Utengenezaji/usindikiaji wa nguo ni mchakato wa kubadilisha mali ghafi (raw material) kwa nyuzi (threads) ili kutengeneza nguo na vitambaa kwa kutengeneza, kushuka, (knitting) au feltingi. Bidhaa ya nguo inajumuisha nguo, (upholstery), vifaa vya kutumia kwa nyumba kama suuka, kapeti na bidhaa zingine za kutengenezwa kwa kampuni.
Biashara ya usindikiaji wa nguo (textiles) inafaa kusajiliwa na;
Tafadhali jua:
Kama umesajiliwa unahitajika kutii mahitaji za mashirika za kisheria (Statutory bodies) kama;
For individual
For non-individual
Bonyeza hapa kwa habari kwa kina ya kujisajili
As a taxpayer, you’re entitled to rights. However, there are obligations that you must fulfill.
Bonyeza hapa kwa habari kwa kina ya haki na wajibu wa mlipakodi.
Click here  for your obligations as a taxpayer.
Biashara madogo/kodi ya prisamptivi
Hii ni kodi ambayo inatozwa kwa biashara ambayo mauzo yanazidi UGX 10,000,000
na hayazidi UGX 150,000,000.
Kodi ya Shirika (Corporation tax)
Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi (kampuni) kwa cheo cha 30%.
Kodi ya Shirika /Corporation tax
Ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi kampuni/non-individuals ) ambaye anahusika kwa sekta hili, kodi kwa cheo cha kawaida cha 30% (standard rate).
Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT)
VAT ni kodi ambayo inawekwa kwa matumizi (consumption) na inatozwa kwa cheo cha 18% kwa bidhaa/huduma ambayo imesambazwa na mtu ambaye anafaa kutozwa (taxable person) kama mtu ambaye amesajiliwa au anahitajika kusajiliwa kwa VAT. Kiwango cha chini cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo zaidi ya milioni 150, au milioni 37.5 kwa miezi tatu mfululizo/ambazo zinafuatana.
Bonyeza hapa ili ujisajili kwa VAT
Tafadhali jua;
Watu wote ambao wamesajiliwa kwa VAT wanafaa kusajiliwa kwa EFRIS na kuanza kupeyana Ankara (invoice) ya kielektroniki (e invoices)
Bonyeza hapa ili upate habari namna ya kujisajili kwa EFRIS.
KODI YA MADHARA YA NDANI (LOCAL EXCISE DUTY)
Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa bidhaa maalum au ambayo imetengenezwa nchini, kwa huduma kama ya bia, vitu vya kukunywa ambazo sio pombe, mafuta ya kupikia nakadhalika
Bonyeza  hapa ili upate kiwango cha kodi ambayo kinatumika
W
Tafadhali jua;
Kampuni zingine kwa viwanda vya usindikiaji wa kilimo zinahitajika kukuwa na kodi ya stempu ya kidijitali.
Kodi ya stempu ya kidijitali ni alama ambayo inawekwa kwa bidhaa au vyombo vyao na ziko na alama za usalama na memberi maalum (codes) za kutafautisha bidhaa bandia na asili na ambayo inawezesha ufuatiliaji wa uwezo wa bidhaa. Bidhaa ambazo zinafaa kukuwa na kodi ya stempu inajumuisha bidhaa za kutozwa kodi ya madhara kama mvinyo (wines), spiriti, maji, sigara, bia, soda, sukari, mafuta ya kupika, matunda na mboga (vegetables) juisi, bidhaa zingine za kukunywa za pombe na zile ambazo siyo za pombe na vinywaji ambazo zimefamentiwa. Bidhaa hizi hazikubaliki kwa soko bila kodi ya stempu.
Kodi ya kubakisha (WHT)
Kodi ya kubakisha ni kodi ya kubakisha ambayo inachukuliwa kwa chanzo (source) na mtu mmoja (ajenti wa kubakisha ), wakati wa kufanya malipo. Wakati wa kufanya malipo kwa mtu mwingine (payee). Kama mtu wa kusambaza bidhaa kwa biashara ya usindikiaji wa kilimo zaidi ya milioni moja (1), kwa mtu ambayo bidhaa zimesambazwa kutoza kodi kwa cheo cha 6%. Kampuni/Planti itapokea Cheti cha Krediti ya Kodi (TCC) ambayo itasaidia kwa kuondoa (offsetting) dhima ya kodi (tax liability) na wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.
Bonyeza hapa kwa habari kuhusu kodi ya Kubakisha.
Tafadhali jua;
Kodi ambayo imebakishwa ina-kreditiwa/kupunguza kwa kodi ambayo inafaa kulipwa wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.
Lipa ukiingiza mapato (PAYE)
Kodi hii inawekwa kwa wahusika kwa sekta hii, ambao wako na wajiriwa (employees) wa utawala au wa kulipwa kwa kila siku ambao wanapokea jumla la mapato zaidi ya Ugx 235,000 kila mwezi, aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.
Bonyeza hapa ili upate vyeo vya PAYE.
Retani hii inajazwa namna retani zingine za mapato zinafanywa.
Bonyeza hapa ili upokee habari namna ya kurejesha retani.
Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa, ukitumia jukwaa (platform) hizi kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, USSD na (code) (*285) nakadhalika.
Tafadhali jua:
tarehe yenyewe ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.