Mvuvi na Mchuuzi wa samaki ni watu gani?
Mvuvi ni mtu ambaye anavua samaki ya kuliwa na ya kuuza.
Mchuuzi wa samaki (fishmonger) ni mtu ambaye anayeuza samaki kwa mtu wa mwisho (mteja). Mchuuzi wa samaki (fishmongers) anaweza kukuwa mtu wa kuuza kwa jumla au kwa riteli na ana-uzoefu wa kuchagua, kununua, kukausha kwa moto, kutengeneza fileti, kufanya maonyesho na kuuza bidhaa za samaki.
Wahusika wote kwa sekta ya uvuvi Uganda wanahitajika kusajiliwa na;
– Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa kampuni au jina la biashara
– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi.
Tafadhali jua:
Kama umesajiliwa, unafaa kufuatilia masharti za mashirika za kisheria kama;
Kwa mtu binafsi (For individual)
– Kitambulisho I’D
– Cheti cha Kusajiliwa
Kwa mtu asiye binafsi (For non individual)
– Fomu ya Kampuni 20
– Cheti cha Kusajili kampuni
Bonyeza hapa ili upokee habari kwa kina ya kuhusu usajili wa biashara yako ya Uvuvi.
Unahitajika kutembelea tovuti ya URA ya www.ura.go.ug
– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi (for individual)
– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni (for non individual)
Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi
Kodi ya Shirika/koperesheni (corporation tax)
Ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi/kampuni kwa sekta hii kwa cheo cha kawaida cha 30%
Kodi ya prisamptivi/kodi ya mabiashara madogo
Hi ni kodi ambayo inawekwa kwa biashara kwa sekta hii kwa kutumia vyeo zifuatazo
Bonyeza hapa ili upokee cheo cha kodi ya prisamptivi
Lipa Ukiingiza Malipo (PAYE)
Kodi hii inawekwa kwa wahusika kwa sekta hii ambao wako na wafanyakazi wanaopokea jumla ya malipo ambayo inazidi 235,000 kwa kila mwezi.Aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.
Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya (PAYE)
Kodi ya kubakisha (WHT):
Kodi ya kubakisha (WHT) ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo na mtu mmoja (ajenti wa kubakisha) kama malipo imetimizwa kwa mtu mwingine (payee). Kampuni ya kufanya usindikiaji wa samaki imefanya usambazaji ambayo inazidi milioni 1. Mtu ambaye anafaa kupokea bidhaa ambazo zimesambazwa anafaa kutoza kodi kwa cheo cha 6%. Kampuni/planti itapokea Cheti cha Krediti ya Kodi ambayo itafanyishwa kwa ku-ofseti/kumaliza deni ya kodi kwa retani ya mapato ya mwisho ya kodi.
Bonyeza hapa kwa habari ya kuhusu kodi ya kubakisha
Retani hii inajazwa namna ya kujaza zingine za kodi za mapato
Bonyeza hapa kwa habari zaidi kuhusu namna ya kurejesha retani ya kodi.
Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa kwa kutumia jukwaa kama benki, simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGs, msimbo wa USSD (*285#) nakadhalika.
Tafadhali jua; Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Maelezo |
Motisha ya kodi |
Malori za friji |
Msamaha wa kodi zote chini cha ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004 |
Nyumba baridi
Nyumba baridi ambayo ina halijoto mazingira baridi ambayo inadhibitiwa (inafanya kazi kama friji ) |
Kodi ya uagizaji (import duty 0%) kulingana na EAC-CET inatoa usaidizi wa kuweka mavuno na kutunza bidhaa za kilimo kwa mazingira baridi kama nyama ya ng’ombe, samaki, nyama ya kuku nakadhalika |
Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea ofisi ya URA ambayo iko karibu ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp 0772141000