Wataalamu wa ujenzi

Mtaalamu wa ujenzi ni mtu ambaye anatoa huduma ya kitaaluma kwa sekta ya ujenzi au mradi wa ujenzi. Wanajukumu wa utendaji uboreshaji/usanifu wa samani (furnishing design), usimamizi, ukaguzi, ujenzi, uchunguzi wa mali isiyo hamasiki (real estate property ) au kumaliza mradi wa ujenzi. Hizi inajumuisha wasanifu majengo (architects), wahandisi (engineers), wachunguzi wa wingi wa nyenzo (quantity surveyors) nakadhalika.

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

Wajenzi wakitaaluma wanapokea leseni kwa mashirika za kisheria za kutoa masharti na hizi ni

  • Bodi ya Kusajili Wasanifu Majengo (Architects)
  • Bodi ya kusajili Wahandisi/Injinia
  • Wahandisi/Injinia wa Ujenzi wa Kitaifa cha Uganda ambao wamethibitishwa na Wakandarasi (UNABCEC).

Kwa mtu binafsi  (For individual)

Kitambulisho ID, kibali mawili ya kujitambulisha ya kisasa baadhi za hizi; Pasipoti, Leseni ya kuendesha gari, Kadi ya kura, Kitambulisho cha kijiji, I’D ya kazi, I’D ya mhamiaji, Taarifa ya kisasa ya benki, Kibali cha kazi, Kadi ya Fedha, Visa, Kadi ya NSSF nakadhalika.

Kwa mtu asiye binafsi/kampuni

  • Fomu 20 ya kampuni
  • Cheti cha kusajili kampuni/Shirika

Bonyeza hapa/Click here ili upokee mahitaji kwa kina za kusajiliwa.

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug
  • Bonyeza hapa/Click here ili usajiliwe kama mtu binafsi
  • Bonyeza hapaClick here ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Kama mlipakodi unahaki na pia kuna wajibu za kutimiza ya lazima.

Bonyeza hapa ili upokee haki zako kama mlipakodi.

Bonyeza hapa ili upokee wajibu wako kama mlipakodi.

Kodi ya mapato ya mtu binafsi

Cheo cha kodi ya mapato inategemea mabano (bracket) ambayo mtu akomu. Hii itawekwa kwa watu binafsi ambao wanafanya shughuli/kazi na wakurugenzi wa kampuni ya ujenzi.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya kodi vya mapato

Lipa Ukiingiza Mapato  (PAYE)

Mfanyakazi yeyote ambaye ameajiriwa na kampuni ya ujenzi anahitajika kupokea TIN na mwajiri (Kampuni) anajukumi ya kujisajili kwa kodi ya Kulipa Ukiingiza Mapato  (PAYE), ili kubakisha kodi kutoka kwa kila mfanyakazi ambaye anapokea malipo ambayo inazidi 235,000 na kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza hapaClick here ili upokee vyeo vya PAYE

Kodi ya kubakisha  (WHT)

Ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo na mtu mmoja (Ajenti ambaye amethibitishwa) kama amefanya malipo kwa mtu mwingine  (payee) kwa cheo cha 6% na kuwasilisha kwa URA.

Tafadhali jua: Kodi ambayo imekreditiwa/inapunguzwa kwa kodi ambayo imelipwa na mlipakodi kwa wakati wa kurejesha retain ya mwisho.

Bonyeza hapaClick here ili upokee habari zaidi ya kuhusu kodi ya kubakisha  (WHT).

 

Retani hii inarejeshwa namna ya retani ingine ya kodi ya mapato

Bonyeza hapaClick here ili upokee habari ya kuhusu namna ambayo unaweza kurejesha retani.

 

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa yoyote ambayo iko kama benki, pesa kwa simu ya rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, Msimbo wa USSD (*285#) nakadhalika

Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapaClick here ili usajili malipo

Ili upojee habari zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyo karibu nawe au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au  WhatsApp: 0772140000

 

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content