Maduka ya mitishamba/madawa ya kienyeji

Maduka ya mitishamba/Maduka za madawa za kienyeji ni mastoo  ambazo zinauza mimmea za madawa za kienyeji na bidhaa zingine ambazo zinahusiana kama  viungo (spices), mafuta muhimu, mbegu, berri, mizizi, matawi, gome (bark)au maua asili  ya kutumia kama dawa.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 7 times, 1 visits today)

  • Ofisi ya Huduma ya Usajili (URSB) kwa jina la biashara
  • Shirika ya Kitaifa ya Mamlaka ya Madawa Uganda (NDA) kwa leseni
  • KCCA / Halmashauri ya Manispaa kwa leseni la biashara
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi

Kwa mtu binafsi (for individual)

  • Kitambulisho cha Kitaifa au ukiwa na mawili zifuatazo, hati ya kisasa ya kukutambua, Pasipoti, Kadi ya kupiga kura, Kitambulisho cha kijiji, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha mhamiaji, Taarifa la benki ya kisasa, Kibali cha kazi (work permit), Kadi ya fedha, Visa na Kadi ya NSSF nakadhalika.
  • Cheti cha Kusajiliwa (kama unabiashara)
  • Taarifa la kuhusu hati (deed) ya ushirikiano kama ni ushirikiano (partnership)

Kwa mtu asiye binafsi  (for non individual)

  • Fomu ya kampuni 20
  • Cheti cha kusajili Kampuni

Bonyeza hapa ili upokee mahitaji ya kuhusu kusajiliwa

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug
  • Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (for individual)
  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Kodi ya mapato sana sana ya prisamptivi.

Retani hizi zinarejeshwa namna ya kurejesha retani zingine za mapato

Bonyeza hapa kwa habari zaidi za kuhusu namna ya kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia jukwaa hizi; kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, Msimbo wa (code) USSD (*285#) nakadhalika

Tafadhali jua: Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapa ili usajili malipo

Bonyeza hapa ili upokee haki yako kama mlipakodi

Bonyeza hapa ili upokee wajibu wako kama mlipakodi.

Kama hauwezi kujisajili kwa mtandao, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu nawe au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content