Kodi Ya Kuongeza Thamani

VAT ni kodi isiyo ya moja kwa moja (indirect tax) kwa matumizi ambayo inatozwa kwa thamani ambayo imeongezwa kwa bidhaa na huduma kwa hatua nyingi ya uzalishaji na usambazaji. Hapa Uganda VAT inatozwa kwa kila usambazaji ambayo imetekelezwa na mtu ambaye anafaa kutozwa kodi (taxable person) kwa kila uagizaji (imports) wa bidhaa isipokuwa uagizaji  (imports) ambazo kodi zimesahemewa (exempt goods) na kwa usambazaji wa huduma isipokuwa huduma ambayo kodi imesamehewa kwa mtu yeyote.

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

Kusajiliwa kwa VAT inaweza kukuwa ya kujitakia au ya lazima (voluntary or cumpulsory).

1) Kusajiliwa ya lazima

Kama kwa miezi mitatu za kalenda zilizopita mtu amefanya mauzo ambayo thamani yake bila VAT inazidi Shilingi milioni 37.5 mtu huyo anafaa kusajiliwa kwa maramoja VAT. Au kama mtu ana-sababu kama antarajia kwa muda ya miezi mitatu mifulilizo idadi ya thamani kwa jumla la mauzo ambayo inafaa kutozwa inaweza kuzidi shilingi milioni 37.5 kwa haya mtu anahijitajika kujisajili kwa VAT.

2) Kujisajili kwa hiari/kujitakia (voluntary registration)

Mtu ambaye mauzo yake haizidi shilingi milioni 37.5 kwa kila miezi mitatu au milioni 150 kwa miezi 12 anaweza kujisajili kwa hiari yake, mtu kama huyu anafaa kuridhisha URA eti ako na sehemu daima/milele ya kufanyia biashara, anaweza kuweka rekodi vizuri na ni mtu timamu (fit and proper).

Kutoa hesabu ya VAT kama thamani ya usambazaji sio rahisi kugunduliwa.

VAT kwa bidhaa au huduma ambayo thamani yake sio rahisi kutambuliwa, hesabu ya hazina ambayo inaweza kutumika ni thamani ya bei sawa na ile ambayo iko kwa masoko wakati usambazaji umefanywa kama biashara  wa kubadilishana bidhaa/bata ya  bidhaa, zawadi, mwenye biashara akitumia bidhaa.

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content