Sekta la usafirishaji inajumuisha nini kwa mambo ya kodi ?
Sekta ya usafirishaji Uganda inaweka manane (empasies) kwa magari za mizigo na za abiria kwa kusudi ya kodi.
Biashara zote za usafirishaji Uganda zinafaa/zinahitajika kusajiliwa kwa;
– Wizara wa Kazi na Usafirishaji ili kupokea leseni.
– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa mambo za kodi
– Kwa mtu asiye binafsi (kampuni) unaweza kusajili jina la kampuni kwa URSB.
– Pata/pokea bima ya mtu wa tatu (third party) au jumla la sera kwa kampuni yoyote ya bima.
Mtu binafsi (for individual )
– Kitambulisho cha kitaifa
– Cheti cha kusajiliwa
Kwa mtu asiye binafsi (kampuni)
– Fomu ya kampuni 20
– Cheti cha kusajili kampuni (Certificate of incorporation).
Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi.
– Unahitaji kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug
– Bonyeza hapa ujisajili kama mtu binafsi (individual )
– Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi (kampuni)
Kama hauwezi kujisajili kama mtu binafsi kimtandao, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu ili upate usaidizi au piga simu kwa nambari bila malipo ya 0800117000 au WhatsApp: 0772140000.
Kama mlipakodi unahaki ya kupokea haki zako, na kwa hivyo una wajibu ambayo unafaa kutimiza.
Bonyeza hapa ili upokee habari kuhusu haki na wajibu wako kama mlipakodi.
Kodi ya mapato ya mapema (advance income tax) kwa walipakodi wote
Kodi ya mapato ya mapema (advance income tax) inalipwa na gari la abiria na la mizigo.
Wenye magari wanahitajika kulipa kodi ya mapato ya mapema (advance income tax) mara moja kila mwaka.
Tafadhali jua:
Kwa Bodi ya kutowa Leseni la Usafirishaji (TLB) utapewa assessmenti ya (PSV + Kodi ya mapato ya mapema ).
Lipa ukiingiza mapato (PAYE) – inalipwa na wafanyakazi ambao wako kwa sekta hili ambao wanapokea UGX 235,000 kila mwaka. Mwajiri atabakisha kutoka kwa mshahara wa mwajiriwa (employee ) na kupeleka kwa (URA).
Bonyeza ili upate vyeo vya (PAYE)
Kodi ya kubakisha (WHT) – italipwa na mwenye gari kama huduma imesambazwa kwa ajenti ambaye ameoorodheshwa kubakisha kodi kama thamani ya ankara inazidi UGX 1,000,000.
Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) – kwa mtu mwenye oparesheni ambaye anazalisha mapato ambayo inazidi UGX 150,000,000 kwa mwaka fulani anafaa kusanya VAT kwa kila shughuli ambayo ankara/invoisi imepewa kwa (EFRIS).
Vyeo vya kodi ya mapato ya mapema zimeelezwa chini:
SN |
Aina ya gari |
Idadi  (UGX ) kwa kila tani au kila abiria kwa mwaka. |
1 |
Pikipiki |
20,000 kwa kila kiti,kwa mwaka |
2 |
Gari la Huduma ya Abiria (PSVs) |
20,000 kwa kila kiti,kwa mwaka |
3 |
Gari la mzigo ambalo linazidi tani mbili (2) |
50,000 kwa kila tani, kwa mwaka |
Cheo cha kodi ya mapato ya mtu asiye binafsi (kampuni) 30% ya mapato ambayo inafaa kutozwa (jumla ya mapato ukiondoa mapunguzo ambazo zimekubalika).
Tafadhali jua:
Kitu ambacho umelipa kwa kodi ya mapato ya mapema itakreditiwa/itapunguzwa kwa kodi ambayo inafaa kulipwa kwa retani ya kodi ya mwisho.
Kodi ya mapato ya mtu binafsi (individual income tax)
Cheo cha kodi ya mapato ya mtu binafsi inategemea mabano (bracket ) ambayo mtu anafaa kuwekwa.
Wanayohusika kwa sekta hili wanakumbushwa kurejesha retani ya mwisho kwa kila mwisho wa kila mwaka. Hii itasaidia wakati wa kupunguza (offset) kile ambacho kimelipwa kwa mwaka.
Bonyeza ili upokee cheo cha kodi
Tafadhali jua:
Kwa mwisho wa mwaka , (URA) inakushauri kurejesha gharama ya retani ya mwisho ya mapato kwa mwaka kwa mtu binafsi na asiye binafsi (individual and non-individuals).
Bonyeza ili upate habari kwa kina cha kurejesha retani.
– Tembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug
– Bonyeza kwa huduma ya kielektroniki (e Services ). Sajili malipo.
– Weka TIN yako
– Chagua aina ya kichwa cha kodi kama kodi ya mapato – kodi ya mapato ya mapema ya gari
– Chagua assessmenti asili (original )
– Weka nambari ya kusajili gari
– Weka TIN
– Chagua mwaka wa assessmenti/kuthatmini kodi
– Weka habari kutoka kwa picha ambayo imepimwa
– Bonyeza ili usukume
KODI YA MAPATO |
|||
Mwenye anafaa kufaidika |
Manufaa  |
Muda ya Manufaa |
Masharti ya kupokea Manufaa ya Kodi  |
Mwenye oparesheni ya ndege |
Msamaha wa kodi kwa wenye kufanya operesheni ya ndege (aircraft) |
Bila kikomo |
Inakuwa kwa watu ambao wako kwa shughuli ya usafirishaji wa anga kwa trafiki la kinyumbani na ya kimataifa au ukodishaji wa ndege (aircraft leasing).
|
Msafirishaji wa kigeni |
Msamaha wa kodi ya mapato ambayo imetokea kwa usafirishaji wa abiria au mizigo au barua ambayo imetoka nje ya nchi |
Bila kikomo |
Usafirishaji wa abiria au mizigo au barua lazima liwe limeletwa kutoka nje ya Uganda. |
Maelezo (Description ) |
Motisha ya kod |
Gari la biashara ya jumla ya uzito wa tani 20 na zaidi. |
Hakuna kulipa kodi ya uagizaji (import duty) kwa mwaka moja, VAT inalipwa.
|
Trekta la kutumia kwa barabara ya nusu – trela (semi trailer) |
Hakuna malipo ya kodi ya uagizaji (import duty) kwa mwaka moja, VAT inalipwa
|
Gari la kubeba mizigo ya jumla la uzito ambalo linazidi tani 5 na halizidi tani 20
|
Kodi ya uagizaji ni 10% badala la 25% kwa mwaka moja |
Meli na vyombo vya maji vingine, na hizi ni
1.Vyombo vya mizigo na mabiria za aina zote za tanj ishirini na tano, uzito kamili au zaidi (net weight).
 2. Meli ya kebo, kiwanda cha kinachoelea (floating),     vyombo vya kuwinda/kukamata nyanguni (shark) matrowla (trawler) na vyombo vingine vya kuvua masamaki, isipokuwa vyombo vya kuvua samaki la mchezo (sport fishing vessel).
3. Meli ya mazingira, majahazi ya hopa (hopper barges), vifaa vya kutumia kwa kumulika (lighters) na pantoni (vyombo ambazo ziko na deki la flati la kusafirisha abiria na mizigo).
4. Feri, xxxmashuwa, vipande na viungo, zisipokuwa betri na spakiplegi
|
Kodi zote zimesamehewa chini cha ratiba (schedule) ya tano ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 2004. |