Maduka ya mitishamba/Maduka za madawa za kienyeji ni mastoo ambazo zinauza mimmea za madawa za kienyeji na bidhaa zingine ambazo zinahusiana kama viungo (spices), mafuta muhimu, mbegu, berri, mizizi, matawi, gome (bark)au maua asili ya kutumia kama dawa.
Kwa mtu binafsi (for individual)
Kwa mtu asiye binafsi (for non individual)
Bonyeza hapa ili upokee mahitaji ya kuhusu kusajiliwa
Kodi ya mapato sana sana ya prisamptivi.
Retani hizi zinarejeshwa namna ya kurejesha retani zingine za mapato
Bonyeza hapa kwa habari zaidi za kuhusu namna ya kurejesha retani.
Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa hizi; kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, Msimbo wa (code) USSD (*285#) nakadhalika
Tafadhali jua: Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Bonyeza hapa ili usajili malipo
Bonyeza hapa ili upokee haki yako kama mlipakodi
Bonyeza hapa ili upokee wajibu wako kama mlipakodi.
Kama hauwezi kujisajili kwa mtandao, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu nawe au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000