BIDHAA AMBAZO ZIMEZUILIWA

Bidhaa ambazo zimezuiliwa ni bidhaa ambazo uagizaji au kuletewa Uganda inadhibitiwa na inahitaji kupokea kibali kutoka kwa shirika la mamlaka ambayo imepewa  uwezo, bidhaa ambazo zimezuiliwa/zimedhibitiwa zinaweza kuletwa nchini au kusafirishwa nje ya nchi, bora kama mleta au msafirishaji wa bidhaa nje ako na vibali/hati za kumruhusu kuzisafirisha kwa mfano vyakula vinahitaji vibali/hati kutoka kwa Wizara wa afya na kilimo, mimmea na bidhaa za kutoka kwa mimmea zinafaa kupewa ruhusa kutoka kwa Wizara wa Viwanda vya kilimo na Usalama wa vyakula, Bidhaa za kutoka kwa Viwanda vya dawa hupokea ruhusa kutoka kwa mfamasia (pharmacist) wa Serikali (government).

JUA; Kama mamlaka imekataa kuidhinisha (approve) maombi ambayo imetumwa ya kupokea kibali kwa juu ya sababu mbalimbali kwa mfano afya, “phytosanitary” au athari ya kiusalama bidhaa ambazo zimeletewa nchini zitashikwa na mwenyewe atanyanganywa.
mfano wa bidhaa ambazo zimezuiliwa (prohibited).

Add to Bookmarks
Please login to bookmark Close

Bidhaa zote ambazo usafirishaji wao
zinadhibitiwa chini cha Sheria hili au Sheria zingine ambazo zinatumika kwa Taifa Mshiriki (Partner State).
• Mbao ya kutoka au kupandwa kwa Taifa Mshiriki.
• Samaki mbichi ambayo haijafanyiwa usindikiaji kama (Mbuta na Ngege).
• Makaa ya kutoka kwa mbao/mti
• Droni ya kupiga picha
• Usafirishaji wa nje ya madini kama dhahabu (gold).

 

SN

Uagizaji uliozuiliwa (Prohibited exports)

Usafirishaji wa vikwazo nje

(Restricted exports)

1

Mashine ya Posta ya frankingi isipokuwa ikipewa ruhusa chini cha kibali  ambacho kimeandikwa na mamlaka ya uwezo wa Taifa Mshiriki (Partner State).

Bidhaa zifuatazo hazitasafirishwa kwa chombo/meli ambayo imesajiliwa na inabeba tani chini cha 250

·       Bidhaa ambazo zimewekwa kwa ghala (warehoused goods)

·       Bidhaa ambazo kodi inafaa kurudishwa (duty draw back)

·       Bidhaa ambazo ni za kusafirishwa kutoka kwa chombo/meli moja hadi ingine (transhipments)

2

Mtego wowote ambao uko na uwezo wa kutega wanyama pori wowote isipokuwa kama kibali inapeyana ruhusa  na inakubaliwa na Taifa Mshiriki

Bidhaa za kusafirishwa nje za vikwazo kilingana na Ratiba ya Kwanza ya kukinga wateja/watumizi wa bidhaa. Marsharti ya Udhibiti wa usafirishaji wa nje 2000 (Export Control Regulations 2000)

1.   Mchele

2.   Ngano au Unga wa meslini

3.   Mchanga

4.   Chokaa (Limestone)

5.   Saruji/sementi

6.   Nguo na vifaa vya nguo ambazo zinafaa kusafirishwa USA na Kanada

7.   Almasi ambayo haijafanywa usindikiaji “rough diamond”

3

vyuma vya thamani ambazo hazijatengenezwa

(Unwrought precious metals and precious stones).

 

4

 Silaha na risasi ambayo imeelezwa chini cha Sura ya 93 ya “Customs Nomenclature”

 

5

 “Ossein” na mifupa ambazo zimehifadhiwa/kutibiwa na asidi

 

6

 Mifupa zingine na pembe –  “cores”, ambazo hazijatengenezwa iliyopunguzwa mafuta (defatted) kwa urahisi zimeandalizwa (na hazijakatwa kwa  vipanda vipande) poda ya ambayo ime-“degelatinized” na taka kutoka kwa hizi bidhaa.

 

7

Pembe ya ndovu ambayo haijaundwa au imeandaliwa na haijakatwa kwa vipande vipande.

a)   Bidhaa zote ambazo usafirishaji  wao unadhibitiwa/masharti zinafaa kutimizwa chini cha sheria yoyote ambayo inatumika kwa nchi Mshiriki

b)   Vichakavu vya vyuma vya  “cast iron ferrous’’.

c)    Mbao yoyote ambayo imepandwa kwa nchi Mshiriki.

d)   Samaki mbichi ambayo haijafanyiwa usindikiaji kama (Ngege na Mbuta).

e)    Makaa ya kutoka kwa mbao/mti’.

f)     Betri za gari mzei, ambazo zimechakavu za “lead”, “lead” ambayo haijafanyiwa usindikiaji na ile ambayo imefanyiwa usindikiaji na aina zote za vitu chakavu (scrap)

8

 Meno ya kiboko ambayo haijafanyiwa kazi/haijaundwa au imeandalizwa na haijakatwa kwa vipande vipande

 

9

Pembe ya kifaru (rhinoceros) ambayo haijatayarishwa au kwa urahisi imeandalizwa na haijakatwa kwa vipande vipande

 

10

Pembe ya ndovu (vory) zingine ambazo hazijatayarishwa/hazijaundwa au kwa urahisi hazijatayarishwa na hazijakatwa kwa vipande vipande

 

11

 Poda ya pembe ya ndovu (Ivory) na taka/chafu

 

12

 Ganda la kobe (tortoiseshells), mifupa ya nyanguni na  nywele ya nyanguni,, pembe (antlers), kwato (hoovers),  makucha, (claws) na midomo za ndege (beaks), ambazo hazijatayarishwa au kwa urahisi imetayarishwa na hazijakatwa kwa vipande vipande, poda na taka (waste) za bidhaa hizi.

 

13

 Matumbawe “corals” na vifaa sawa ambazo hazijatayarishwa au zimeandaliwa na hazijaundwa au zimeandaliwa na hazikukatwaa kwa vipande vipande, poda na taka (waste) za bidhaa hizi.

 

14

 Spongi asili ya uasili wa wanyama

 

15

Vipengele vya mafuta vilivyotumika “cartridges” ya kinu cha nyuklia “nuclear reactors”.

 

16

 Pembe ya ndovu (Ivory) ambazo zimeundwa/zimetengenezwa na Makala/vifaa “articles” vya pembe vya ndovu

 

17

 Mifupa, maganda ya mgongo wa kobe, pembe (antlers), matumbawe “corals”, mama ya lulu  “mother of pearl”, na vifaa vingine vya nyenzo hizi Makala/vifaa iliyopatikana kwa kuundwa (mouldings)

 

18

 Dutu ya kuharibu ozone “ozone depleting substances” chini cha “Montreal Protocol” ya (1987) na Mkataba wa Vienna (1985).

 

19

 Bidhaa zilizobadilishwa vinasaba (Genetically modified products).

 

20

Aina zisizo za kiasili za samaki au mayai ya vizao (Non – indigenous species of fish or eggs of progeny).

 

21

 Spishi “species”ambazo ziko kwa hatarini ya kuangamia kama mimmea na wanyama duniani (Flora na Fauna) na bidhaa zao kwa mujibu ya marekebisho ya CITES mwezi wa tatu 1973.

 

22

 Chombo “casing” cha kibiashara (mpira mzei ambayo imesaa tumika)

 

23

Madawa zote za “psychotropic” zinadhibitiwa Kimataifa

 

24

 Vifaa vya kihistoria /kazi za sanaa “artefact”

 

25

 Bidhaa ambazo zimeelezwa chini cha Sura (Chapte)r 36 ya “Customs Nomenclature” kwa mfano,kifungu cha ushawishi vya vimumunyisho vinavyoashiria miali “persuasion, detonating, signalling flare”.

 

26

 Vipande vya bunduki na risasi ambazo misingi zake ni za vyuma (Kifungu cha XV ya Mfumo wa Kufafanua Bidhaa na Kuzipea nambari (HCDCS) au bidhaa ambazo zinafanana za plastiki chini cha Sura (Chapter) 39 ya “”Customs Nomenclature”.

 

27

 Gari la mapigano la kivita chini cha kichwa No.  8710 ya “Customs Nomenclature”.

 

28

 Darubini (telescope) ya kutumia kwa kuona au kifaa cha kutumia kwa macho ambayo inafaa/kuwekwa kwa silaha au imeletwa na silaha ambayo inafaa kuwekwamu chini cha Sura (Chapte)r 90 cha “Customs Nomenclature“.

 

 

 

29

Mishale, Pinde (Bows), foili ya fensi, toyi chini cha Sura (Chapter) 95 cha “Customs Nomenclature”

 

 

30

 Wakusanyaji wa aina au vitu za zamani za bunduki na risasi chini cha kichwa No. 9705 au 9706 ya “”Customs Nomenclature”

 

 

Tafadhali Jua: Hakuna kuruhusu uagizaji wa bidhaa za vyakula isipokuwa kama inaweza kuhudumu (durability) kwa asilimia 50 ya muda ya usafirishaji/uagizaji/kuletewa nchini.
Tahadhari: Habari hii ni ya kipekee cha kutoa ushauri kwa wateja wetu na inaweza kufanyiwa marekebisho za kisheria za kodi au masharti zozote za utawala wa kodi.

Add to Bookmarks (0)
Please login to bookmark Close
Skip to content