Michezo ya kubahatisha na kucheza Kamari

Michezo ya kubahatisha na kucheza Kamari ni nini?

 Mchezo wa kubahatisha na mchezo wa kuleta nafasi ya kushinda pesa au chochote ambacho kina thamani kama ya pesa kwa kuondoa shaka (doubt) ni Kamari (gambling).

betingi ya puul inamaanisha ushindanaji ambayo imefanywa kwa nia ya kufaidisha yule anayecheza mchezo wa bahati nasibu (gambler) kwa thamani ya fedha au nyenzo zingine (other material).

Umma wanaweza kualikwa kutoa uamuzi wa mchezo yoyote, ushindanaji, tukio (event) na inajumuisha operesheni ya puul ambayo inaitwa “betingi ya odds” kwa matokeo ya mchezo, ushindanaji wa magari/pikipiki (racing), au tukio (event).

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 20 times, 1 visits today)

Kasinos

– Mashine ya sloti

– Bingo

-Mchezo wa kimtandao

-Mchezo wa kadi “matatu”

-Lotari la kitaifa

Wahusika wakuu ni

– Promota/mtangazaji wa mchezo na betingi ya puul ni makampuni ambazo zimepewa leseni.

– Wenye kucheza mchezo wa bahati nasibu (Gumbler) hawa ni watu binafsi

Biashara ya mchezo yote na ya betingi ya puul Uganda inafaa kusajiliwa na;

– Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa kusajili kampuni

– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi

– Mamlaka ya Halmashauri ya Mtaa k.m KCCA, Halmashauri ya Manispaa kwa leseni la biashara

Tafadhali jua:

Kama umesajiliwa, mwenye biashara ya gemingi na betingi ya puul wanahitajika kufuata masharti ya mashirika za kiserikali kama Lotari la kitaifa na Bodi ya kudhibiti gemingi

Kwa mtu binafsi (for – individual)

  • Fomu 20 ya Kampuni
  • Cheti cha kusajiliwa

 

Bonyeza hapa ili upokee habari kwa kina ya kusajiliwa

  • Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug
  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi
  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Kama mlipakodi unahaki na pia unawajibu ambazo lazima utimize.

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi

Ni muhimu kuweka rekodi vizuri za shughuli zote za biashara kwa miaka kisicho chini cha tano baada ya muda ya kodi kukamilika ili kusadia kwa kumbukumbu hapo mbeleni na hizi ni;

– Taarifa/stetimenti ya mapato

– Rekodi ya idadi ambayo imewekwa kwa mchezo wa kila wiki.

– Rekodi ya malipo kwa washindi na kitambulisho chao.

– Ratiba ya uagizaji (import schedules)

– Taarifa/stetimenti ya benki

– Kitabu cha risiti na ankara (invoice )

– Rekodi ya wanaodai biashara na wenye biashara inawadai (debtors and creditors).

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi za kuhusiana na kuweka rekodi ya biashara.

Kodi kwa mchezo (Tax on games)

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa kila promota/mtangazaji wa gemingi na betingi ya puul ambaye analeseni na yuko Uganda na kwa kila ajenti mkuu (principle agent) ya kila promota wa gemingi na betingi ya puul ambaye ako nje ya Uganda.

Hali ya kwanza 1.

Kuhesabu Kodi ya gemingi

Jumla ya idadi ambayo imewekwa

Punguza: Malipo ya ushindi

Mapato ambayo inafaa kutozwa × 30% = Kodi ambayo inafaa kulipwa na promota/mtangazaji.

Tafadhali jua: Kodi ya kubakisha (WHT) kwa michezo ziliondolewa kuanzia tarehe 01/07/2023.

Hali ya 2.

Kuhesabu Kodi ya betingi

Jumla ya idadi ambayo imewekwa

Punguza: Malipo ya mshindi

Mapato ambayo inafaa kutozwa x 20% = Kodi ambayo inafaa kulipwa na mtangazaji/promota.

Ni idadi/pesa ambayo mshindi amepokea inavutia kodi ya 15% kodi ya kubakisha (WHT) ni ya mwisho. Hii inabakishwa na promota/mtangazaji kabla ya kulipa mshindi.

Lipa Ukiingiza Malipo (PAYE)

Mwenye biashara na wafanyakazi wote wa gemingi na betingi ya puul ambao wanapokea mshahara kwa kila mwezi ambayo inazidi 235,000 wanafaa kusajiliwa kwa (PAYE).

Kubakisha kutoka kwa wafanyakazi ambao wanapokea jumla ya mapato ambayo inazidi 235,000/= kuwashilisha habari za kuwahusu kwa URA na kufuatiliwa na malipo.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya PAYE.

Kodi ya kubakisha (WHT).

Hii ni aina ya kodi ambayo inabakishwa kutoka kwa chanzo. Promota/mtangazaji wa nyumba ya betingi ambaye ako na leseni anafaa kusajiliwa kwa kodi ya kubakisha (WHT) na kubakisha kodi kutoka kwa idadi/pesa ambayo mshindi amepokea kabla ya kumlipa. Hii inajulikana kama kodi ya mwisho kwa mshindi (final tax).

Walipakod wote ambao wamesajiliwa chini cha gemingi na betingi ya puul wanahitajika kuwashilisha retani ya kila wiiki kwa juma tano ya wiki ambayo inafuatia.

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu namna ya kurejesha retani.

 

 

Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi zifuatazo kwa kupita kwa jukwaa kama benki, simu rununu, VISA, EFT, RTGS, Msimbo wa USSD, Mastakadi nakadhalika.

 Tafadhali jua:

  • Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na ya kurejesha kodi.
  • Mtu yeyote ambaye hajalipa kodi kwa tarehe kanuni, atalipa riba ambayo ni sawa na 2% juu ya kodi ambayo anafaa kulipa kwa kila wiki au kwa kiasi cha wiki (part of the week) ambayo kodi inabaki kama haijalipwa.

Ukweli. Kuna motisha ambayo wahusika kwa biashara ya gemingi na betingi ya puul wote wa ndani na wa nje ya nchi na hizi ni

Motisha ya kodi chini cha Kodi ya ndani (Domestic tax).

KODI YA MADHARA (EXCUSE DUTY)

 

 

 

 

Mwenye kupokea manufaa

Motisha

Muda ya motisha

Masharti ya kutimiza ili kupokea motisha ya kodi.

Promota/mtangazaji wa gemingi na betingi ya puul

Msamaha wa kodi ya kubakisha (WHT) kwa ushindi wa gemingi na  betengi ya puul.

Bila kikomo

 

Promota/mtangazaji ambaye analeseni

 

 

Walipakodi wote

Kusongeza hasara mbele: Hasara ambayo imepimwa/imethatmiwa ili kupunguzwa kwa mwaka ujao wa kodi.

Muda ya hasara

Walipakod wote

 

Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu au piga simu kwa nambari ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

 

 

 

 

 

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content