(Juzuu ya 11, Toleo la 2 MWF 2024-25)
Serikali ilianzisha kodi ya mapema (Advance tax) kwa usafiri ili kurahisisha malipo ya kodi kwa sekta ya usafiri ili kuongeza mapato ya kutumia kwa ujenzi, marekebisho na upanuaji wa barabara ili kuongeza wigo wa kodi (increase tax base). Kodi inatozwa kwa pikipiki, magari za abiria, magari za mizigo ambazo ziko na uwezo wa kubeba mizigo zaidi ya tani mbili na pia kwa pikipiki.
JUA:
Vyeo vya kodi vya mapato vya mapema zime-elezwa hapa chini:
|
Sn |
Aina ya gari |
Idadi (UGX) kwa kila tani au abiria kwa mwaka |
|
1 |
Pikipiki |
20,000 kwa kila kiti kwa mwaka |
|
2 |
Gari ya huduma ya abiria (PSV) |
20,000 kwa kila kiti kwa mwaka |
|
3 |
Gari ya kubeba uzito ambayo inazidi tani 2 |
50,000 kwa kila kiti kwa mwaka |
Magari za mizigo;
Kama uwezo wa gari ya mizigo ni ya kubeba tani 7, kodi ya mapato ya mapema inahesabuliwa namna zifuatazo:
Tani × idadi ambayo inalipwa kwa kila tani (of load weight)
Tani 7 × 50,000
= 350,000 shilingi kwa mwaka
Kama “matatu” zinafaa kubeba abiria 14, kodi ya mapato ya mapema zinahesabuliwa zifuatazo
Nambari ya viti x idadi ambazo zinalipwa kwa kila kiti
Viti 14 x 20,000
= 280,000 shilingi kwa mwaka
Kama basi inabeba abiria 67, kodi ya mapato ya mapema inahesabuliwa ifuatayo:
Nambari ya viti x idadi kwa kila kiti
67 x 20,000
= 1,340,000
Boda boda inapewa leseni la kubeba mtu mmoja na kwa hivyo linafaa kulipa shilingi 20,000 kama kodi ya mapato ya mapema kwa kila mwaka.
JUA:
Tafadhali jua, kodi ya mapato ya mapema ni kodi ya kukreditiwa, kama umerejesha retain ya kodi ya mapato ya mapema inapunguzwa kwa kodi ya mapato ya mapema ambayo inafaa kulipwa.
Namna ya kutekeleza/kufanya malipo
Motorcycle (boda boda)
A boda boda is licenced to carry one person and therefore pays 20,000 shillings as income tax every year
NOTE: Please note that advance income tax is a creditable tax in that when you file your income tax return, you reduce the tax payable by the Advance Income tax.