamashauri ya Mtaa kwa leseni la biashara
Tafadhali jua;
Baada ya kusajili biashara utahitajika kutii/kufuata sheria za Shirika za mashirika ya kisheria (Statutory bodies) kama;
– Wizara wa Kilimo, Ufugaji Wanyama na Uvuvi
– Ofisi ya Kitaifa cha kupima Kiwango (UNBS)
For individual
For non-individual
Bonyeza hapa ili upate habari kwa kina cha kusajiliwa
Kama mlipakodi kodi unahaki, kwa hivyo kuna wajibu ambayo unafaa kutimiza
Bonyeza hapa ili upate habari kuhusu haki na wajibu wako kama mlipakodi.
Click here for your obligations as a taxpayer.
Kodi ambazo zinahusika kwa kiwanda cha biashara ya usindikiaji wa kilimo;
Biashara ndogo/kodi ya prisumptivi
Hii ni kodi ambayo inatozwa kwa biashara ambayo mauzo kwa mwaka linazidi UGX 10,000,000 na ni chini cha UGX 150,000,000.
Kodi ya Shirika (Corporation tax)
Ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi (kampuni/non-individuals ) ambaye anahusika kwa sekta hili, kodi kwa cheo cha 30% .
Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT)
VAT ni kodi ambayo inawekwa kwa matumizi (consumption) na inatozwa kwa cheo cha 18% kwa bidhaa/huduma ambayo imesambazwa ni mtu ambaye anafaa kutozwa (taxable person) kama mtu ambaye amesajiliwa au anahitajika kusajiliwa kwa VAT. Kiwango cha chini cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo zaidi ya milioni 150, au milioni 37.5 kwa miezi tatu mfululizo/ambazo zinafuatana.
Bonyeza hapa ili ujisajili kwa VAT
Tafadhali jua;
Watu wote ambao wamesajiliwa kwa VAT wanafaa kusajiliwa kwa EFRIS na kuanza kupeyana Ankara (invoice) ya kielektroniki (e invoices)
Bonyeza hapa ili upate habari namna ya kujisajili kwa EFRIS.
KODI YA MADHARA YA NDANI (LOCAL EXCISE DUTY)
Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa bidhaa maalum au ambayo imetengenezwa nchini, na huduma kama ya bia, vitu vya kukunywa ambazo sio pombe, mafuta ya kupikia nakadhalika.
.
Bonyeza hapa ili upate kodi inaotumika.
Tafadhali jua;
Kampuni zingine kwa viwanda vya usindikiaji wa kilimo zinahitajika kukuwa na kodi ya stempu ya kidijitali.
Kodi ya stempu ya kidijitali ni alama ambayo inawekwa kwa bidhaa au vyombo vyao na ziko na alama za usalama na membari maalum (codes) za kutafautisha bidhaa bandia au asili na ambayo inawezesha shughuli za kufuatilia uwezo. Bidhaa ambazo zinafaa kukuwa na kodi ya stempu inajumuisha bidhaa za kutozwa kodi ya madhara kama mvinyo (wines), spiriti, maji, sigara, bia, soda, sukari, mafuta ya kupika, matunda na mboga (vegetables), juisi, bidhaa zingine za kukunywa za pombe na zile ambazo siyo za pombe na vinywaji ambazo zimefamentiwa. Bidhaa hizi hazikubaliki kwa soko bila kodi ya stempu.
Bonyeza hapa ili upate habari zaidi za kuhusiana na Suluhiso la Ufuatiliaji shughuli la Kidijitali (DTS).
Kodi ya kubakisha (WHT)
Kodi ya kubakisha ni kodi ya kubakisha ambayo inachukuliwa kwa chanzo (source) na mtu mmoja (ajenti wa kubakisha), wakati wa kufanya malipo.wakati wa kufanya malipo kwa mtu mwingine (payee). Kama mtu wa kusambaza bidhaa kwa biashara ya usindikiaji wa kilimo zaidi ya milioni moja (1), kwa mtu ambayo bidhaa zimesambazwa, kutoza kodi kwa cheo cha 6%. Kampuni/Planti itapokea Cheti cha Krediti ya Kodi (TCC) ambayo itasaidia kwa kuondoa (offsetting) dhimai ya kodi (tax liability) na wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.
Bonyeza hapa kwa habari Zaidi kuhusu kodi ya Kubakisha.
Tafadhali jua;
Kodi ambayo imebakishwa ina-kreditiwa/kupunguza kwa kodi ambayo inafaa kulipwa wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.
Lipa ukiingiza mapato (PAYE)
Kodi hii inawekwa kwa wahusika kwa sekta hii, ambao wako na wajiriwa (employees) wa utawala au wa kulipwa kwa kila siku ambao wanapokea jumla la mapato zaidi ya Ugx 235,000 kila mwezi, aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.
Bonyeza hapa ili upate vyeo vya PAYE.
Retani hii inajazwa namna ya kujaza retani zingine za mapato.
Bonyeza hapa ili upokee habari namna ya kurejesha retani.
Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa, ukitumia jukwaa (platform) hizi kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, USSD na (code) (*285) nakadhalika.
Tafadhali jua:
tarehe yenyewe ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Click here to register a payment
Motisha ya kodi chini cha Kodi ya ndani (Domestic taxes).
Kodi ya madhara (Excise duty) |
|
Aina za Motisha |
Masharti ili upewe msamaha (exemption ) wa kodi |
Hakuna kodi kwa nyenzo (materials) za ujenzi wa kiwanda au ghala (warehouse),za kipekee (exclusive) ya kutumia kwa zile za masoko za ndani, bidhaa ambazo zimetengenezwa kwa nyenzo (materials ) na pembejeo (input) za ndani ya nchi. |
Lazima uwekezaji lisiwe chini cha USD 10m kwa mwekezaji wa kigeni na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa kijijini (upcountry). |
Mwenye operesheni ndani ya hifadhi ya kiwanda (industrial park), eneo huru (free zone) na biashara zingine nje ya hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambayo uwekezaji kwa usindikiaji wa bidhaa za kilimo; |
Motisha itaanza kwa tarehe ya kuanzisha biashara ambayo imeelezwa, motisha sawa inapewa kwa mwenye operesheni kwa hifadhi ya kiwanda (industrial park).
|
Mtengenezaji au mwenye kuyunganisha vifaa vya matibabu, vitu ndogo ndogo vya matibabu (medical sundries) au vitu vya kutumia kwa famasia/dawa (pharmaceuticals ), nyenzo za ujenzi, magari, vitu vya kutumia nyumbani au samani (furniture), palpi (pulpi), karatasi, kuchapisha nyenzo za kutoa maelezo/za kufundishia. |
au Eneo Huru. Mwekezaji lazima atumie 70% ya nyenzo za ndani ya nchi, Lazima wafanyakazi wawe raia wa EAC ambao wanapokea 70% ya jumla la gharama ya msahara. |
KODI YA STEMPU |
|
Aina za motisha |
Masharti ili kupokea msamaha (exemption ) |
Hakuna kodi ya stempu kwa utekelezaji (execution) za hati zifuatazo;
i) hati fungani (debenture) hata ikikuwa ya rehani (mortigage) au sio, la soko la usalama – ya jumla la thamani (not being marketable value-of total value);
ii) kutoza zaidi; kifaa chochote cha kuweka utozaji kwa mali ya rehani (mortgage) – ya jumla la thamani; |
a) kama ni mtengenezaji (manufacturer) mpya, ambayo kama vitu hizi zinapatikana. Ana uwezo wa kutumia nyenzo (material) za ndani za nchi kwa 70%, na ana-wafanyakazi wasio chini cha 70% raia, na jumla la gharama ya mtengenezaji mpya ambayo mtaji wake wa uwekezaji isiyo chini cha USD milioni 50.
|
iii) kukodisha udongo (lease of land)
iv) uongezekano wa mtaji wa hisa;
v) ubadilishaji wa umiliki wa udongo;
vi) mkataba wa kutowa huduma ya upimaji wa uwezekano wa (ujenzi, masomo) (feasibility study) au ya kutengeneza muundo (design) ya ujenzi.” |
b) kama mtengenezaji ambayo tayari ako kwa biashara, na itatokana na upatikano wa nyenzo (material) na ana – uwezo wa kutumia 70% ya nyenzo ya ndani ya nchi, na anajiri watu 70% raia ambao jumla la gharama ya msahara. Kwa mtengenezaji ambayo ako kwa biashara kutoka kwa tarehe ambayo mtengenezaji ameongeza uwekezaji wa usawa wa milioni USD 35 |
VAT |
|
Aina za motisha |
Masharti ili kupokea msamaha (exemption )
|
Wasafirishaji bidhaa nje ya nchi
|
cheo cha sifuri (zero rated) |
Hakuna VAT kwa usambazaji wa huduma ya kupima uwezekano wa mradi na kubuni (feasibility study and design) na kwa usambazaji wa nyenzo (raw materials) ya kutumia kwa kutengeneza bidhaa na pembejeo (inputs ). |
Uwekezaji kwa usindikaji wa bidhaa za kilimo; kutengeneza au kuyunganisha vifaa vya matibabu, vifaa vya matibabu ndogo ndogo (medical sundries) au vifaa vya famasia (pharmaceuticals ), nyenzo za ujenzi, magari, palpi (pulp), karatasi, uchapishaji wa vifaa vya kutoa mafundisho/mwongozo, kufanya operesheni ya taasisi la kutoa masomo ya ufundi stadi (vocational training institute ) na kufanya; |
|
biashara ya usafirishaji wa bidhaa na ghala (warehouse ), teknolojia ya habari, biashara ya kilimo.
Lazima kiwango cha chini cha uwekezaji cha USD milioni 10 kwa mwekezaji wa kigeni na USD 300,000 kwa raia wa EAC au 150,000 kama uwekezaji umefanywa kijijini (upcountry).
Motisha itaanza kwa tarehe ambayo biashara ambayo imeelezwa, imeanzishwa na kwa mwenye tayari anafanya uwekezaji kwa hifadhi ya kiwanda pia atapokea motisha hii.
Hifadhi ya kiwanda au eneo huru, mwekezaji lazima atumie mali ghafi (local raw material ) ambayo inapatikana nchini, kisicho chini cha 70%, na anajiri raia wa EAC na gharama ya msahara kisicho chini cha 70%. |
KODI YA MAPATO |
|
Aina za kodi |
Masharti ili kupokea msamaha (exemption ) |
Msamaha wa kodi ya mapato ambazo zimetokea kwa usindikiaji wa kilimo (agro-processing ). |
Mwaka moja, inaweza kurudishwa upya. Mwekezaj lazima atumie planti na mashine ambayo haijafanyishwa hapa kitambo/awali Ugandan , anafaa kutuma maombi na kupewa cheti cha msamaha (exemption ) kutoka kwa URA na lazima anatii /anaheshimu sheria. |
Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA ambayo iko karibu au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000.