Bidhaa yanaoonekana (tangible) inaweza kufafanuliwa kama kifaa chochote ambacho kwa hatua fulani inawonekana, inawezashikwa kwa mkono, inaweza pimwa, kunushwa...
Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo ...
Utengenezaji/usindikiaji wa nguo ni mchakato wa kubadilisha mali ghafi (raw material) kwa nyuzi (threads) ili kutengeneza nguo na vitambaa kwa kutengeneza, kush...