Mtangazaji/Promota ni nani?
Mtangazaji/promota ni mtu au kampuni ambayo iko na jukumu la kutangaza biashara na tukio (event) kama tamasha (concent), mashindano ya mbiyo (athletic tournaments), tukio ya kutoa usaidizi (charity event), utendaji (performance) kwa klabu ya usiku, tukio la mchezo (sports event) na tamasha (festivals).
Promota/mtangazaji ako na jukumu la kusambaza vipeperushi (fliers), matangazo kwa redio na televisheni, kwa mtandao ya kijamii na harakati ya kutoa uhusiano mzuri kwa umma. Lengo lao kuu ni kutoa huduma thabiti kwa kongomano/mkutano wa umma na kuhumudu bajeti iliyopewa ya kutoa matangazo.
Wahusika wote wa kutoa biashara ya huduma ya matangazo/mapromota Uganda wanahitajika kusajiluwa na,
– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi
– Kwa mtu asiye binafsi/kampuni (for non individuals) unafaa kusajili jina la kampuni na URSB
Â
Mtu binafsi (for individual )
– Kitambulisho cha kitaifa ID
– Cheti cha Kusajiliwa
Kwa asiye binafsi/kampuni (for non individual)
– Fomu 20 ya kampuni
– Cheti cha kusajili Kampuni
Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu kusajiliwa
Unahitajika kutembelea tovuti ya URA ya www.ura.go.ug
– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi (for individual)
– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama kampuni/mtu asiye binafsi
Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi
Kodi ya kubakisha – italipwa na promota/mtangazaji kama amefanya usambazaji wa huduma kwa ajenti aliyethibitishwa kama thamani ya ankara inazidi UGX 1,000,000
Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) – kwa wahusika ambao wanapokea mapato kutoka kwa manejimenti ya tukio ambayo inazidi 150,000,000 kwa mwaka fulani, wanafaa kusanya VAT kwa kila shughuli ambayo ankara imepewa (EFRIS).
Kama promota/mtangazaji wa tukio amepokea msaada kutoka kwa kampuni yoyote anafaa kupeyana ankara ya EFRIS ambayo inajumuisha VAT kwa mtoaji msaada.
Bonyeza hapa ili upokee habari ya kuhusu urejeshaji wa retani.
Baada ya kurejesha retani unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa kwa kutumia majukwaa ambazo ziko kama benki, simu rununu, VISA, Mastakadi nakadhalika.
Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Kama unataka kupokea usaidizi zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu kwa usaidizi au piga simu ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000