Kilimo cha maua ni nini?
Kilimo cha maua ni kupanda na kutafuta masoko ya maua na mimea ya majani (foliage plant). Inajumuisha uzalishaji, usindikiaji, kutafuta masoko za bidhaa na usambazaji (distribution)
Bidhaa za maua zinajumuisha maua ambazo zimekatwa na majani (foliage), ambazo zimepandwa kwa mitungi, mimea za kutoka kwa mashamba na nyenzo (material) za uenezi (propagation).
Sekta ya kilimo cha maua ni mojawapo wa sekta ambazo zinaleta sarafu (currency) kutoka nje ya nchi (ni baadhi ya sekta kumi muhimu). Inajumuishwa kwa kuleta maendeleo karibu na milioni 30 USD kutoka kwa mapato ya nje ya nchi. Maua za Uganda zinapandwa kwa nia za kipekee cha kuuzwa kwa masoko za nje. Jumla ya 98% ya uzalishaji zinasafirishwa nje ya nchi kwa mfano Uholanzi. Kwa hizi 90% ya maua inauzwa kupita kwa mnada (auction) na 10% inauuzwa kwa Mauzo ya moja kwa moja. Sana sana kwa wanaoshughulikia maua (florists). Maua ambazo zinapandwa nchini ni maua ya rosesi ambayo zimekatwa.
Kuchukua bidhaa na huduma nje ya nchi ambayo imetoka kwa nchi moja na halafu inauzwa kwa mnunuaji wa kutoka kwa nchi ingine. Bidhaa na huduma ya kuchukuliwa nje ya nchi ni muhimu kwa uchumi wa kisasa kwa sababu inapea watu na makampuni masoko mengi za bidhaa na huduma.
Wakulima wote ambao wanapokea mapato kutoka kwa biashara ya kilimo wanafaa kusajiliwa na;
Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa kusajili makampuni au Cheti cha Usajili kama ni mtu binafsi.
Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi.
Tafadhali jua;
Kama mkulima amesajiliwa, anafaa kufuatilia masharti za Mashirika za Kisheria/Statutari kama;
– Muungano ya Kitaifa cha Wakulima wa Maua Uganda ya kusafirisha nje ya nchi (UFEA)
-Shirikisho ya Kitaifa cha Wakulima Uganda (UNFFE)
-Uganda Hortech Ltd (UHL)
– Wakulima wa Maua Uganda na Muungano ya Chama cha Wafanyakazi washirika (UHAWU) ?
Kwa mtu binafsi (individual)
– Kitambulisho cha Kitaifa (ID)
– Cheti cha kusajiliwa
Kwa mtu asiye binafsi/kampuni (non individual)
– Fomu 20
– Cheti cha kusajili kampuni/shirika
Kama mlipakodi unahaki na pia unawajibu ambazo unafaa kutimiza
Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi
Unafaa kuweka rekodi zote ambazo zinahusiana na shughuli za biashara zako. Unafaa kukuwa na rekodi ambazo ziko na tarehe ili ikusadie kufahamu, ripoti na muda yake, na hizi ni;
Mtu yeyote ambaye anahusika kwa biashara ya kilimo anahitajika kulipa kodi ya mapato. Kodi ya mapato inalipwa na kila mtu ambaye amepokea mapato wala kama ni mtu binafsi (individual ), na mtu asiye binafsi/kampuni (non individual ), na ushirikiano (partnership ).
Kodi ya Shirika/Kampuni/koparesheni (Corporation tax)?
Kodi hii inawekwa kwa kila makampuni Uganda kwa cheo cha kawaida ya 30%. Mkulima wa maua anahitajika kujisajili kwa kodi hii.
Kodi ya mapato
Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu binafsi (for individual) kwa sekta hii kwa kutumia cheo cha mtu binafsi ambayo inafaa.
Bonyeza hapa ili upokee habari za kuhusiana na vyeo vya kodi.
Lipa Ukiingza Malipo (PAYE)
Hii kodi inalipwa na wafanyakazi kwa sekta hii ambao wanapokea mshahara juu ya UGX 235,000 kila mwezi. Mwajiri anabakisha (WHT) mshahara kwa niaba ya mfanyakazi na kuwashilisha kwa URA.
Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya (PAYE).
Kodi ya kubakisha (WHT) italipwa na mkulima wa maua kama amesambaza maua kwa ajenti aliyethibitishwa kama thamani ya ankara (involve) ni UGX 1,000,000.
Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kwa namna ya kurejesha retani
Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia majukwaa zifuatazo kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi nakadhalika.
Tafadhali jua; tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.
Bonyeza hapa ili usajili malipo