Agenti Wa Mali Isiyohamashika

Man obedo dano ame cung akakawany ocat onyo owil icato onyo wilo lobo kedegedo/wudi dang dok obedo dano ame jang gamente ame loyo lobo, wudi kede dongo boma omiyo lanycec. Akub cato kede wilo lobo kede wudi dang dok kubu wegi lobo kede wudi bot opangica kede dang dok oluluke mere.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 13 times, 1 visits today)

Mawakala/Majenti wote wa mali zisizohamishwa wanafaa kusajiliwa na;

  • Shirika ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) ya usajili wa Makampuni
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa Shughuli za kodi
  • Mamlaka ya Halmashauri ya Mtaa kama KCCA, Halmashauri ya mtaa kwa huduma ya utoaji wa leseni la biashara.

Tafadhali jua:

Kama shughuli ya kusajiliwa limekamilika, wakala/ajenti wa mali zisizohamishwa wanafaa kufuatilia sheria (statutory) za mashirika kama hizi;

  • Shirika ya Mamlaka ya Uwekezaji (UIA)
  • Wizara wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya jiji
  • Shirika ya Mamlaka ya Usimamizi wa hali ya Hewa (Environment) (NEMA)

Bonyez/afinya hapa ili upokee mahitaji ambazo zinahitajika ili usajiliwe.

  • Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go .ug
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (an individual)
  • Bonyeza/finya ili ujisajili kama mtu asiye binafsi/kampuni (non individual)

Kama haujaweza kujisajili kimtandaoni, tembelea ofisi ambayo iko karibu ya URA ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari yasio ya malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000.

Haki zangu kama mlipakodi

Wajibu wangu kama mlipakodi ni zipi

– Haki ya kuhudumiwa kwa usawa (equity) kwa mujibu wa Sheria

– Fanya jukumu la kujitolea bila kulazimishwa ili usajiliwe kwa kodi kwa Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda kama mlipakodi.

– Sheria na Utaratibu wa kisheria itatumika kwa uthabiti (consistently)

– Rejesha retani sahihi la kodi, entri ya Forodha (Customs entry ) au entri zingine ambazo zinahusiana na habari za mapato.

– Mambo zako za kodi itashughulikiwa bila mapendeleo (impatiality)

– Kufanya/kutimiza malipo kwa wakati sahihi na sehemu kamili namna inahitajika kisheria cha kodi

– Wewe na ajenti wako mtachukuliwa kuwa hamukukuwa na hatia hadi mukithibitishwa eti kuna makosa

– Onyesha uaminifu na ukarimu kwa shughuli zako na URA

– Habari zako za kodi ambazo tuko nazo zitawekwa kisiri na zitatumika kwa mujibu ya kisheria

– Kama unashughulikia habari zako za kodi wewe na wakala/ajenti wako unahitajika kutumia afisa wa URA ambaye amepewa mamlaka hayo (amethibitishwa).

– Wewe na ajenti/wakala wako mtapewa habari kwa ufupi ambayo ni sahihi/sanifu (clear)

– Weka/andika TIN yako wakati wowote kwa shughuli zako na URA

– Kwa kila wakati utalipa kodi kamili/sahihi

– Usijishughulishe kwa ukwepaji wa malipo ya kodi na shughuli zingine ambazo ziko kinyume cha sheria.

– Utapokea huduma bora ya kitaaluma kwa wakati wote (professional)

– Wakati wa kuleta au kuchukua bidhaa nje ya nchi. Tumia huduma ya wakala wa Forodha (Customs) ambaye analeseni ili afanye shughuli za kuweka entri za forodha (customs) na utaratibu zingine za kliarensi.

 

– Utapokea majibu ya swali yako kwa wakati ambayo inafaa, sahihi (clear) na kamili (accurate )

– Tamka/tangaza (declarations ) habari zote na tamko (declarations) zote za shughuli sahihi kwa wakati wote.

– Utapewa sababu juu/kutoka kwa uamuzi wetu.

– Unaweza kufahamisha URA ukitaka mtu wa kutafsiri  (translator) habari.

– Utaelimishwa/utajulishwa kuhusu wajibu wako wa kodi

– Unafaa kujua utaratibu wa forodha ya karantini ya Wanyama pori, sarafu (currency) na kibali cha abiria (passenger concession).

– Upingaji wa kodi (objections) itajibika kulingana na utaratibu wa kisheria cha kodi.

– Kama unasafiri hakikisha eti utaratibu wote wa kujaza fomu sahihi kabla ya kufika kwa eneo la kuondoka au kuingia nchi (entry and departure).

– Utapewa usaidizi ili utumie haki yako kutafuta rufaa kwa Shirika au kwa Mahakama ya kutatua mambo za kodi kwa mujibu wa kisheria.

– Toa tamko (declare ) la bidhaa kama zimefikishwa kwa eneo la kuingia (arrival) nchi, ziweke ziwe tayari kukaguliwa.

– Utapewa notisi kabla ya eneo lako lifanywe ukaguzi au vitabu vya hazina kuhesabuliwa

– Wakati wa shughuli zako na afisa wa URA onyesha uwazi (transparency) na heshima (discipline).

Twero na  acalo acul ocolo                                                     

Tica acalo acul ocolo

Twero me ngol arom-aroma dang dok opore inyim cik.

Neni icoye bot dul aloyo rayo ocolo iUganda (URA) abongo dic acalo acul ocolo.

Cik me ocolo obino tic kede ikomi kare ducu

 
   
   
   
   
   
   
   
   
   
   
   
   
   

Kodi Ya Mapato Isiyo Ya Mtu Binafsi/Kampuni (Non Individual Income Tax)

Cheo cha kodi ya Kampuni ni 30% kwa mapato ya tasisi ambayo inafaa kutozwa (jumla ya mapato halafu ondoa mapunguzo ambazo zimekubalika (total income then deduct allowable deductions)

Kodi Ya Mapato Ya Mtu Binafsi (Individual Income Tax)

Cheo cha kodi kwa mtu binafsi inategemea kikundi/mabano (bracket) ya mapato ambayo upokeaji/ uingizaji umetokea.

Cheo cha kodi kwa mtu mkazi (resident)

MAPATO INAYOTOZWA KILA MWAKA (CY) KWA SHILINGI YA UGANDA

KIWANGO/CHEO CHA KODI

0 hadi 2,820,000

Hakuna kodi

2,820,000 hadi 4,020,000

(CY – 2,820,000 SH U) X 10%

4,020,000 hadi 4,920,000

(CY – 4,020,000 SH U ) X 20% + 120,000

4,920,000 hadi 120,000,000

(CY – 4,920,000 SH U) X 30% + 300,000

Zaidi ya 120,000,000

[(CY – 4,920,000 SH U) X 30% + 300,000 SH U] + [(CY – 120,000,000 SH U) X 10%

 

Kiwango/Cheo cha kodi kwa mtu asiye mkazi (non resident)

MAPATO INAYOTOZWA KILA MWAKA (CY) KWA SHILINGI YA UGANDA

KIWANGO/CHEO CHA KODI

0 hadi 4,020,000

CY × 10%

4,020,000 hadi 4,920,000

(CY – 4,020,000  SH U) × 20% + 402,000 SH U

4,920,000 hadi 120,000,000

(CY – 4,920,000 SH U) × 30% +582,000 SH U

Zaidi ya 120,000,000

[(CY – 4,920,000 SH U) × 30% + 582,000 SH U ] + [(CY – 120,000,000 SH U) × 10%

 

KODI YA KUBAKISHA (WHT)

Kodi kwa mapato ya kubakisha (WHT) ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo (source) kupita kwa mtu mmoja (ajenti wa kubakisha) akilipa mtu mwingine (payee).

Tafadhali jua

Kodi ambayo imelipwa inakreditiwa/kupunguzwa kwa kodi ambayo inafaa kulipwa kwa wakati wa kurejesha mapato ya mwisho

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu kodi ya kubakisha (WHT)

Kodi ya kubakisha (WHT) inaweza kuchukuliwa kwa huduma ya wakala ya mali isiyohamashika (real estate)?

Mtu mkazi (resident) ambaye analipa nauli (fees) ya manejimenti au ya kitaaluma (professional) kwa wakala/ajenti mkazi (resident) anafaa kubakisha kodi kwa kiwango/cheo cha 6% kwa jumla ya malipo.

MALIPO KAMA UNAINGIZA MAPATO (PAYE)

Wakala/ajenti wa mali isiyohamashika /shirika ambayo iko na wafanyakazi ambao wanapokea mshahara ambayo inazidi shilingi 235,000 kwa kila mwaka anahitajika kujisajili kwa kodi ya kutozwa ukipokea mapato (PAYE) kubakisha kodi na kupereka/kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza/finya hapa ili upate viwango/vyeo vya PAYE

 
   
   
   
   
   
   

 

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari ambayo inaeleza namna ya kurejesha retani

 

 

Baada ya kurejesha retani ambayo inafaa unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa/kamili kupita kwa jukwaa (platform) ya benki, pesa kwa simu ya rununu, VISA na Kadi ya mastakadi nakadhalika.

Tafadhali jua: tarehe kamili/yenyewe ya malipo ya kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza/finya hapa ili usajili malipo

Ni ukweli kunamotisha ambayo wakala/ajenti wa mali isiyohamashiki wanapokea – kwa wakala wa ndani na wa wakala/ajenti wa kigeni na hizi ni:

Motisha ya kodi chini cha idara ya kutoza kodi ya ndani

KODI YA MADHARA (EXERCISE DUTY)

Motisha (Incetives )

Muda ya Motisha (Period of Incetives)

Mahitaji ili upokee Motisha ya Kodi

Mwenye kupata Manufaa (Beneficiary )

Msamaha wa kodi ya mapato ambayo imetoka kwa ukodishaji/liisi ya kifaa ambayo imejengwa kwa kwa hifadhi ya viwanda au eneo huru.

Miaka 10

 

Lazime uwekezaji lisiwe chini cha USD 50m  kwa mwekezaji wa  kigeni au USD 10m kwa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Motisha (incetives ) inaanza wakati wa kuanza ujenzi na pia mwekezaji ambayo tayari ako kwa biashara pia hupokea motisha hili au kwa uongezaji wa uwekezaji ingine ya thamani kamili.

Mpango wa Uwekezaji wa Pamoja hadi kwa usambazaji (distributions).

Msamaha wa kodi kwa mapato ambayo imetoka kwa Mpango wa Uwekezaji wa Pamoja. (Collective Investment Schemes)

Bila kikomo (Indefinetely)

Lazima wenye operesheni wa mpango wa uwekezaji wa pamoja (Collective Investment Schemes) wawe na leseni. Wenye chama wa mpango wa uwekezaji wa pamoja wasiwe kwa huduma/ shughuli la kila siku la chama/manejimenti ya mali ya chama. Michango ya wanachama na mapato/faida lazima liwekwe pamoja. Mali lazima liwekwe/litunzwe kwa jumla kupitia kwa yule aliyepewa jukumu la operesheni ya chama/mpango wa uwekezaji wa pamoja (Collective Investment Schemes).

Mwajiri wa binafsi wa watu walionaulema (PWDs)

Upunguzaji wa 2% ya Kodi kwa mapato ambayo imetoka kwa mwajiri wa watu walionaulema (PWDs).

Bila kikomo (Indefinitely )

5% za wajiriwa/wafanyakazi lazima ni walema  (PWDs)

Mlipakodi anaye tii/heshimu Sheria

Msamaha wa 6% ya WHT kwa malipo ya huduma, bidhaa na nauli ya kitaaluma (professional fees).

Miezi 12 na inaweza kurudishwa upya (12 months renewable).

Kama Kamishna ameridhika (satisfied) eti mlipakodi amekuwa akiheshimu jukumu/wajibu wake wa  kisheria cha kodi ya kila mara

Walipakodi wote

 

Mapunguzo ya 100% kwa gharama ya utafiti ya kisayansi

 

Bila kikomo

Mtu ambaye amefanya gharama ya utafiti ya kisayansi

 

Walipakodi wote

Marupurupu ya kuanza (initial allowance) na marupurupu ya mapunguko ya uwezo wa vifaa (Depreciation allowance): Marupurupu ya kuanza (Initial allowance) punguzo ya mtaji (capital deduction) ya 50% kwa mashine ambayo inatimiza mahitaji na 20% kwa nyumba ya kiwanda ambacho kimejengwa kwa umbali wa 50km nje ya mpaka wa Kampala. Mtu ambaye ameweka kifaa/mali ambayo thamani yake inapunguka  kwa huduma kama compyuta, magari, lori maalum, trekta na mashine ambayo inatumika kwa kilimo, kutengeneza bidhaa au operesheni ya kuchimba madini na trela ambayo kontena imewekwa na punguzo kwa nyumba ya kiwanda cha 5% ya jumla ya gharama ya ujenzi kwa aina ya laini nyororo (Straight line method) kwa miaka 20.

Bila kikomo

Walipakodi wote ambao wana mali ambayo thamani inapunguka (depreciable assets)

 

Walipakodi wote

Kuongeza hasara mbele (carry forward losses): Hasara ambayo imepimwa inasongezwa mbele, kama mapunguzo kwa mwaka wa mapato ujao

Muda ya hasara

Walipakodi wote

Mwekezaji ambayo ako na biashara kwa nchi ambayo Uganda iko na mkataba wa DTA

Mkataba wa utozaji wa kodi mara mbili (DTA): Wawekezaji kutoka inchi ambayo iko na DTA ambayo inaendelea kwa huduma kama Uingereza (UK), Denmark, Norway, Afrika Kusini, India,  Italia, Uholanzi (Netherlands), na Mauritius, kodi ya kubakisha (WHT) kwa mgawo (divident), hisa (interest), nauli ya Umanejimenti na royalti ni 10% isipokuwa kwa Uingereza (UK) ni 15%.

Muda ya DTA

Mwenye kupokea manufaa ya umiliki wa uwekezaji (Beneficial owner of investment ) namna imefafanuliwa kwa Sheria ya kodi ya mapato namna iko na maana ya kiuchumi (economic substance) imewekwa kwa nchi ambayo Uganda iko na mkataba wa DTA.

 

 

 

SHERIA YA VAT

 

 

 

Mwenye kupokea manufaa (beneficial owner)

Motisha (Incetives)

Muda ya Motisha (Period of Incetives)

Vitu ambazo zinahitajika kabla ya kupokea motisha

Mkuzaji/ mwenya kufanya maendeleo k wa hifadhi ya viwanda au eneo huru

 

Hakuna VAT kwa malipo ya masomo ya uwezekano wa mradi (feasibility study), huduma ya muundo ya ujenzi (construction design) mashine na vifaa vya kusukuma udongo (earth moving equipments).

 

Muda ya maendeleo

Uwekezaji lazima lisiwe chini cha USD 50m. Maendeleo lazima liwe la hifadhi ya viwanda au eneo huru.

 

 

Mlipakodi ambaye amesajiliwa kwa VAT

Mwenye amesajiliwa kwa VAT, anaweza kudai VAT zote  alitumia kwa ununuaji.

Bila kikomo

Mauzo ya SH U 150m kwa  muda ya miezi 12, kwa mtu wa kusajiliwa wakati wa kwanza, na ana uwezo wa kuweka rekodi ya hazina na utoaji wa huduma ya usambazaji wa mali/huduma ambazo zinatozwa kodi.

 

SHERIA YA KODI YA STEMPU

 

Mwenye kupokea manufaa (Beneficiary)

Motisha (Incetives)

Muda ya motisha (Muda ya motisha)

Motisha ya kodi (Tax Incetives)

Mkuzaji/mwenye kufanya maendeleo ya hifadhi ya kiwanda au eneo huru.

 

Hakuna kodi ya stempu kwa hati fungani (debantures), liisi ya udongo, maongezeko ya mtaji wa hisa, au ubadilishaji wa umiliki wa udongo/shamba.

 

Muda ya maendeleo

Lazima uwekezaji lisiwe chini cha USD 50m na motisha/manufaa inaanza wakati wa kuanzisha ujenzi.

 

Mwenye ametuma maombi ya kupokea mkopo/loni

Hakuna kodi ya stempu kwa kuweka dhamana ya hati ya udongo (tittle deeds), dhamana ya pawn ya jumla ya thamani

Bila kikomo

Mkataba ambayo inahusiana na kuweka dhamana ya hati miliki ya udongo (tittle deed), dhamana ya pawn ya jumla ya thamani

Mwenye ametuma maombi ya kupokea mkopo/loni

Hakuna kodi ya stempu kwa dhamana ya usalama (security bond) au hati ya rehani ya umiliki (mortgage deed)

Bila kikomo

Dhamana ya usalama (security bond) au hati ya rehani (mortgage deed) ambayo imewekwa kwajili ya operesheni ya ofisi au kupeyana hesabu za hazina au mali zingine ambazo zimepokelewa juu ya dhamana ya usalama (security bond) au hati rehani (mortgage deed) ambayo imetolewa kwa dhamana ya kupokea mkopo au kifaa cha krediti  ya thamani ikiletwa kwa biashara.

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content