Makampuni za ujenzi

Makampuni za ujenzi ni biashasra, shirika au shirika linalofanana ambalo limewekwa kwa shughuli la kutengeneza muundo wa ujenzi (building structure) na kujenga manyumba, miundombinu (infrastructure), Maendeleo ya viwanda na mradi zingine za ujenzi.

Ongeza ambazo unazipenda

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

Baada ya kusajiliwa kampuni ya ujenzi lazima lipokea leseni ambazo zinahitajika  kutoka kwa mashirika ambazo ziliwekwa na bunge la nchi/za kisheria.

  • Mamlaka ya Kitaifa cha Ujenzi (NCA)
  • Bodi ya Kitaifa cha Kuthatmini Manyumba
  • Mamlaka ya Halmashauri ya Manispaa

Kwa mtu binafsi  (for individual)

  • Kitambulisho cha Kitaifa (I’D), au hati ya kujitambulisha ya kisasa mawili baadhi za hizi, Pasipoti, Leseni ya kuendesha gari,chombo, Kadi ya kura, I’D ya kijiji, I’D ya kazi, I’D ya Mhamiaji, Taarifa ya benki ya kisasa, Kibali cha kazi, Kadi ya fedha, Visa, Kadi ya NSSF nakadhalika.
  • Cheti cha kusajiliwa (kama uko kwa biashara )
  • Taarifa ya kuhusu hati na hati ya shirikisho (if partnership ).

Kwa mtu asiye binafsi  (For non individuals )

  • Fomu 20 ya kampuni
  • Cheti cha kusajili kampuni (Certificate of incoporation)

Bonyeza hapa/Click here ili upokee habari zaidi za kuhusu mahitaji ya kusajiliwa.

 

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug
  • Bonyeza hapa/Click here ili usajiliwe kama mtu binafsi (non individual )
  • Bonyeza hapa/Click here ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni.

Kama mlipakodi unahaki na pia unawajibu ambazo unafaa kutimiza za lazima.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee haki yako kama mlipakodi.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee wajibu wako kama mlipakodi.

 

Kodi ya Shirika  (Corporation tax)

Kodi hii ya mapato inatozwa kwa faida ya kampuni na inatozwa kwa mapato ya kampuni ambayo inafaa kutozwa (taxable income). Cheo cha kodi ambayo inatozwa kwa kampuni ni 30%.

Lipa Ukiingiza Malipo (PAYE)

Mfanyakazi ambaye ameajiriwa na kampuni ya ujenzi anahitajika kupokea TIN na mwajiri (kampuni) anajukumu ya kuwasajili kwa PAYE. Ili kubakisha kodi kwa kila mfanyakazi ambaye amepokea malipo ya mshahara zaidi ya Sh 235,000 na kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee vyeo vya PAYE

Kodi ya kubakisha  (WHT)

Kodi ya kubakisha  (WHT) ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo (saurce) na mtu mmoja ajenti ambaye amethibitishwa kubakisha kodi kama amefanya malipo kwa mtu mwingine  (payee). Cheo ambayo inatozwa kwa bidhaa na huduma ni 6% na inafaa kubakishwa kama thamani ya shughuli inazidi idadi 1,000,000/= na kuwasilishwa kwa URA.

Isipokuwa nauli ya kitaaluma, ambayo haina kiwango chochote cha chini k.m kubakisha kodi kwa cheo cha 6% inafanywa bila kutazama thamani ya shughuli.

Tafadhali jua: Kodi ya kubakisha inakreditiwa /kupunguzwa kwa kodi ambayo inafaa kulipwa kwa retani ya mlipakodi  (payee) ya mwisho bora ikijazwa.

Bonyeza hapa/Click here kwa habari zaidi za kuhusu kodi za kubakishwa (WHT).

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT)

VAT ni kodi kwa matumizi ambayo inatozwa kwa cheo cha 18% kwa vitu vyote ambazo zimesambazwa na mtu anayefaa kutozwa kodi (taxable person) kwa mfano mtu ambaye anafaa kusajiliwa au anahitajika kusajiliwa kwa VAT. Kiwango cha chini cha kusajiliwa kwa kodi ni jumla la mauzo ya UGX milioni 150 au UGX milioni 37.5 kwa miezi mitatu mifulilizo.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee habari zaidi za kuhusu VAT.

Tafadhali jua: Ni lazima kwa waliyo sajiliwa kwa VAT wote kupeyana ankara (invoice ) ya kielekroniki na hakuna kukubali krediti ya kodi kwa vitu ambazo zimenunuliwa/gharama isipokuwa kama kuna  ankara au risiti ya kielekroniki ambayo ilifanyishwa.

Bonyeza hapa/Click here kwa habari zaidi za kuhusu namna ya kujisajili kwa EFRIS.

 

Retani hizi zinajazwa namna za kujaza retani za mapato zingine.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee habari zaidi za kuhusu namna ya kurejesha retani.

 

 

 

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa hizi za malipo kama benki, pesa kwa simu rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, Msimbo wa USSD (*285#) nakadhalika

Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapa/Click here ili usajili malipo.

 

 

KODI YA MAPATO

Mwenye anafaa kupokea motisha

Motisha (Incetives )

Muda ya Motisha

Masharti ya Kupokea Motisha ya Kodi

1.Mkuzaji wa hifadhi ya kiwanda /eneo huru

Msamaha wa kodi kwa mapato ambayo imetokea kwa ukodishaji au liisi ya kifaa ambayo iko kwa hifadhi ya kiwanda /eneo huru

Miaka 10

Lazima uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 50 kwa mwekezaji wa nje au USD milioni 10 kwa raia wa EAC.

 

Motisha inaanza kwa tarehe ya kuanza ujenzi. Mwekezaji ambaye tayari ako kwa hifadhi ya kiwanda na ameongeza uwekezaji wa thamani sawa.

2. Mwenye kandarasi anayefanya operesheni ya mradi wa kupokea msaada na kuchimba madini

VAT ambayo imediimiwa: Kodi ambayo inalipwa kwa bidhaa/huduma ambayo inafaa kutozwa ambayo imesambazwa na mkandarasi wa mradi wa kupokea msaada inadiimiwa eti imelipwa na mkandarasi bora kama vitu ambazo zimesambazwa ni zile ambazo mkandarasi atazitumia za kipekee kwa mradi wa kupokea msaada.

Muda ya mradi

Mkandarasi ambaye anafanya shughuli kwa mradi wa kupokea msaada na uchimbaji wa madini.

 

 

 

SEKTA YA UJENZI                                                                                            

 

 

Maelezo

Motisha ya kodi

 

Magari maalum

● Kifaa cha kuchanganya saruji (concrete) ya kujisukuma mwenyewe

● Pampu za saruji (concrete pumps)

 

● Kifaa haitozwi kodi ya uagizaji  (import duty) kwa tarifi

 

● VAT inarejelewa (referable) kwa kampuni ambazo zimesajiliwa kwa VAT

 

Mashine za kusukuma udongo

● Exkaveta

● Bulldoza

● Angodoza

● Kifaa haitozwi kodi ya uagizaji  (import duty) kwa tarifi

 

● VAT inarejelewa (referable) kwa kampuni ambazo zimesajiliwa kwa VAT

 

Kreni ya ujenzi

● Kifaa haitozwi kodi ya uagizaji  (import duty) kwa tarifi

 

● VAT inarejelewa (referable) kwa kampuni ambazo zimesajiliwa kwa VAT

 

Kiunzi (Scaffolding )

 

Kama imepokelewa kutoka kwa Mkoa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kodi ya uagizaji itasahemewa (exempted)

 

 

Vifaa vya kupima ardhi

● Mfumo wa msimamo wa msimamo wa ulimwengu

● Theodolaiti

● Laini ya vifaa vya kutumia kwa ujenzi

● Renjifainda zinatumika sana sana na makampuni za ujenzi wa barabara, kupima ardhi/saveya, uchimbaji wa mafuta na madini

 

●Kifaa haitozwi kodi ya uagizaji kwa tarifi

 

● VAT inalipwa

 

 

 

Magari za kubeba mizigo – Tippa

 

● Jumla ya uzito ambayo inazidi tani 5 na haizidi tani 20

 

● Jumla ya uzito ambayo inazidi tani 20

● Magari za kubeba mizigo ambazo ziko na jumla ya uzito ambazo zinazidi tani 5 na hazizidi tani 20 kodi ya uagizaji ni 10% kwa mwaka moja.

 

 Gari ya kubeba mizigo ya jumla ya uzito wa tani 20 na zaidi hazilipi kodi ya uagizaji kwa mwaka moja

 

 

 

 

▪ Uagizaji wa Mashine maalum za ujenzi kwa muda fulani (temporary imports) ya kutumia kwa sekta ya ujenzi ambayo haijaelezwa juu. Sheria na masharti namna imeelezwa kwa Sheria ya Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004 inatumika.

● Kodi imesimamishwa na bidhaa zinapokelewa kwa bondi/dhamana ambayo itaondelewa kama zimesafirishwa nje ya nchi tena (re export)

 

 

 

 

Ujenzi wa laini la bomba ya mafuta na gesi kutoka Uganda hadi Der-es-Salaam

● Pembejeo ya kutumia kwa ujenzi wa laini la bomba ya mafuta na gesi zinasahemewa kodi zote chini cha ratiba ya 5 ya Sheria ya Forodha ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, 2004.

 

 

Pembejeo na vifaa vya kutumia kwa ujenzi wa  nishati ya maji (hydro power)

·       Usambazaji wa kutumia kwa mradi wa nishati ya maji (hydropower) inasahemewa VAT.

 

 

 Uchumi wa Jumuiya ya mkoa

 (RECs) ambayo inajumuisha Jumuiya ya Afrika Mashariki  (EAC), Soko ya Kawaida ya Afrika Mashariki na ya Kati (COMESA ) karibuni hivi  zitaingia kwa (TRIPARTITE) ambayo itajumuisha EAC, COMESA and Shirika ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (SADC)

———-

Bidhaa na huduma za kutoka kwa Jumuiya ya uchumi inapewa huduma ya kuanza/upendeleo (preferential treatment) wa kodi ya uagizaji

 

 

 

 

 

 

 

 

Taifa/nchi iko na viwanda vya kutumia pembejeo (inputs) za ndani Uganda wa kiwango cha juu .

 

Vifaa hizi kama zimenunuliwa nchini zinavutia kodi za ndani pekee

Mradi ambayo inapokea msaada, pembejeo yake itasahemewa kodi chini cha ratiba ya Sheria ya Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 2004.

 

Miradi ambazo zinaletwa (upcoming projects) kama Reli ya Geji ya Kawaida (Standard) (SGR) ambayo inaleta nafasi kwa sekta ya ujenzi.

● Mradi ambayo inafadhiliwa, inapokea msaada pembejeo yake inasahemewa kodi chini cha Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

 

Nyumba ambayo imetengenezwa tayari (pre-fabricated building ) ya kutumia kwa Kampuni ambayo imeleetwa na mtengenezaji wa bidhaa ambaye amesajiliwa au taasisi zingine kwa mfano ujenzi wa ghala (warehouse )

●  VAT Inahairishwa (Deferrable) kwa nyumba ambayo tayari imejengwa (pre fabricated) ya kutumia kwa kiwanda

 

Usambazaji wa vifaa vya kusukuma udongo na mashine za kufanya maendeleo kwa hifadhi ya kiwanda au eneo huru kwa mkuzaji wa hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambaye amefanya uwekezaji wa thamani ya USD milioni 50.

 ● VAT inatozwa kwa cheo cha 0% chini cha Sheria ya VAT

 

Usambazaji wa nyenzo za ujenzi wa kufanya maendeleo kwa hifadhi ya kiwanda au eneo huru kwa mtu wa kufanya maendeleo kwa hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambaye uwekezaji wake isiwe chini cha USD milioni 50

● VAT inasahemewa chini cha Sheria ya VaT

 

● Hakuna kodi ya madhara (no excise duty)

 

Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

 

 

 

 

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content