Hii ni biashara ambayo jumla ya mauzo haizidi ShU 150,000,000 kwa mwaka Fulani.
Kwa hivyo, kwa matumizi ya kodi, URA inazingatia biashara ambayo mauzo inazidi ShU milioni 10,000,000 na haizidi milioni ShU 150,000,000, biashara hii lazima mauzo yanazidi ShU 34,000 kwa siku.
URA ilianzisha kuhesabu kodi kwa biashara ndogo ndogo na ikalipeya jina la ‘Presumptive tax’.
Kodi hii inalipwa na wenye biashara madogo madogo.
Wamiliki wa biashara madogo madogo ambao wako kwa kategoria hii wanafaa kulipa kodi?
Hapana. Wataalamu, kwa mfano daktari wa meno, matibabu, mhandisi/injinia, Mhandisi/wahesabu wa vitabu (accountants) na kazi ya usanifu (architecture) miongoni mwa wengine hawalipi kodi.
Chini kuna viwango/vyeo vya kutoza biashara ndogo ndogo.
JUMLA YA MAUZO KWA MWAKA |
KODI AMBAYO INAFAA KULIPWA |
|
|
Ambayo iko na rekodi |
Ambayo haina rekodi |
Jumla ya mauzo ambayo haizidi ShU milioni 10 |
Hakuna kodi |
Hakuna kodi |
Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 10 na ambayo haizidi ShU milioni 30 |
0.4% kwa jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo inazidi ShU milioni 10 |
ShU 80,000 |
Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 30 na ambayo haizidi milioni 50 |
ShU 80,000 nauinaongeza/unajumuisha 0.5% kwa jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 30 |
ShU 200,000 |
Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 50 na ambayo hayazidi ShU 80 |
ShU 180,000 unaongeza/unajumuisha 0.6% ya jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo inazidi ShU milioni 50 |
ShU 400,000 |
Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 80 na ambayo haizidi milioni 150 |
ShU 360,000 unaongeza/unajumuisha 0.7% kwa jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo yanazidi milioni 80 |
ShU 900,000 |
Jumla ya mauzo kwa mwaka
-Kutokana na rekodi ambazo ziko za biashara
Tafadhali jua
Unaweza kulipa kodi hii ukifuata hatua ya chini:
iii. Chagua aina ya kodi kama kodi ya mapato – ya biashara ndogo ndogo.
Finya/Bonyeza hapa ili ufanye/utekeleza wa usajili wa malipo
Hakikisha ati umefanya malipo ya idadi ya kodi ambayo imepimiwa/tathminiwa (assessed). Unaweza kutufikia kupitia kwa moja ya ofisi yetu, kwa usaidizi piga simu kwa nambari ya bure ya; 0800117000/0800217000 au WhatsApp 0772140000