Overview of Agricultural Sector

Kilimo ni sekta kubwa kiuchumi Uganda. Kwa mwaka wa fedha MF 2021/22 kilimo ilikuwa kwa 24.1% ya GDP na inachangia kwa 33% za bidhaa ambazo zilisafirishwa nje ya nchi na kuleta mapato nchini. Karibu watu 70% wameajiriwa kwa kilimo Uganda (UBOS,2022).

Hata kama watu wengi wameajiriwa kwa sekta ya kilimo. Inachangia kwa walipakodi waliyosajiliwa kwa 4%; kama watu 38,528 pekee ndio wanaosajiliwa kwa kodi na 96% wanafanya juhudi la ufugaji wa wanyama na kilimo, 2% wako kwa kupanda miti/misitu na 2% kwa uvuvi na ufugaji wa samaki (aquaculture).

Sekta ya kilimo (agriculture) inajumuisha shughuli mbali mbali kama kupanda mimea, ufugaji wa wanyama, ufugaji wa kuku (poultry), kilimo cha bustani (horticulture), ufugaji wa masamaki na Usindikiaji wa (processing) bidhaa za kilimo.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 2 times, 1 visits today)

–  Kama unataka kusajili jina la biashara ya kilimo, unafaa kutembelea Ofisi ya Huduma ya Usajili wa Uganda (URSB).

– Utapewa Cheti cha Usajili kama ni Kampuni au Cheti cha Usajili kama ni jina la biashara.

– Wahusika kwa sekta hii wanafaa kufanya mpango wa kufungua ofisi ya kimwili (physical office) wanapaswa kupokea leseni la biashara kutoka kwa KCCA / Halmashauri ya Manispaa.

– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda kwa kodi.

Tafadhali jua.

Baada ya kusajiliwa mkulima anafaa kufuatilia mahitaji kutoka kwa Wizara wa Kilimo, Viwanda vya Wanyama na Uvuvi.

Kwa mtu binafsi (for individual)

– Kitambulisho cha Kitaifa (ID)

– Cheti cha Kusajiliwa

Mtu asiye binafsi / Kampuni (non individual)

– Fomu ya Kampuni 20

– Cheti cha kusajili Kampuni (certificate of incorporation)

Bonyeza hapa kwa habari zaidi kuhusu usajili

Click here  for details on requirements for registration

 

 

– Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug

– Bonyeza hapa/Click here   ili ujisajili kama mtu binafsi (for individual)

– Bonyeza hapa/Click here ili ujisajili kama mtu asiye binafsi/Kampuni (non individual).

 

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi.

Click here  for your rights as a taxpayer.

Click here  for your obligations as a taxpayer.

Biashara inafaa kuweka rekodi zote ambazo zinahusiana na biashara. Ni muhimu kila mara kuweka rekodi ambazo ziko na tarehe ili kurahisisha utambuaji wa ripoti na wakati wake na hizi ni;

  • Rekodi ya mapato ambayo imepokelewa kwa mwaka Fulani
  • Rekodi ya risiti /Ankara (invoices) na malipo
  • Repoti ya watu wanaodai biashara na wenye biashara inawadai (debtors and creditors).
  • Orodha ya malipo ya wanyakazi (payroll)
  • Ratiba ya uagiza wa bidhaa na huduma (import schedules)
  • Mkataba wa usambazaji (contracts of supply)
  • Taarifa/habari ya benki
  • Bili ya Matumizi kama ya (umeme au maji)
  • Rekodi ya stoki
  • Usajili wa mali (Asset register)

-Weka rekodi vizuri vya shughuli za biashara zote kwa lugha ya kingereza.

–  Kama unataka kuweka rekodi kwa lugha tafauti, tuma maombi kwa maandiko ukiweka sababu kwa Kamishna ukiomba ruhusa.

– Kama rekodi haijawekwa kwa lugha ya kingereza, utahitajika kugharamia kutafsiri (translations) kwa lugha ya kingereza na mtafsiri  ambaye amethibitishwa na Kamishna.

– Weka rekodi ili irahisishe uamuaji wa kodi wako;

– Weka rekodi kwa miaka mitano baada ya muda wa kodi kukamilika ambayo inahusika ili mbeleni kama kuna mahitaji ya kukagua vitabu au hati itakuwa rahisi

– Unahitajika kuweka rekodi kwa muda kisicho chini cha miaka mitano kwa wakati wowote,

– Rekodi ambayo imewekwa inafaa kukuwa na ushahidi ambayo inatosha za taarifa/ habari za biashara na inafaa kuwekwa kwa umbizo/fomati ambayo itakuwa rahisi kubadilishwa kwa namna ya kawaida (standard form) ambayo itakuwa rahisi kuelewekwa.

Kodi ya Shirika/Kampuni (Corporation tax)?

Kodi hii inawekwa kwa kila kampuni Uganda kwa cheo cha kawaida ya 30%.

Kodi ya mapato

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu binafsi kwa sekta hii na cheo cha mtu binafsi kuwekwa.

Bonyeza hapa ili upokee habari za kuhusiana na vyeo vya kodi.

Lipa Ukiingiza Malipo (PAYE)

Hii kodi inalipwa na wafanyakazi kwa sekta hii ambao wanapokea mshahara juu ya UGX 235,000 kila mwezi. Mwajiri anabakisha mshara kwa niaba ya mfanyakazi na kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza hapa/Click here ili upokee vyeo vya (PAYE).

 

Retani hii inajazwa kama retaini zingine za kodi za mapato

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kwa namna ya kurejesha retani.

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content