Mtengenezaji wa bidhaa yanaoonekana (tangible). (Manufacturing of tangible products)

Bidhaa yanaoonekana (tangible) inaweza kufafanuliwa kama kifaa chochote ambacho kwa hatua  fulani inawonekana, inawezashikwa kwa mkono, inaweza pimwa, kunushwa, kulionjwa.

Bidhaa zinayoonekana (tangible) ambazo zinazalishwa Uganda ni plastiki, bidhaa vya vyuma, vifaa vya kutumia nyumbani  (appliances), vifaa vya kuandika (stationery), vipodozi (cosmetics ),  bidhaa za urembo (beauty products), bidhaa za kujitia (jewelry) nakadhalika.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 47 times, 1 visits today)

Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo zimekamilika (finished goods) kwa kutumia zana (tools), kazi za binadamu, mashine na kwa kutumia kemikali ili kuziuunda.

Bidhaa zinayoonekana (tangible) ambazo zinazalishwa Uganda ni plastiki, bidhaa vya vyuma, vifaa vya kutumia nyumbani  (appliances), vifaa vya kuandika (stationery), vipodozi (cosmetics ),  bidhaa za urembo (beauty products), bidhaa za kujitia (jewelry) nakadhalika.

Unafaa kusajiliwa na;

  • Ofisi ya Huduma ya Usajili (URSB) kwa kusajili Kampuni
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi
  • Halmashauri ya Mamlaka ya Mtaa kama KCCA, Hamashauri ya Mtaa kwa leseni la biashara

Tafadhali jua;

Baada ya kusajiliwa, biashara unahitajika kutii/kufuata sheria za Shirika za kisheria (Statutory bodies) kama;

  • Wizara ya Kilimo, Ufugaji Wanyama na Uvuvi
  • Ofisi ya Kitaifa cha kupima Kiwango (UNBS)

For individual

  • National ID or any other two identifications (Passport, Employees ID or Voter’s card, Driver’s Licence, work permit, Village ID, current bank statements, VISA)
  • Certificate of registration (in case of a business)

For non-individual

  • Company Form 20
  • Certificate of incorporation

Bonyeza  hapa ili upate habari kwa kina cha kusajiliwa

Unahitajika kutembelea tovuti la URA kwa ura.go.ug

  • Bonyeza   hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (individual)
  • Bonyeza  hapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi/kampuni 

–  

Kama mlipakodi unahaki, kwa hivyo kuna wajibu ambayo unafaa kutimiza

  • Bonyeza  hapa ili upate haki na wajibu wako kama mlipakodi.
  • Click here  for your obligations as a taxpayer.

Kodi ambazo zinahusiana kwa kiwanda cha biashara ya usindikiaji wa kilimo;

Biashara ndogo/kodi ya prisumptivi

Hii ni kodi ambayo inatozwa kwa biashara ambayo mauzo kwa mwaka inazidi UGX 10,000,000 na ni chini cha UGX 150,000,000.

Kodi ya Shirika /Corporation tax

Ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi  (non-individuals/kampuni ) ambayo inahusika kwa sekta hili, kodi kwa cheo cha kawaida cha 30% (standard rate).

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT)

VAT ni kodi ambayo inawekwa kwa matumizi (consumption) na inatozwa kwa cheo cha 18% kwa bidhaa/huduma ambayo imesambazwa na mtu ambaye anafaa kutozwa (taxable person) kama mtu ambaye amesajiliwa au anahitajika kusajiliwa kwa VAT. Kiwango cha chini cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo zaidi ya milioni 150, au milioni 37.5 kwa miezi tatu mfululizo/ambazo zinafuatana.

Bonyeza  hapa ili ujisajili kwa VAT

Tafadhali jua;

Watu wote ambao wamesajiliwa kwa VAT wanafaa kusajiliwa kwa EFRIS na kuanza kupeyana Ankara (invoice) ya kielektroniki (e invoices)

Bonyeza hapa ili upate habari namna ya kujisajili kwa EFRIS.

KODI YA MADHARA YA NDANI (LOCAL EXCISE DUTY)

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa bidhaa maalum au ambayo imetengenezwa nchini, na huduma kama ya bia, vitu vya kukunywa ambazo sio pombe, mafuta ya kupikia nakadhalika.

Bonyeza hapa ili upate vyeo ambavyo  vinafaa

Tafadhali jua;

Kampuni zingine kwa viwanda vya usindikiaji wa kilimo zinahitajika kukuwa na kodi ya stempu ya dijitali.

Kodi ya stempu ya kidijitali ni alama ambayo inawekwa kwa bidhaa au vyombo vyao na ziko na alama za usalama na nambari maalum (codes) za kutafautisha bidhaa bandia na  asili na ambayo inawezesha ufuatiliaji wa uwezo wa bidhaa. Bidhaa ambazo zinafaa kukuwa na kodi ya stempu inajumuisha bidhaa za kutozwa kodi ya madhara kama mvinyo (wines), spiriti, maji, sigara, bia, soda, sukari, mafuta ya kupika, matunda na mboga (vegetables) juisi, bidhaa zingine za kukunywa za pombe na zile ambazo siyo za pombe na vinywaji ambazo zimefamentiwa. Bidhaa hizi hazikubaliki kwa soko bila kodi ya stempu.

Bonyeza hapa ili upate habari zaidi za kuhusiana na Suluhiso la Ufuatiliaji wa Kidijitali (DTS).

Kodi ya kubakisha (WHT)

Kodi ya kubakisha ni kodi ya kubakisha ambayo inachukuliwa kwa chanzo (source) na mtu mmoja (ajenti wa kubakisha ), wakati wa kufanya malipo.wakati kwa mtu mwingine (payee). Kama mtu wa kusambaza bidhaa kwa biashara ya usindikiaji wa kilimo zaidi ya milioni moja (1), kwa mtu ambayo bidhaa zimesambazwa kutozwa kodi kwa cheo cha 6%. Kampuni/Planti itapokea Cheti cha Krediti ya Kodi (TCC) ambayo itasaidia kwa kuondoa (offsetting) dhima ya  kodi (tax liability) na wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.

Bonyeza hapa kwa habari kuhusu kodi ya Kubakisha.

Tafadhali jua;

Kodi ambayo imebakishwa ina-kreditiwa/kupunguza kwa kodi ambayo inafaa kulipwa wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.

Bonyeza hapa kwa habari ya kodi ya kubakisha.

Lipa ukiingiza mapato (PAYE)

Kodi hii inawekwa kwa wahusika kwa sekta hii, ambao wako na wajiriwa (employees) wa utawala au wa kulipwa kwa kila mwezi ambayo wanapokea jumla la mapato zaidi ya Ugx 235,000 kila mwezi, aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.

Bonyeza hapa ili upate vyeo vya PAYE.

Retani hii inajazwa namna retani zingine za mapato zinafanywa.

Bonyeza hapa ili upokee habari namna ya kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa, ukitumia jukwaa (platform) hizi kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, USSD na (code) (*285) nakadhalika.

Tafadhali jua:

tarehe yenyewe ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Motisha za kodi chini cha Kodi ya ndani (Domestic Taxes)

Kodi ya madhara

Aina za motisha

Masharti ili upewe msamaha wa kodi (exemption)

Hakuna kodi kwa nyenzo (materials) za ujenzi wa kiwanda au ghala (warehouse),  ya kipekee (exclusive) ya kutumia kwa  masoko za ndani, bidhaa ambazo zimetengenezwa kwa nyenzo (materials ) na pembejeo za ndani ya nchi.

 

Mwenye operesheni ndani ya hifadhi ya kiwanda, eneo huru (free zone) na biashara zingine nje ya hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambayo uwekezaji wa usindikiaji wa bidhaa za kilimo;

 

Mtengenezaji au mwenye kuyunganisha vifaa vya matibabu, vitu ndogo ndogo vya matibabu  (medical sundries) au vitu vya kutumia kwa famasia (pharmaceuticals ),  nyenzo za ujenzi, magari, vitu vya kutumia nyumbani  au samani (furniture), palpi ()pulpi, karatasi, kuchapisha nyenzo za kutoa mafunzro/ mwongozo (printing and publishing instructional materials).

Lazima uwekezaji lisiwe chini cha USD 10m kwa mwekezaji wa kigeni na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa kijijini (upcountry).

 

Motisha itaanza kwa tarehe ya kuanzisha biashara ambayo imeelezwa, motisha sawa inapewa kwa mwenye operesheni ambayo ako kwa hifadhi ya kiwanda  (industrial park).

 

au Eneo Huru. Mwekezaji lazima atumie 70% ya nyenzo za ndani ya nchi, Lazima wafanyakazi wawe raia wa EAC ambao wanapokea 70% ya jumla la gharama ya msahara.

KODI YA STEMPU

Aina za kodi

Masharti ili upewe msamaha wa kodi (exemption)

Hakuna kodi ya stempu kwa utekelezaji (execution) za hati zifuatazo;

 

i) hati fungani (debenture) hata ikikuwa ya rahani (mortigage) au sio, ya soko la usalama – ya jumla la thamani (not being of marketable security-of total value);

 

ii) kutoza zaidi; kifaa chochote cha kuweka utozaji kwa mali ya rehani (mortigage)- ya jumla la thamani;

a) kama ni mtengenezaji (manufacturer) mpya, ambayo kama vitu hizi zinapatikana nchini. Ana uwezo wa kutumia nyenzo (material) za ndani za nchi kwa 70%, na ana-wafanyakazi wasio chini cha jumla la gharama la mshahara ya 70%. Mtengenezaji new manufacturer() mpya na mtaji wake wa uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 50.

iii) kukodisha udongo (lease of land)

 

iv) uongezekano wa mtaji wa hisa;

 

v) ubadilishaji wa umiliki wa udongo;

 

vi) mkataba wa kutowa huduma ya upimaji wa uwezekano wa ujenzi, masomo (feasibility study) au ya kutengeneza kubuni (design) ujenzi.”

 

 

b) kama mtengenezaji ambayo tayari ako kwa biashara, na itatokana na upatikanaji wa nyenzo (material) na ana – uwezo wa kutumia 70% ya nyenzo ya ndani ya nchi, na anajiri watu 70% raia ambao jumla la gharama ya msahara. Kwa mtengenezaji ambayo ako kwa biashara kutoka kwa tarehe ambayo mtengenezaji ameongeza uwekezaji wa usawa wa milioni USD 35

VAT

Aina za motisha

Marshati ili upewe msamaha wa kodi (exemption)

Wasafirishaji bidhaa nje ya nchi

Cheo cha sifuri (0%)

Hakuna VAT kwa usambazaji wa huduma ya kupima uwezekano na ubunifu wa mradi na  (feasibility study and design) na kwa usambazaji wa nyenzo  (raw materials) ya kutumia kwa kutengeneza bidhaa na pembejeo (inputs ).

Uwekezaji kwa usindikiaji wa bidhaa za kilimo; kutengeneza au kuyunganisha vifaa vya matibabu, vifaa vya matibabu ndogo ndogo  (medical sundries) au vifaa vya famasi (pharmaceuticals ),  nyenzo za ujenzi, magari, palpi (pulp), karatasi, uchapishaji wa vifaa vya kutoa mafunzo/mwongozo, kufanya operesheni ya taasisi la kutoa masomo ya ufundi stadi/mkono  (vocational training institute ) na kufanya;

 

biashara ya usafirishaji wa bidhaa na ghala (warehous),  teknolojia ya habari,  ya biashara ya kilimo.

 

Lazima kiwango cha chini cha uwekezaji cha USD milioni 10 kwa mwekezaji wa kigeni na USD 300,000 kwa raia ya EAC au 150,000 kama uwekezaji umefanywa kijijini (upcountry).

 

Motisha itaanza kwa tarehe ambayo biashara ambayo imeelezwa, imeanzishwa na kwa mwenye tayari anafanya uwekezaji kwa hifadhi ya kiwanda pia atapokea motisha hii.

 

Hifadhi ya kiwanda au eneo huru, mwekezaji lazima atumie mali ghafi (local raw material ) ambayo inapatikana nchini, kisicho chini cha 70%, na anajiri raia wa EAC na gharama ya msahara  kisicho chini cha 70%.

 

Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA ambayo iko karibu au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000.

Add to Bookmarks (0)
Skip to content