Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo zimekamilika (finished goods) kwa kutumia zana (tools), kazi za binadamu, mashine na kwa kutumia kemikali ili kuziuunda.
Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo zimekamilika (finished goods) kwa kutumia zana (tools), kazi za binadamu, mashine na kwa kutumia kemikali ili kuziuunda.
Sekta ya kiwanda/kutengeneza bidhaa Uganda kwa ukubwa imechukuliwa na usindikiaji wa bidhaa za kilimo (Agro-processing) kama vyakula, vinyuaji, bidhaa za kutumia nyumbani vifaa vya ujenzi, bidhaa ambazo zinatumika haraka (first consumer goods), viwanda vya koteji/manyumba madogo nakadhalika.
Watu waliyo kwa sekta ya kutengeneza bidhaa (kiwanda) Uganda wanahitajika kusajiliwa na;
Tafadhali jua;
Kama umesajili, kampuni ya kutengeneza bidhaa unahitajika kufuatilia mahitaji ya mashirika ya kisheria/statutari kama;
Kwa mtu binafsi (for individual)
For non-individual
Bonyeza hapa ili upokee mahitaji ya kusajiliwa.
Kama mlipakodi unahaki na pia kuna wajibu ambazo unafaa kutimiza.
Ni muhimu kuweka rekodi ambayo imekamilika na sahihi za shughuli zote za biashara kwa muda kisicho chini cha miaka mitano baada ya wakati wa kodi kukamilika ambayo rekodi inahusika nayo kwa matumizi hapo mbeleni kama ukaguzi inahitajika.
Hizi ni;
– taarifa/stetimenti ya mapato (orodha ya risiti ya malipo)
– mizania (balance sheet)
– orodha ya malipo ya mshahara
– ratiba la Uagizaji (import schedules)
– Mkataba
– habari /stetimenti ya benki
– barua ya mkataba wa kuajiriwa
– bili ya matumizi (gharama kama ya umeme,maji)
– Rekodi ya stoki
Orodha ya mali na rekodi zingine mengi, hati ambayo inahusiana na biashara kama kitabu cha risiti, ankara (invoices), wanaodai biashara na wenye biashara inawadai (debtors and creditors).
Retani hii inajazwa namna sawa na retani ya kodi ya mapato ya biashara ingine
Bonyeza hapa kwa habari zaidi namna ya kurejesha retani.
Baada ya kujaza retani, unafaa kulipa kodi ambazo zinafaa ukitumia majukwaa za malipo kama benki, pesa kwa simu rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, USSD, misimbo (code), (*285#) nakadhalika.
Tafadhali jua;
Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Ukweli. Kuna haki za motisha, ambazo viwanda/ watengenezaji bidhaa wanafaa kupokea na hizi ni?
Motisha (tax incetives) chini cha kodi ya ndani (domestic taxes)
Kodi ya Madhara (Excise Duty) |
|
Aina za Motisha |
Marshati ili kupokea msamaha wa kodi |
Hakuna kodi ya madhara (excise duty) kwa nyenzo za ujenzi wa viwanda isipokuwa wenye viwanda ambao wana-shughulika kwa usindikiaji (processing) ya bidhaa za kilimo, usindikiaji wa vyakula, vifaa vya matibabu, nyenzo za ujenzi, viwanda vya kutengeneza vimulishi (lights), viwanda vya kutengeneza magari na kuziunganisha, vifaa vya kutumia nyumbani, fanicha/samani,logistiki/vifaai na ghala (warehouse ), teknolojia ya habari au biashara ya kilimo. |
Lazima uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 50 au kama kwa hali ya mtengenezaji bidhaa mwingine ambaye ameongeza uwekezaji wa usawa wa USD milioni 50. |
Hakuna kodi kwa nyenzo za ujenzi wa kiwanda au ghala (warehouse ) za kipee zenye zinapatikana kwa masoko za ndani, nyenzo ambazo zimetengenezwa nchini ,mali ghafi (raw materials) na pembejeo (input). Mwenye operesheni ndani ya hifadhi ya viwanda (industrial park), eneo huru au biashara zingine nje ya hifadhi ya viwanda, hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambaye ameweka uwekezaji wa usindikiaji wa bidhaa za kilimo; mtengenezaji bidhaa au muyunganishi (assembling) wa vifaa vya matibabu, sandri za matibabu au madawa (pharmaceuticals), nyenzo za ujenzi, magari, vifaa vya kutumia nyumbani, mtengenezaji wa fanicha/samani, palpi, karatasi, uchapishaji wa vitu vya kutumia kwa utoaji wa mwelekezo/maelezo kama vitabu na vingine. |
Lazima uwekezaji kisiwe chini cha USD milioni 10 kwa mwekezaji wa kutoka nje ya nchi na USD 300,000 raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa vijijini.
Motisha itaanza kwa tarehe ambayo biashara imeanzishwa wa biashara ambayo imeelezwa. Motisha ya usawa na hii itakuwa kwa mwenye operesheni kwa hifadhi ya viwanda au Eneo Huru. Mwekezaj lazima atumie kisicho chini cha 70% ya mali ghafi (raw material) ya kupatikana nchini na anajiri wafanyakazi wasio chini cha 70% raia wa EAC ambao gharama ya mshahara na marupurupu itachukua 70%. |
Remisheni ya kodi/kurejesha kodi, kodi ya madhara (Excise duty) inatolewa kwa bidhaa za plastiki ambazo zimetengenezwa kwa matumizi ya upakiaji wa bidhaa za matibabu za kuchukua nje ya nchi na zimetengenezwa kwa plastiki ambazo zimefanyiwa risaiko. |
Kiwanda/mtengenezaji wa bidhaa ambazo zimeelezwa |
Hakuna kodi ya madhara (excise duty) kwa nyenzo (materials) za mtengenezaji bidhaa. Ambayo mtaji wa uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 50 au kwa hali ya mtengenezaji bidhaa mwingine ambaye anaongeza uwekezaji ya usawa wa USD milioni 50. |
Isipokuwa/kuondoa (excludes) kiwanda/ mtengenezaji wa shughuli ya usindikiaji wa bidhaa za kilimo, usindikiaji wa vyakula (food processing), vifaa vya matibabu, mtengenezaji wa magari na kuziyunganisha (assembling), vifaa vya kutumia nyumbani, fanicha/samani na ghala (warehouse ), teknolojia ya habari au biashara ya kilimo. |
KODI YA STEMPU |
|
Aina ya motisha |
Marshati ya kutimiza ili kupokea msamaha wa kodi |
Hakuna kodi ya stempu kwa kutekeleza (execution ) hati zifuatazo;
i) hati fungani (debenture) hata kama rehani (mortgage) ya hati fungani/dibencha au ambayo sio ya masoko ya usalama (marketable security)- ya jumla ya thamani;
ii) utozaji zaidi; kifaa chochote ambayo inaweka utozaji zaidi kwa mali ya rehani/motigeji – ya jumla ya thamani;
iii) liisi/ukodishaji wa udongo – ya jumla ya thamani
iv) uongezekano wa mtaji wa hisa
v) ubadilishaji wa umiliki wa udongo
vi) makubaliano ya kutoa huduma ya kufanya upembuvu yakinifu/ masomo ya fisibiliti au kutengeneza ubunifu/muundo (design) ya ujenzi. |
a) kama ni mtengenezaji wa bidhaa mpya, na itatokana na upatikanaji na uwezo wa kutumia mali ghafi (raw material) ambazo zinapatikana nchini kwa 70% na anajiri raia kwa kiwango kisicho chini cha 70% ya jumla ya gharama ya mshahara au marupurupu. Mwenye kiwanda/mtengenezaji wa bidhaa mpya ambayo mtaji wake wa uwekezaji kisiwe chini cha USD milioni 50.
b) kama mwekezaji mpya na itatokana na upatikanaji wa mali ghafi (raw material ) na ana-uwezo wa kuzitumia kwa 70% na anajiri raia wa EAC kwa kiwango kisicho chini cha 70% ya gharama ya mshahara ya mtengenezaji wa bidhaa ambayo tayari anafanya, kutoka kwa tarehe ambayo mtengenezaji wa bidhaa ameweka uwekezaji zaidi ya usawa wa USD milioni 35. |
Hakuna kodi ya stempu kwa bondi ya usalama (security bond) au hati ya rehani/motigeji kwa njia ya usalama kwa sababu ya kutumia ofisi au kwa kutoa hesabu ya hazina (pesa) au mali zingine ambazo zimepokelewa juu ya bondi ya usalama au hati ya rehani/motigeji kupitia kwa dhamana ya kupokea mkopo au kifaa cha krediti – ya thamani ya kuingia. |
Mpokea manufaa ni yule aliyetuma maombi ya mkopo (loan). |
VAT |
|
Aina ya motisha |
Masharti ili kupokea msamaha wa kodi
|
Msafirisha bidhaa nje ya nchi (exports) |
Kwa cheo cha sifuri (0%) |
Hakuna VAT kwa usambazaji wa vitu vya masoma za fisibiliti/usahihi na huduma ya kubuni (design servises) kwa usambazaji wa mali ghafi (raw material) ambazo zinazalishwa nchini na pembejeo (inputs). |
Uwekezaji ili kupokea usindikiaji wa bidhaa za kilimo; kutengeneza au kuyunganisha vifaa vya matibabu, sandri za matibabu, au madawa (pharmaceuticals), nyenzo (materials) za ujenzi, magari na vifaa vya kutumia nyumbani, kutengeneza samani (furniture ), palpi, karatasi, kuchapisha nyenzo za kutumia kwa kutoa maelezo (instructural materials); kujenga au kufanya operesheni ya taasisi ya kutoa mafunzo ya mikono; au kufanya biashara ya logistiki/usafirishaji na ghala (warehouse), teknolojia ya habari au biashara ya kilimo.
Lazima uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 10, kwa mwekezaji wa nje na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji imewekwa vijijini. Motisha inaanza kutoka kwa tarehe ambayo biashara iliyoelezwa imeanzishwa, motisha ya usawa itakuwa kwa biashara ambayo tayari iko kwa hifadhi ya kiwanda au Eneo Huru. Mwekezaji lazima atumie mali ghali (raw material) kutoka nchini kwa 70% na anajiri raia wa EAC kwa 70% ambao wanafaa kupokea gharama la mshahara au marupupu kwa 70%. |
Mtu mwenye amesajiliwa kwa VAT, anafaa kudai VAT zote ambazo alilipa/gharama |
Mauzo ya milioni 150 kwa miezi 12 yoyote kwa kusajiliwa ya kwanza. Uwezo wa kuweka rekodi ya hazina na vitabu vya akaunti na anafanya usambazaji ambayo inafaa kutozwa kodi (taxable supply). |
Hakuna VAT kwa gesi inayoyeyuka/liquifaidi na mafuta ambayo haina asili/imedinachiwa ya ethanoli kutoka kwa muhogo. |
Mtaji wa mwekezaji wa kutengeneza bidhaa linafaa lisiwe chini cha USD milioni 30 kwa mwekezaji wa nje au USD milioni 5 kwa mwekezaji wa ndani, ili afanye kusoma fisibiliti/usahihii au kufanya huduma ya ubunifu (design services) ya ujenzi au kwa hali ya mtengenezaji bidhaa mwingine kutoka kwa tarehe ambayo uongezaji wa uwekezaji wa usawa wa USD milioni 30 kwa wawekezaji wa nje au USD milioni 5 kwa mwekezaji wa ndani/nchini;
● Ambaye ana-uwezo wa kutumia mali ghafi kwa kiwango kisicho chini cha 70% kutoka nchini na itatokana na upatikanaji wao na.
● Ambaye anauwezo wa kuajiri raia wa EAC kwa kiwango kisicho chini cha 70% ambao wanapokea jumla la mshahara kisicho chini cha 70% ya gharama la malipo. |
Usambazaji wa madawa ya matibabu na sandri za matibabu ambazo zimetengenezwa Uganda cheo cha kodi ni 0% |
Kama zimetengenezwa Uganda
|
Kuhesabu hazina kitaslimu ya VAT (Cash basis accounting for VAT), kama usambazaji umefanywa kwa Serikali.
|
Msambazaji ambaye amesajiliwa kwa VAT |
Usambazaji wa vikombe vya wanawake wa kutumia wakienda kwa mwezi (menstrual cups) na pembejeo ya kutumia kwa kuzitengeneza kodi inatozwa kwa cheo cha 0%.
|
Msambazaji wa vikombe vya hedhi (menstrual cups) |
KODI YA MAPATO |
|
Aina ya kodi |
Marshati ili kupokea msamaha wa kodi |
Msamaha wa kodi ya kubakisha (WHT) 6% kwa malipo ya bidhaa, huduma na ada (fees) kwa wataalamu (professional fees) |
Miezi 12 na inaweza kurudishwa upya (renewed) Kama Kamishna ameridhika eti mlipakodi amekua akirejesha retani kila mara na amekua akifuata wajibu wake wa kodi chini cha sheria ya kodi. |
Gharama ya ujenzi wa nyumba ya kiwanda ambacho kimepitishwa (approved). |
Mtu mwenye alikuwa na gharama kwa ujenzi wa nyumba ambayo inafaa kufanyishwa kama kiwanda /pahali pa kutengeneza bidhaa na inatumika kwa kuzalisha mapato; mapunguzo ya kodi inakubalika kwa retani yake (Nyumba ya Kiwanda ) kwa cheo cha 5% kila mwaka kwa muda ya miaka 20 kutoka kwa wakati alianza kutumia nyumba. |
Kutambua hasara (recognition of losses) |
Kama kwa mwaka yoyote ya mapato, jumla ya mapato ambayo mwenye biashara amepokea ambayo inahusiana na biashara ni chache kuliko jumla ya gharama. (Gharama inazidi mapato) Gharama zaidi itasongezwa mbele na itakubalika kama hasara kwa mwaka ujao.
Jua yakwamba inafaa kutangazwa na kupitishwa na URA kwa mwaka wa mapato ya kisasa eti ni hasara. |
Kuharibika na kuraruka (wear and tear) |
Kuharibika na kuraruka (wear and tear), marupurupu (allowance) inapewa kwa mali na vifaa (assets and equipments) ambazo zinamilikiwa na taasisi na imesajiliwa kwa jina la biashara.
Vyeo zimepewa kwa Sheria ya Kodi ya Mapato. |
Mapunguzo ambayo imekubalika kwa gharama ya kununua vifaa kwa msambazaji aliyethibitishwa kutumia mfumo wa ankarai ya kielekroniki (e-invoicing system). |
Kukubali mapunguzo kwa gharama ya ununuaji kwa msambazaji aliyethibitishwa kutumia mfumo wa ankara ya kielekroniki (e-invoicing). Msambazaji atagazetiwa na gharama lazima ushahidi wa kutumia ankara na risiti ya kielekroniki (e-invoice au e-receipt ). |
100% ya mapunguzo ya gharama ya kisayansi kwa utafiti. |
Mtu ambaye ilipokea gharama ya utafiti wa kisayansi. |
Msamaha wa kodi kwa mapato ambayo inatoka kwa ukodishaji na liisi ya vifaa ambazo zimejengwa kwa hifadhi ya kiwanda (industrial park) na eneo huru (free zone). |
Lazima uwekezaji kisiwe chini cha USD milioni 50 kwa mwekezaji wa nje au USD 10m kwa raia ya EAC. Motisha inaanza kutoka kwa tarehe ya kuanzisha ujenzi. Na pia kwa mwekezaj ambaye ameongeza uwekezaji na tayari alikuwa akifanya shughuli ya thamani ya sawa. |
Msamaha wa kodi ya mapato kwa miaka 10. Mapato ambayo imepokelewa na mtu ambaye anafanya shughuli za biashara ambazo zimeelezwa kwa Hifadhi ya Kiwanda au Eneo Huru. |
Operesheni kwa Hifadhi ya Viwanda au Eneo Huru ambaye amefanya uwekezaji kwa usindikiaji wa bidhaa ya kilimo; Mtengenezaji wa bidhaa au muyunganishi ya vifaa vya matibabu, masandri za matibabu au madawa (pharmaceutical) nyenzo za ujenzi, magari, vifaa vya kutumia nyumbani, utengenezaji wa samani/furniture, palpi, karatasi, uchapishaji wa vitu vya kutoa mwelekezo/maelezo (instructional materials), utengenezaji wa mipira/magurudumu, vitu vya kuvaa kwa miguu, matresi na dawa ya meno (tooth paste).
Lazima Uwekezaji kisiwe chini cha USD 10m kwa mwekezaji wa nje na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa vijijini. Motisha inaanza kwa tarehe ya kuanzisha biashara ambayo imeelezwa. Motisha sawa kwa mwenye hufanya oparesheni ambaye tayari ako kwa biashara kwa Hifadhi ya Viwanda (Industrial Park) au Eneo Huru (Free Zone). Mwekezaj lazima atumie mali ghafi kisicho chini cha 70% kutoka nchini na anajiri raia wa EAC kwa kiwango kisicho chini cha 70% na lazima wapokee gharama ya malipo ya mshahara kisicho chini cha 70%. |
Msamaha wa kodi ya mapato kwa miaka 10. Mapato ambayo imetoka kwa shughuli ya biashara ambayo imeelezwa yoyote nje ya hifadhi ya kiwanda au eneo huru. |
Mwekezaji nje ya Hifadhi ya Viwanda au Eneo Huru ambaye anafanya shughuli ambazo zimeelezwa juu
Lazima Uwekezaji kisiwe chini cha USD 10m kwa mwekezaji wa nje na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa vijijini. Motisha inaanza kwa tarehe ya kuanzisha biashara ambayo imeelezwa. Motisha sawa kwa mwenye hufanya oparesheni ambaye tayari ako kwa biashara kwa Hifadhi ya Viwanda (Industrial Park) au Eneo Huru (Free Zone). Mwekezaj lazima atumie mali ghafi kisicho chini cha 70% kutoka nchini na anajiri raia wa EAC kwa kiwango kisicho chini cha 70% na lazima wapokee gharama ya malipo ya mshahara kisicho chini cha 70%.
|
Msamaha wa kodi ya mapato ambayo imepokelewa na mtu kutoka kwa usindikiaji (processing ) wa bidhaa za kilimo. |
Mwaka moja. Inaweza kurudishwa upya (renewed) kila mwaka. Mwekezaji lazima atumie planti na mashine ambayo bado haijafanyishwa awali/kitambo Uganda, atume maombi na apewe cheti cha Kusamehewa kodi kutoka kwa URA na lazima awe akitii/akifuata sheria ya kodi. |
Msamaha wa kodi ya mapato ambayo imetoka kwa kuchukua bidhaa za mtaji (capital goods) nje ya nchi |
Miaka 10. Msamaha wa kodi itakubalika kutoka kwa wakati uwekezaji ulianzishwa.
Mwekezaji lazima auze bidhaa nje ya nchi kwa 80% za uzalishaji (production). Mwekezaji lazima atume maombi ya kusahemewa kodi na apewe cheti cha Kusamehewa kodi. |
Mkataba (agreements) ya Kutoza kodi ya Marambili (DTA) : Wawekezaji ambao wametoka kwa mataifa ambao ziko na (DTA) ya kisasa na Uganda kama Ungereza, Denmark, Norway, Afrika Kusini, India, Italia, Uholanzi, na Mauritius. Cheo cha kodi ya kubakisha (WHT) kwa mgawo (dividend), riba (interest) ada (fees) ya manejimenti na royalti ni 10% isopukuwa Ungereza ni 15%.
|
Mwenye umiliki wa kufaidika kwa biashara (Beneficial owner) namna imefafanuliwa kwa Sheria ya Mapato ambayo imewekwa na iko na maana kiuchumi kwa taifa ambayo Uganda iko nawo kwa (DTA). |
Mapunguzo ya 2% ya kodi ya mapato kwa mwajiri ambaye anajiri watu wa PWDs |
5% ya wajiriwa lazima ni watu ambao wana ulema (PWDs) |
Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bure 0800117000 au 0800217000 au WhatsApp: 0772140000