Tin Yako Ni Nguvu Yako

Chukua udhibiti (control) wa bidhaa ambazo umeagiza kwa kikundi (groupage).

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

. Pokea Nambari ya Kutambulisha Mlipakodi TIN ili utumie kwa kutoa tamko (declarations) la forodha (customs) na Kliarensi.

  1. Pokea huduma ya konsolideta wa bidhaa ambaye amesajiliwa.
  2. Jua konsolideta – jua yule ambaye anatuma/anasafirisha bidhaa zako.
  3. Jua bidhaa zako – fahamu bidhaa zote ambazo zimepakiliwa kwa niaba yako.
  4. Hakikisha yakwamba hati (document) ni halisi – ikijumuisha ankara (invoice), risiti na hati/rekodi zingine ambazo zinahusiana.
  5. Omba kopi ya nambari ya entri ya forodha ili ufanye kliarensi za bidhaa zako.
  6. Pokea orodha ya kupakia bidhaa ili uzuie udanganyivu/ulaghai (fraud) au kupewa habari ambayo sio halisi.
  7. Jua wajibu wako wa kodi – jua kodi halisi ambayo unafaa kulipa kwa URA.
  8. Kua karibu wakati wa ukaguzi wa bidhaa kwa forodha (customs).

. Unapokea huduma au utaratibu kwa haraka ya kliarensi ya bidhaa.

  1. Inakuwezesha kwa kudai kodi ya Kubakisha (WHT) na kurejeshelewa kodi ya VAT (VAT refunds).
  2. Inaboresha mahusiano yako na URA.
  3. Kupokea ushauri kabla ya kufanya uagizaji (pre- importation advice ) na usaidizi zingine za kodi.
  4. Kufahamu na kudhibiti shughuli na mchakato wa kliarensi.

Usionyeshe/kupeyane TIN na Nenosiri (password ) yako.

Hii inazuia mtu ambaye haukuruhusu kwa kutumia jina lako kwa kliarensi.

Tembelea Meneja wa ghala (warehousing ) kwa kituo kikuu cha URA, kwa Nyumba ya NIP ili upokee ushauri zaidi

Hatua 1- Usafirishaji wa bidhaa

  • Mwenye meli ya usafirishaji anapeyana “masta bill” kwa konsolideta
  • Konsolideta, anagawa bidhaa kwa Bili ya Nyumba ya kibinafsi (individual House Bill).
  • Mwagizaji (importer) anapokea bili ya Nyumba ya kibinafsi (individual House Bill) kutoka kwa kosolideta.

 

Hatua 2- Kliarensi kwa bandari (Mombasa au Dar es Salaam)

  • Konsolideta anachagua ajenti wa forodha (customs) ambaye analeseni ya kufanya kliarensi ili asukume tamko (declarations) la forodha (customs) (WT8) kwa URA.
  • Kama imepitishwa na URA, bidhaa inaachiliwa kutoka kwa bandari ili kusafirishwa hadi kwa ghala ya bondi ya forodha Uganda (customs Bonded Warehouse).

 

Hatua 3 – Kama bidhaa imefikishwa Uganda, inakaguliwa

  • Bidhaa ambazo zimeagizwa zinapokelewa kwa pamoja na mlinzi wa ghala (warehouse keeper) na afisa wa forodha (customs) ya URA.
  • Kila mwagizaji (importer) anachagua ajenti wa kliarensi ili afanye shughuli ya kliarensi ya bidhaa fulani akitumia bili ya Nyumba ya binafsi (individual House bill) bili ambayo imetafautishwa.
  • URA inafanya ukaguzi wa bidhaa zote kimwili cha pamoja kama mwagizaji ako karibu au ajenti wake ili waidhinishe eti tamko (declarations)  za bidhaa zote ni halisi.

 

Hatua 4 – Kufanya Mabadiliko ya umiliki na Kupeyana Bili ya Nyumba (House Bill).

  • Konsolideta anatuma maombi kwa URA kwa mfumo wa ASYCUDA ili ubadilishaji wa umiliki ufanyiliwe kwa kila mwagizaji wa bidhaa kwa TIN yake, na kuambatisha Bili ya Ladingi ya Nyumba ambayo inahusiana (House Bill of Lading).
  • URA inapitisha na kuweka rekodi ili liwe la kisasa likihusiana na mwenye bidhaa halisi.

 

Hatua 5 – Ulipaji wa kodi na Mwagizaji

  • Ajenti wa mwagizaji ambaye amechaguliwa anachagua tamko (declaration) la utumishi wa nyumbani (declaration for home use) (IM4) na halafu analipa kodi halisi ya bidhaa.
  • URA inaidhinisha na kuthibitisha malipo.

 

Hatua 6 – Kutoa bidhaa

  • URA inaachilia bidhaa ya mwagizaji kama utaratibu zote zimekamilka.

 

BIDHAA YAKO, NI KIPAUMBELE CHETUS!

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content