Usafirishaji haramu/magendo ni nini?
Usafirishaji haramu/magendo inamaanisha uagizaji (importation), usafirishaji wa nje ya nchi (exportation) usafirishaji wa pwani (carriage coast wise), uhamisho (transfer) au kuondoa bidhaa ndani au nje ya Nchi Washiriki Uganda kwa nia ya kulaghai mapato ya Forodha (Customs), kukwepa umarufuku (prohibition) au vikwazo (restriction) na masharti au ukanuni wa uagizaji. Magendo ni mbinu haramu ya kufanya biashara na inafanywa na watu ambao wanatamaa ya kukuwa tajiri na hawafahamu athari yake au hawana uzalendo (lack of patriotism).

Magendo inafanyiwa kwa njia mbalimbali tafauti ambazo zinajumuisha;
a). Kuepuka moja kwa moja udhibiti rasmi ya forodha kwa kupita kwa njia ambayo haijathibitishwa
b). Tamko (declaration) la chini cha bidhaa kwa mfano tamko la thamani ya chini ya bidhaa ambazo zimeagizwa kwa matarajio ya kulipa kodi/ushuru ya chini
c). Kuthamini/kupima bidhaa kwa kiwango cha chini kwa mfano kuweka thamani ya chini cha bidhaa ili kulipa kodi ya chini.
d). Kuanisha bidhaa vibaya kwa mfano kutoa tamko (declaration) la bidhaa kwa kikundi ambacho sio sahihi ili kuvutia cheo cha chini na kupunguza dhima (liability) ya ushuru/kodi.
e). Hati ya uongo/bandia habari ya kuihusu ili kupungunza kodi ambayo inafaa kulipwa
f). Kutoa tamko (declaration) la uongo wa kuhusu nchi asili ambayo bidhaa imetokamu kwa mfano ni rahisi kwa mtu kutoa tamko eti bidhaa imeletwa kutoka kwa Soko ya Kawaida ya Afrika Mashariki na Kusini (COMESA) ili kupewa huduma ya upendeleo/kupokea huduma ya kwanza baadhi ya wengine. Hii ikinafanywa hata kama bidhaa zimetoka nje ya mataifa za (COMESA) ni kwa hivyo sio sawa/halisi.
g). Kuficha bidhaa
a). Upotoshaji (distortion) wa bei ambayo iko kwa soko kwa mfano magendo zinauzwa kwa bei za chini na kwa hivyo bidhaa rasmi/halisi zinakosa soko kwa sababu bei za bidhaa za magendo ni za chini na kwa hivyo zinaleta mashindano ambazo sio za usawa.
b). Inangusha viwanda vya ndani kwa kutokea kwa mashindano ambazo sio za usawa ambazo zimeletwa na bidhaa za magendo.
c). Ukosaji wa ajira kwa sababu biashara za ndani zinanguka, ukosaji wa mapato kwa Serikali ambayo inatatanisha utoaji wa huduma ya kuboresha maisha ya jamii (social services)
d). Kuongeza ukosefu wa usalama sana sana kama bidhaa ambazo zimewekwa vikwazo (restricted goods) kwa mfano bunduki inaweza kuletwa nchini kimagendo.
e). Kupoteza uhai kwa sababu bidhaa nyingi ambazo zimeletwa nchi ni za viwango vya chini na zinahatayirisha uhai