Makampuni ya matukio

Makampuni ya matukio ni nini?

Kampuni ya manejimenti ya tukio ni huduma ya mtaalamu wa kufanya mpango, juhudi na kufanya shughuli ya tukio kwa niaba ya mteja wake. Kampuni ya manejimenti ya tukio inafanya kazi ya kisimamia (supervising) manejimenti ya mradi ya tukio (event), ikijumuisha kufanya mpango, bajeti,matangazo na kuthatmini (evaluation).

Hizi ni baadhi ya wahusika muhimu kwa sekta ya makampuni za manejiment za matukio ambao wanafanya nawo kazi ni hizi;

  • Tamasha na tukio ya muziki
  • Harusi na matukio zingine za kibinafsi
  • Maonyesho na maonyesho za biashara
  • Mikutano na makongomano
Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 11 times, 1 visits today)

Makampuni za manejimenti za tukio wana jukumu mbali mbali za matukio. Makampuni za manejimenti za matukio zina-kodishwa na wenye biashara wa kawaida ili wafanye matayarisho ya matukio kwa niaba yao. Baadhi ya huduma ambazo zinafanywa na makampuni za manejimenti za matukio ni;

  • Vifaa vya taswira (visual) ya sauti na kiufundi
  • Upishi
  • Usimamizi wa msanii na spika
  • Usalama
  • Kupeyana tiketi
  • Mapambo na mandhari (Decoration and Theming)
  • Uzalishaji na kufanya kwa steji
  • Usimamizi wa usalama
  • Uuzaji na utangazaji
  • Nakadhalika

Wahusika wote wa biashara ya usimamizi wa tukio wanahitajika kusajiliwa na;

  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi
  • Kwa mtu asiye binafsi/kampuni anaweza kusajili jina la kampuni kwa (URSB).

Kwa mtu binafsi

  • Kitambulisho cha Kitaifa ID unaweza kutumia hati mbili yoyote kati za hizi, hati yoyote ya kukutambua ya kisasa, Pasipoti, leseni ya kuendesha gari, Kadi ya kupiga kura, I’D ya kijiji, I’D ya kuajiriwa, ID ya mhamiajii, taarifa ya kisasa ya benki, Kubali cha kazi, Kadi ya kifedha, Visa, Kadi ya NSSF nakadhalika
  • Cheti cha kusajili biashara kama uko na biashara
  • Taarifa ya maelezo ya biashara na hati ya ushirikiano (kama una ushirikiano).

Kwa mtu asiye binafsi /kampuni (for non individual)

  • Fomu ya kampuni 20
  • Cheti cha kusajili Kampuni/shirika

Bonyeza hapa ili upokee habari kwa kina ya kusajiliwa

Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug

  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi
  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi

Ni muhimu kuweka rekodi zote za shughuli za biashara kwa muda kisicho chini cha miaka mitano baada ya wakati wa kodi kukamilika ambazo zinahusiana na biashara kwa kumbukumbu mbeleni.

na hizi ni

  • Taarifa ya mapato (Orodha ya risiti ya malipo)
  • Orodha ya malipo ya mshahara
  • Mkataba
  • Taarifa ya benki
  • Barua ya kuajiriwa
  • Bili ya matumizi kama ya maji na umeme
  • Rejesta ya mali na rekodi zingine na/au hati ambazo zinahusiana na biashara kama kitabu cha risiti, ankara, wanaodai biashara na wenye biashara inawadai (creditors and debtors).

Bonyeza hapa kwa habari za kuhusu rekodi ya biashara

 

 

Kodi ambazo zinahusika kwa kampuni ya tukio inajumuisha hizi;

Kodi ya mapato – hii inawekwa kwa wahusika wote kwa mfano mtu binafsi au mtu asiye binafsi

Tafadhali jua:

Cheo cha kodi ya mapato ya mteja asiye mtu binafsi/kampuni ya taasisi ambayo inatozwa ni 30% ya mapato ambayo inafaa kutozwa  ( mapato ya jumla ukipuunguza punguzo ambayo inakubalika). Kwa hivyo kodi ya mapato ya mtu binafsi inategemea mabano ambayo mtu binafsi akamu.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya kodi vya mtu binafsi

Kodi ya kampuni/shirika  (Corporation tax)

Ni kodi ambayo inawekwa kwa mhusika asiye mtu binafsi kwa cheo cha kawaida cha 30%.

Kodi ya kubakisha  (WHT): – italipwa na kampuni ya tukio kama usambazaji wa huduma kwa ajenti aliyethibitishwa kama thamani ya ankara ni zaidi ya UGX 1,000,000

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu kodi ya kubakisha (WHT).

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) – kwa wahusika ambao wanapokea mapato kutoka kwa makampuni za matukio (event companies ) ambazo zinazidi milioni 150,000,000 kwa mwaka fulani. Wanafaa kusanya VAT kwa kila shughuli ambayo Ankara imetolewa  (EFRIS). 

Kama kampuni ya tukio imepokea ufadhili (sponsorship) kutoka kwa kampuni ingine inafaa kupeyana ankara ambayo ikona na VAT kwa kupitia kwa EFRIS  kwa mfadhili (sponsor).

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu VAT.

Lipa Ukiingiza Mapato  (PAYE)

Hi kodi inakuwa kwa wahusika kwa sekta ambao wako na wafanyakazi wa (utawala na wa kulipwa kila siku) ambao wanapokea  malipo kwa jumla ambayo inazidi Ugx 235,000 kila mwezi. Aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya (PAYE)

Retani hii inarejeshwa namna ya retani zingine za mapato.

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, EFT, RTGS Msimbo wa USSD, Mastakadi, (*285#) nakadhalika.

Tafadhali jua: tarehe halisi ya malipo ya kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapa ili usajili malipo

Kama hauwezi kujisajili kimtandao, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content