Usindikiaji (processing) wa nguo?

Utengenezaji/usindikiaji wa nguo ni mchakato wa kubadilisha mali ghafi (raw material) kwa nyuzi (threads) ili kutengeneza nguo na vitambaa kwa kutengeneza, kushuka, (knitting) au feltingi. Bidhaa ya nguo inajumuisha nguo, (upholstery), vifaa vya kutumia kwa nyumba kama suuka, kapeti na bidhaa zingine za kutengenezwa kwa kampuni.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 14 times, 1 visits today)

Biashara ya usindikiaji wa nguo (textiles) inafaa kusajiliwa na;

  • Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa kusajili Kampuni au jina la biashara.
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi.
  • Halmashauri ya Mamlaka Mtaa kama KCCA, halmashauri ya manispaa kwa leseni la biashara.

Tafadhali jua:

Kama umesajiliwa unahitajika kutii mahitaji za mashirika za kisheria (Statutory bodies) kama;

  • Shirika la Taifa la Kupima Viwango (UNBS)
  • Bodi ya Taifa Nguo (NTB)

For individual

  • National ID or any other two of the following valid identification documents: Passport, Driving permit, Voter’s card, Village ID, Employment ID, Refugee ID, recent Bank statement, Work permit, financial card, Visa, NSSF card, etc.
  • Certificate of registration (incase you are in business)
  • Statement of particulars and partnership deeds (in the case of a partnership)

For non-individual

  • Company Form 20
  • Certificate of incorporation

Bonyeza hapa kwa habari kwa kina ya kujisajili

  • Unahitajika kutembelea tovuti ya URA ya ura.go.ug
  • Bonyeza hapa ili kujisajili kama mtu binafsi (individual)
  • Bonyeza hapa ili kujisajili kama mtu asiye binafsi (kampuni/non – individuals).

As a taxpayer, you’re entitled to rights. However, there are obligations that you must fulfill.

Bonyeza hapa kwa habari kwa kina ya haki na wajibu wa mlipakodi.

Click here  for your obligations as a taxpayer.

Biashara madogo/kodi ya prisamptivi

Hii ni kodi ambayo inatozwa kwa biashara ambayo mauzo yanazidi UGX 10,000,000

na hayazidi UGX 150,000,000.

Kodi ya Shirika (Corporation tax)

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi (kampuni) kwa cheo cha 30%.

Kodi ya Shirika /Corporation tax

Ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu asiye binafsi  kampuni/non-individuals ) ambaye anahusika kwa sekta hili, kodi kwa cheo cha kawaida cha 30% (standard rate).

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT)

VAT ni kodi ambayo inawekwa kwa matumizi (consumption) na inatozwa kwa cheo cha 18% kwa bidhaa/huduma ambayo imesambazwa na mtu ambaye anafaa kutozwa (taxable person) kama mtu ambaye amesajiliwa au anahitajika kusajiliwa kwa VAT. Kiwango cha chini cha kusajiliwa kwa VAT ni mauzo zaidi ya milioni 150, au milioni 37.5 kwa miezi tatu mfululizo/ambazo zinafuatana.

Bonyeza hapa ili ujisajili kwa VAT

Tafadhali jua;

Watu wote ambao wamesajiliwa kwa VAT wanafaa kusajiliwa kwa EFRIS na kuanza kupeyana Ankara (invoice) ya kielektroniki (e invoices)

Bonyeza hapa ili upate habari namna ya kujisajili kwa EFRIS.

KODI YA MADHARA YA NDANI (LOCAL EXCISE DUTY)

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa bidhaa maalum au ambayo imetengenezwa nchini, kwa huduma kama ya bia, vitu vya kukunywa ambazo sio pombe, mafuta ya kupikia nakadhalika

Bonyeza  hapa ili upate kiwango cha kodi ambayo kinatumika

W

Tafadhali jua;

Kampuni zingine kwa viwanda vya usindikiaji wa kilimo zinahitajika kukuwa na kodi ya stempu ya kidijitali.

Kodi ya stempu ya kidijitali ni alama ambayo inawekwa kwa bidhaa au vyombo vyao na ziko na alama za usalama na memberi maalum (codes) za kutafautisha bidhaa bandia na asili na ambayo inawezesha ufuatiliaji wa uwezo wa bidhaa. Bidhaa ambazo zinafaa kukuwa na kodi ya stempu inajumuisha bidhaa za kutozwa kodi ya madhara kama mvinyo (wines), spiriti, maji, sigara, bia, soda, sukari, mafuta ya kupika, matunda na mboga (vegetables) juisi, bidhaa zingine za kukunywa za pombe na zile ambazo siyo za pombe na vinywaji ambazo zimefamentiwa. Bidhaa hizi hazikubaliki kwa soko bila kodi ya stempu.

Kodi ya kubakisha (WHT)

Kodi ya kubakisha ni kodi ya kubakisha ambayo inachukuliwa kwa chanzo (source) na mtu mmoja (ajenti wa kubakisha ), wakati wa kufanya malipo. Wakati wa kufanya malipo kwa mtu mwingine (payee). Kama mtu wa kusambaza bidhaa kwa biashara ya usindikiaji wa kilimo zaidi ya milioni moja (1), kwa mtu ambayo bidhaa zimesambazwa kutoza kodi kwa cheo cha 6%. Kampuni/Planti itapokea Cheti cha Krediti ya Kodi (TCC) ambayo itasaidia kwa kuondoa (offsetting) dhima ya  kodi (tax liability) na wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.

Bonyeza hapa kwa habari kuhusu kodi ya Kubakisha.

Tafadhali jua;

Kodi ambayo imebakishwa ina-kreditiwa/kupunguza kwa kodi ambayo inafaa kulipwa wakati wa kurejesha retani ya mapato ya mwisho.

Lipa ukiingiza mapato (PAYE)

Kodi hii inawekwa kwa wahusika kwa sekta hii, ambao wako na wajiriwa (employees) wa utawala au wa kulipwa kwa kila siku ambao wanapokea jumla la mapato zaidi ya Ugx 235,000 kila mwezi, aina hii ya kodi inabakishwa kila mwezi.

Bonyeza hapa ili upate vyeo vya PAYE.

Retani hii inajazwa namna retani zingine za mapato zinafanywa.

Bonyeza hapa ili upokee habari namna ya kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa, ukitumia jukwaa (platform) hizi kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, USSD na (code) (*285) nakadhalika.

Tafadhali jua:

tarehe yenyewe ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Motisha za kodi chini cha kodi ndani (Domestic taxes)

Kodi ya Madhara (Excise duty)

 

Aina za kodi

Masharti ili kupokea motisha

Hakuna kodi ya madhara kwa nyenzo za ujenzi  (construction materials ) ya mtengenezaji, (ikiondoaa mtengenezaji ambayo anahusika kwa biashara ya usindikiaji wa kilimo, usindikiaji wa chakula, vifaa vya matibabu, vifaa vya ujenzi, viwanda vya kuunda vitu vya kujulisha “lights” mtengenezaji wa magari na kuyunganisha, vifaa vya kutumia nyumbani, samani (furniture), usafirishaji wa bidhaa na ghala, teknolojia ya habari au biashara ya kilomo ).

Lazima uwekezaji kisiwe chini cha USD milioni 50m au kama kwa mtengenezaji mwingine, ambayo ameongeza uwekezaji wa usawa wa USD milioni 50m

Hakuna kodi kwa nyenzo (materials) za ujenzi ya kiwanda au ghala (warehouse), ya kipekee (exclusive) ya kutumia kwa zile za masoko za ndani, bidhaa ambazo zimetengenezwa kwa nyenzo (materials ) na pembejeo za ndani ya nchi.

 

Mwenye operesheni ndani ya hifadhi ya kiwanda, eneo huru (free zone) na biashara zingine nje ya hifadhi ya kiwanda au eneo huru ambayo uwekezaji kwa usindikiaji wa bidhaa za kilimo;

 

Mtengenezaji au mwenye kuyunganisha vifaa vya matibabu, vitu ndogo ndogo vya matibabu  (medical sundries) au vitu vya kutumia kwa famasia (pharmaceuticals ),  nyenzo za ujenzi, magari, vitu vya kutumia nyumbani  au samani (furniture), palpi (pulp), karatasi, kuchapisha nyenzo za kutoa mafunzo/maelezo.

Lazima uwekezaji kisiwe chini cha USD 10m kwa mwekezaji wa kigeni na USD 300,000 kwa raia wa EAC au USD 150,000 kama uwekezaji umewekwa kijijini (upcountry).

 

Motisha itaanza kwa tarehe ya kuanzisha biashara ambayo imeelezwa, motisha sawa inapewa kwa mwenye operesheni kwa hifadhi ya kiwanda  (industrial park).

 

au Eneo Huru. Mwekezaji lazima atumie 70% ya nyenzo za ndani ya nchi, Lazima wafanyakazi wawe raia wa EAC ambao wanapokea 70% ya jumla la gharama ya msahara.

KODI YA STEMPU

Aina za kodi

Masharti ili upewe msamaha (exemption)

Hakuna kodi ya stempu kwa kutekeleza (execution) za hati zifuatazo;

 

i) hati fungani (debenture) hata ikikuwa ya rehani (mortigage) au sio, la soko la usalama – ya jumla la thamani (notbeing  marketable security- of toal value);

 

ii) kutoza zaidi; kifaa chochote cha kuweka utozaji kwa mali ya rehani (mortigage) – ya jumla la thamani;

a) kama ni mtengenezaji (manufacturer) mpya, ambayo kama vitu hizi zinapatikana. Ana uwezo wa kutumia nyenzo (material) za ndani za nchi kwa 70%, na ana-wafanyakazi wasio chini cha 70% raia na jumla la gharama ya mtengenezaji mpya na mtaji wake wa uwekezaji kisicho chini cha USD milioni 50.

iii) kukodisha udongo (lease of land)

 

iv) uongezekano wa mtaji wa hisa;

 

v) ubadilishaji wa umiliki wa udongo;

 

vi) mkataba wa kutowa huduma ya upimaji wa uwezekano wa (ujenzi, masomo) au ya kutengeneza au kubuni (design) ujenzi.”

b) kama mtengenezaji ambayo tayari ako kwa biashara, na itatokana na upatikano wa nyenzo (material ) na ana – uwezo wa kutumia 70% ya nyenzo ya ndani ya nchi, na anajiri watu 70% raia ambao jumla la gharama ya msahara. Kwa mtengenezaji ambayo ako kwa biashara kutoka kwa tarehe ambayo mtengenezaji ameongeza uwekezaji wa usawa wa milioni USD 35

KODI YA MAPATO

Aina ya kodi

 

Msamaha wa kodi ya kubakisha (WHT) 6% kwa malipo ya bidhaa

Miezi 12 na inaweza kurudishwa upya (renewable)

 

Kama Kamishna ameridhika (satisfied) eti mlipakodi ametii/heshimu wajibu wake chini cha sheria la kodi.

 

Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA ambayo iko karibu ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bila malipo ya 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

 

Click here to download A Guide to Taxation of the Manufacturing Sector
Add to Bookmarks (0)
Print Friendly, PDF & Email
Skip to content