-
Vifaa mzei za kielektroniki kama kompyuta/ “laptop”, “monitor” ya kusimama kipekee, friji na seti ya TV,
(isipokuwa ya matumizi ya kibinafsi ikiidhinishwa).
• Pesa/noti bandia na pesa yoyote ambayo iko chini cha kiwango ambayo imewekwa kama uzito au wema (finess).
• Nyenzo za ponografia za aina zozote za vyombo vya habari (media), ambazo ziko na habari chafu, vitabu, kadi, lithografia au nyenzo zote ambazo zimechapishwa maandiko/habari chafu.
• Machi ambayo imetengenezwa na fosforasi.
• Kifaa chochote ambacho kimewekwa mhuri wa nchi ya Taifa Mshiriki au silaha bandia ambayo ni ya kutumika kwa udanganyifu eti ni halisi.
• Vinywaji ambazo zimedistiliwa ambazo ziko na mafuta muhimu au bidhaa za kemikali ambazo zinathiri afya zinajumuisha, “thijone”, “star arise”, “benzoic”, “aldehyde”,
“salicyclic esters”, hyssop na “absinthe”. Bora kama hakuna kitu ambayo iko kwa aya (paragraph) itawekwa kwa