Boda boda owner/rider

Nani ni mwendeshaji /mwenye boda boda?

Hii ni mtu binafsi /kampuni ambayo inafanya shughuli/operesheni ya pikipiki/boda boda kwa biashara.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 24 times, 1 visits today)

Kama unataka kufanya biashara ya boda boda unafaa kujisajili na:

– Kwa mtu asiye binafsi (non-individual/kampuni) unaweza kusajili jina la kampuni kwa URSB, Uganda.

– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi.

– Pokea bima ya mtu wa tatu (third party) au jumla la Sera (comprehensive policy) kwa kampuni ya bima.

– Kutii/kufuatilia masharti ambazo zimepitishwa na Serikali ya Mamlaka ya Mtaa (government local authority).

 

Kwa mtu binafsi (individual)

– Kitambulisho ID

Kwa kampuni (mtu asiye binafsi )

– Fomu 20

– Cheti cha kusajili kampuni

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi za kusajiliwa

Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug

Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi

– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi (non-individual)

Kama mlipakodi, unahaki na kwa hivyo una wajibu ambayo unafaa kutimiza/kufanya.

Bonyeza hapa kwa habari zaidi kuhusu haki na wajibu wako kama mlipakodi.

Kodi ya mapato ya mapema (advance income tax)

Kodi ya mapato ya mapema, inalipwa na mwenye boda boda kwa cheo cha Ugx 20,000 kila mwaka.

Tembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug

– Bonyeza kwa huduma ya kielektroniki  (e services), Kusajili malipo

– Weka TIN

– Chagua kichwa cha kodi kama kodi ya mapato – kodi ya mapato ya mapema ya gari

– Chagua assessmenti asili (original)

– Weka nambari ya kusajili pikipiki/boda boda

– Weka maandishi (text) kutoka kwa picha fulani

– Bonyeza ili usukume

Hapana, mwenye jina ambayo iko kwa boda boda ndiye anafaa kulipa Kodi, na hata hivyo kama umemiliki unafaa kubadilisha umiliki wa boda boda/piki piki kwa jina lako na kuanza kulipa kodi.

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content