KODI YA MAPEMA KWA USAFIRI (ADVANCE TAX ON TRANSPORT)

(Juzuu ya 11, Toleo la 2 MWF  2024-25)

Serikali ilianzisha kodi ya mapema (Advance tax) kwa usafiri ili kurahisisha malipo ya kodi kwa sekta ya usafiri ili kuongeza mapato ya kutumia kwa ujenzi, marekebisho na upanuaji wa barabara ili kuongeza wigo wa kodi (increase tax base). Kodi inatozwa kwa pikipiki, magari za abiria, magari za mizigo ambazo ziko na uwezo wa kubeba mizigo zaidi ya tani mbili na pia kwa pikipiki.

JUA:

  • Ili kufikia kwa uwezo wa kubeba mizigo, punguza uzito ambayo iko kwa hati ya gari (log book) kwa jumla la uzito wa gari kwa mfano Jumla la uzito – Uzito kamili ya gari = Uwezo wa kubeba mizigo
  • Kulipa kodi hii ni jukumu la mwenye gari
  • Mwenye gari anafaa kurejesha retani, mwishoni mwa mwaka wa mapato ili kuweka hesabu ya kodi (account for tax).
Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

Vyeo vya kodi vya mapato vya mapema zime-elezwa hapa chini:

Sn

Aina ya gari

Idadi (UGX) kwa kila tani au abiria kwa mwaka

1

Pikipiki

20,000 kwa kila kiti kwa mwaka

2

Gari ya huduma ya abiria (PSV)

20,000 kwa kila kiti kwa mwaka

3

Gari ya kubeba uzito ambayo inazidi tani 2

50,000 kwa kila kiti kwa mwaka

 

Magari za mizigo;

Kama uwezo wa gari ya mizigo ni ya kubeba tani 7, kodi ya mapato ya mapema inahesabuliwa namna zifuatazo:

Tani × idadi ambayo inalipwa kwa kila tani (of load weight)

Tani 7 × 50,000

= 350,000 shilingi kwa mwaka

Kama “matatu” zinafaa kubeba abiria 14, kodi ya mapato ya mapema zinahesabuliwa zifuatazo

Nambari ya viti x idadi ambazo zinalipwa kwa kila kiti

Viti 14 x 20,000

= 280,000 shilingi kwa mwaka

Kama basi inabeba abiria 67, kodi ya mapato ya mapema inahesabuliwa ifuatayo:

Nambari ya viti x idadi kwa kila kiti

67 x 20,000

= 1,340,000

Boda boda inapewa leseni la kubeba mtu mmoja na kwa hivyo linafaa kulipa shilingi 20,000 kama kodi ya mapato ya mapema kwa kila mwaka.

JUA:

Tafadhali jua, kodi ya mapato ya mapema ni kodi ya kukreditiwa, kama umerejesha retain ya kodi ya mapato ya mapema inapunguzwa kwa kodi ya mapato ya mapema ambayo inafaa kulipwa.

Namna ya kutekeleza/kufanya malipo

                                                                           
     
     
         
           
           
         
 
 
 
 
 
 
     
 
     
 
     
 
     
 
     
 
     
 
     
 
     
     
     
   
       
     
 
 
 
 
 

 

 

 

 

Motorcycle (boda boda)

A boda boda is licenced to carry one person and therefore pays 20,000 shillings as income tax every year

NOTE: Please note that advance income tax is a creditable tax in that when you file your income tax return, you reduce the tax payable by the Advance Income tax.

  1. Go to the URA Website
  2. Select Make a payment
  3. Select Click here to make a payment
  4. Select Tax Head
  5. Select Advance Tax for Motor vehicles
  6. Select taxpayer details
  7. Enter vehicle details
  8. Enter payment details
  9. Select Mode of payment (e.g. mobile money)
  10. Enter text given
  11. Submit

 

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content