Ufugaji wa Kuku

Ufugaji wa kuku nine?

Ufugaji wa kuku ni ukuzaji/ufugaji wa wa ndege kama kuku, batamzinga (turkeys), na bukini (geese) ya kibiashara au ya matumizi ya nyumbani.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 36 times, 1 visits today)

Watu muhimu ambao wanahusika kwa ufugaji ni;

  • Wafugaji wa kuku (poultry farmers)
  • Wafugaji wa uzalishaji (breeders) wa kuku na shughuli ya kuangua/kupasua mayai (hatcheries) ambao wanatunza ili zitumike kwa uzalishaji wa vifaranga vya siku moja (day old chick).
  • Mashine ya usindikiaji/kutengeneza vyakula vya kuku
  • Muuzaji wa madawa za kuku kwa maduka za madawa za kutibu wanyama.
  • Mwenye biashara ya bidhaa za kuku

  • Ukitaka kusajili jina la biashara ya kuku, unaweza kutembelea Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB).
  • Utapewa cheti cha kusajili Kampuni au cheti cha kusajili jina la biashara.
  • Wahusika kwa sekta wa kutoa mpango kama mtu anataka kufungua ofisi, kupokea leseni la biashara kutoka kwa KCCA / Munispaa
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (ili upate TIN).

Tafadhali jua:

Baada ya kusajiliwa mkulima anafaa kufuata/kutii Sheria ya Idara ya uzalishaji (husbandry) wa wanyama kutoka kwa Wizara ya Kilimo,Mnyama, Kiwanda na ufugaji wa Uvuvi (fisheries).

  • Kitambulisho cha Kitaifa (ID)
  • Cheti cha Kusajiliwa.

Kwa mtu asiye binafsi /Kampuni (non individual)

  • Fomu ya Kampuni 20
  • Cheti cha kuingiza/Kusajili Kampuni/Shirika

Bonyeza hapa ili upokee habari kwa kina kuhusu kusajili biashara ya mifugo

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (individual)
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu asiye wa binafsi / Kampuni (non individual)

Bonyeza / finya hapa ili uone haki na wajibu wako kama mlipakodi

Kodi ya Shirika (Corporation tax)

Kiwango/cheo cha kodi kwa Kampuni ni 30% kwa mapato ya taasisi (entity) ambazo zinafaa kutozwa, kodi ni (jumla ya mapato halafu kutoa mapunguzo ambazo zinakubalika)

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu uhesabu wa kodi ya Shirika.

Kodi kwa mapato ya mtu binafsi (individual tax)

Kodi ya mapato kwa mtu binafsi inategemea kikundi cha mabano (bracket) ambayo mapato ya mtu binafsi ikomu

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu cheo cha kodi ya mapato ya mtu binafsi.

Tafadhali jua:

Kodi ya kutozwa kama unaingiza mapato (PAYE) itakuwa kwa walio kwa sekta ambayo inajiri wafanyakazi wa (utawala au wanaolipwa kila siku) ambao wanapokea zaidi ya jumla ya 235,000 kila mwaka. Aina ya kodi hii inabakishwa kila mwezi.

WHT na VAT itakuwa kwa waliotengeneza/usindikiaji (processing) wa vitu vya sekta ya kilimo na vyakula (kuongeza thamani) isipokuwamu nafaka ya ngano (wheat grain)

Kodi ya kubakisha WHT ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo (source) na (mtu ambaye amethibitishwa kubakisha) kama amefanya malipo kwa mtu mwingine (payee). Kama mwenye anafuga kuku amesambaza bidhaa zinayozidi milioni 1. Mtu ambaye amepokea/amesambazwa anafaa kutoza WHT kwa cheo cha 6%. Mkulima atapokea Cheti Cha kuthibisha kufanya/kumaliza Malipo (TCC)

ambayo itasadia wakati wa kupunguza deni ya kodi akirejesha retani ya kodi ya mwisho.

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) ni kodi kwa matumizi ambayo inatozwa kwa 18% kwa bidhaa zote ambazo zimesambazwa na mtu ambaye anafaa kutozwa kodi, Kiwango cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo ambayo yanazidi 150m, au 37.5 kwa miezi mitatu ambazo zinafuatana.

Baada ya kusajili retani unahitajika kulipa kodi kupitia kwa jukwaa (platforms) kama benki, pesa kwa simu ya rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, USSD (code) (*285#) na kadhalika.

Tafadhali jua: Yakwamba tarehe kamili ya kurejesha retani ni tarehe ya malipo

Ukweli. Kuna motisha ambazo zinapewa wafugaji wa kuku, na hizi ni

Motisha  (incetives ) ya kodi chini cha Kodi ya ndani (Domestic Taxes)

Maelezo

Motisha ya kodi (Tax incetives)

Hakuna kodi ya stempu kwa sera ya bima (insurance ) ya kilimo

Mwenye kupokea manufaa: Bima ya kilimo (agricultural insurance)

Kusamehewa kodi ya VAT kwa usambazaji wa bidhaa za kilimo, vyakula vya wanyama na primixes. Uongezaji wa huduma ya kilimo karibu na wakulima ( extension services). Kazi ya unyunyuzi (irrigation ) na (sprinkler), usambazaji wa bima ya kilimo nakadhalika.

Mlipakodi kwa sekta ya kilimo

Kusamehewa kodi ya WHT kwa usambazaji wa vitu vya kilimo

Vitu zote ambazo zimesambazwa kwa kilimo

Utambuaji wa hasara (recognition of losses)

Kama kwa mwaka yoyote ya mapato, jumla ya mapato ya mlipakodi ni chache kuliko jumla ya gharama  ambayo imetokea kwa shughuli za uzalishaji wa mapato ya biashara, hasara zaidi (loss) itasongezwa mbele na itakubaliwa kama hasara kwa mwaka ujao. Jua yakwamba liwe limetangazwa (declared) na kuthibitishwa na URA kwa mwaka iliopo/wa sasa ya mapato kama hasara imetokea  (loss)

 

 

Kemikali za mifugo (veterinary chemicals)

● Kusamehewa VAT kama imeagizwa na muuzaji chini cha Sheria ya VAT.

 

● Kusamehewa kodi zote kama imeletwa nchini na mwenye shughli ya kilimo chini cha Ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 2004.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Pembejeo  (input) ambayo imeagizwa/kuletwa nchini na mtu ambaye ako kwa kilimo cha bustani (horticulture), au kilimo cha maua (floriculture) na ufugaji wa samaki  (aquaculture), kama upasuaji/kuangua wa mayai (hatching eggs), vifaranga vya siku moja, shahawa/ mbegu ya kike/ume (semen), mayai ya samaki, samaki changa (fry fingerling), mbegu, manyumba ya kijani kibichi (green houses)/ nyenzo (material ) ambayo inatumika kwa ujenzi wa manyumba za kijani (green houses), inkubeta ,  mashine ya kupasua mayai (hatchery nakadhalika).

 

 

 

Kuku wazazi ambazo zimeletwa nchini na mtu mwenye shughuli ya ufugaji wa kuku

 

Kuku ya nyama na ya kutaaga mayai (a broiler and layer) kuongeza shamba la wafugaji (breeder farm raise)

 

Wazazi akiba (parent stock) ambazo zinataga mayai za mbolea (fertilized eggs )

 

Kuku ya nyama na ya kutaga mayai (Broiler and layer)  mayai ambazo kuku zimetaaga haifai/ haipaswi kuuzwa kwa maduka au kuliwa na binadamu. Isipokuwa kupasuliwa kwa vifanga vya siku moja.

● Kusamehewa VAT kama imeagizwa na muuzaji chini cha Sheria ya VAT.

 

● Kusamehewa kodi zote kama imeagizwa na muuzaji ambaye anaji-shughulisha kwa kilimo chini cha Ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 2004.

 

Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea ofisi ya URA iliyo karibu ili upokee usaidizi au tupigie simu kwa nambari ya bure 0800117000/0800217000 au WhstsApp: 0772140000

 

 

 

 

 

Click to download Agricultural Sector Guide
Add to Bookmarks (0)
Print Friendly, PDF & Email
Skip to content