Wasanii na Watendaji

Msanii ni nani?

Msanii (artist) ni mtu yeyote ambaye anafanya shughuli ya usanii kama kupaka rangi, uchongaji (sculpturing), ushairi (poetry), uimbaji, kufanya filamu, uchoraji, kuandika muziki.

Mtendaji (performer) ni nini?

Mtendaji (perfomer) ni mtu ambaye anaburudisha watazamaji kwa kufanya shughuli ya uigizaji (acting), kuimba na kucheza muziki.

Mtendaji (performer) hufanya shughuli ya kuburudisha watazamaji (mashabiki) kwa kuonyesha vipaji (talent) ya uhandisi kwa matarajio ya kupokea mapato.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 48 times, 1 visits today)

Wahusika muhimu wanajumuisha: mapromota mameneja wa tukio (event managers) VJs, DJs, MCs, wahandisi wa nyimbo, shairi, wanamuziki, wenye kufanya kama mfano (models), waigizaji (actors), na watayarishaji wa muziki au tukio (producers).

 

Watu wote ambao wanapokea mapato kutoka kwa biashara ya burudani wanajukumu wa kijisajili na URA.Wahusika wote kwa sekta ya burudani Uganda wanahitajika kukuwa na TIN.

Kwa mtu binafsi

– Kitambulisho ID

– Cheti cha kusajiliwa

Kwa mtu asiye binafsi/kampuni (for non individuals )

– Fomu 20 ya kampuni

– Cheti cha kusajili kampuni

Bonyeza hapa kwa habari zaidi za kuhusu kusajiliwa

Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug

– Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (for individual)

– Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi/kampuni (for non individual)

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi

Kodi ya mapato – Inafaa kulipwa na mtu binafsi na mtu asiye binafsi (for non individual)

Kodi ya kubakisha (WHT)

  • Kodi ya kubakisha kwa usambazaji – kama wewe ni ajenti ambaye amethibitishwa unafaa kubakisha kodi kwa cheo cha 6% kwa msambazaji ambaye idadi ya shughuli ni UGX 1,000,000 kwa kila shughuli.
  • Kodi ya kubakisha kwa mtu asiye mkazi ambaye anaburudisha umma – kodi hii inatozwa kwa cheo cha 15% kwa jumla ya malipo ambayo mtu asiye mkazi amepokea. Kodi inabakishwa na kulipwa kabla mtu asiye mkazi kuondoka nchini.
  • Kodi ya kubakisha kwa malipo ya mtu wa ndani aliyetoa huduma ya kuburudisha watu, umma – kodi hii inabakishwa kwa cheo cha 6% kwa jumla ya idadi na kuwashilishwa/kuperekwa kwa URA.

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) – kama jumla ya mapato kwa mwaka inazidi UGX 150,000,000 au UGX 37,500,000 kwa kila robo ya mwaka ya mapato, utahitajika kusajiliwa na kuanza kupeyana ankara ya (EFRIS).

Tafadhali jua

Cheo cha kodi ambacho kinafaa cha mapato kwa kampuni/mtejaa asiye mtu binafsi ya mapato ya taasisi ambayo inafaa kutozwa ni (jumla ya mapato kama wameondoa mapunguzo ambayo inakubalika) na kwa hivyo kodi ya mapato ya mtu binafsi inategemea mabano (bracket) ambayo mtu akomu.

Bonyeza hapa ili upokee cheo cha kodi ya mtu binafsi.

Retani hii inajazwa namna retani zingine za mapato hujazwa

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu namna ya kurejesha retani

Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa hizi, benki, simu rununu, VISA, Mastakadi nakadhalika.

Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Kama hauwezi kujisajili kimtandaoni, tembelea ofisi ya karibu ya URA ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content