Famasia na duka la dawa

Famasia ni stoo maalum ambayo madawa ziliyochanganywa/mbalimbali zinauzwa. Famasia inauza/inapeyana madawa za kipkee kutoka kwa ushauri wa yule anaye leseni/amethibitishwa kwa kutoa ushauri.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 5 times, 1 visits today)

Maduka ya madawa ni sehemu ambayo unaweza kuenda ili upokee matibabu, ambayo madawa zinauza  juu ya kaunta/meza. Hizi ziko kwa viwango vya chini ambazo zinakubaliwa kuuza aina ya madawa za viwango vya C.

Tafadhali jua: duka la dawa linafaa kuwekwa kwa umbali wa kilomita 1.5 kutoka kwa famasia.

Ninawezaje kusajili famasia na duka la dawa?

Biashara zote ambazo ziko kwa sekta ya afya zinahitajika kusajiliwa na;

  • Ofisi ya Usajilj wa Huduma Uganda (URSB) kwa jina la biashara
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA)

Tafadhali jua:

Kama umesajiliwa, wahusika kwa sekta hii wanahitajika kufuatilia mahitaji za mamlaka ambazo zinahusika;

  • Mamlaka ya Madawa ya Kitaifa (NDA)
  • Halmashauri ya Wauguzi na Wakunga (Nurses na Midwifes) ya Uganda kwa leseni
  • Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno Uganda (UMDPC) kwa leseni
  • Leseni la biashara

Kwa mtu binafsi  (For individual )

  • Kitambulisho ID, Kibali cha kujitambulisha mawili baadhi za hizi; Pasipoti, Leseni ya kuendesha gari, Kadi ya kura, I’D ya kijiji, I’D ya kazi, I’D ya mhamiaji, Taarifa ya kisasa cha benki, Kibali cha kazi, Kadi ya fedha, Visa, Kadi ya NSSF na kadhalika
  • Cheti cha kusajiliwa (kama ni biashara )
  • Taarifa ya kuhusu hati ya ushirikiano (if Partnership )

Kwa mtu asiye binafsi/kampuni

  • Fomu 20 ya kampuni
  • Cheti cha kusajili kampuni

Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug

  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi
  • Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Bonyeza hapa ili upokee haki yako kama mlipakodi

Bonyeza hapa ili upokee wajibu wako kama mlipakodi

Hii ni kodi ambayo inalipwa na biashara ambayo inaingiza jumla ya mauzo ambayo inazidi Ugx 10,000,000 na haizidi 150,000,000 kwa mwaka fulani. Hii biashara inafaa kutengeneza mauzo kisicho chini cha Ugx 830,000 kwa kila mwezi.

 Chini hapa kuna vyeo ambazo zinatozwa

JUMLA LA MAUZO KWA MWAKA

KODI AMBAYO INALIPWA KAMA KUNA REKODI

AMBAYO HAINA REKODI

 

Jumla ya mauzo ambayo haizidi Ugx milioni 10

Hakuna

 

Hakuna

Jumla ya mauzo zaidi ya Ugx milioni 10 na ni chini cha Ugx milioni  30.

0.4% ya mauzo ambayo inazidi Ugx milioni 10 kwa mwaka

Ugx 80,000

Jumla ya mauzo zaidi ya Ugx milioni 30 na haizidi Ugx milioni 50.

Ugx 80,000 na kujumuisha 0.5% ya jumla ya mauzo ambayo inazidi Ugx milioni 30

Ugx 200,000

Jumla ya mauzo ambayo inazidi Ugx milioni 50 na haizidi milioni 80.

Ugx 180,000 na kujumuisha 0.6% ya jumla ya mauzo ambayo inazidi milioni 50 kwa mwaka.

Ugx 400,000

Jumla ya mauzo zaidi ya Ugx milioni 80 na haizidi Ugx milioni 150.

Ugx 360,000 na kujumuisha 0.7% ya jumla ya mauzo ambayo inazidi milioni 80 na haizidi Ugx milioni 150 kwa mwaka.

Ugx 900,000

 

Tafadhali jua:

1.Kodi ambayo imelipwa na mlipakodi wa prisamptivi itakuwa kodi ya mwisho kwa mapato ya biashara ya mlipakodi

  1. Hakuna kukubali mapunguzo ya gharama au hasara ambayo imetokea wakati wa uzalishaji wa mapato ya biashara na
  2. Hakuna kukubali krediti ya kodi ili kupunguza kodi ambayo inafaa kulipwa ya mapato ya biashara.
  3. Kama umerejesha retani chini cha rijimi ya prisamptivi na mapato yako inazidi Ugx 10,000,000 mfumo itatoa karatasi ya kusajili malipo (PRN) na hii itafanya kama retani ya biashara ambayo imejazwa kwa fomu.

 

 

 

Kodi ya mapato

Kodi ya shirika (corporation tax)

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa kila kampuni Uganda ikijumuisha famasia kwa cheo cha kawaida ya 30%.

Lipa Ukiingiza Mapato  (PAYE)

Mtu yeyote ambaye anafanya usimamizi wa biashara ya famasia na ako na wafanyakazi ambao wanapokea malipo/mshahara kwa mwezi ambayo inazidi 235,000 anahitajika kujisajili kwa (PAYE), kubakisha na kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya PAYE

Kodi ya kubakisha  (WHT)

Kodi hii inatolewa na ajenti aliyethibitishwa wa kubakisha kodi (WHT) kwa usambazaji wote ambazo zimepokelewa na famasia ambayo thamani ya shughuli yake inazidi milioni moja (Ugx 1,000,000) bora kama bidhaa/huduma haijasamehewa (exempted ) kodi ya mapato.

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi za kuhusu kodi ya kubakisha  (WHT).

 

Bonyeza hapa ili upokee habari ya kuhusu urejeshaji wa retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa  kulipa kodi ambayo inafaa kwa kutumia jukwaa kama benki, pesa kwa simu rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, Msimbo (code) wa USSD (*285#) nakadhalika.

Bonyeza hapa ili usajili malipo

Kwa habari zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyo karibu ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bila malipo 0800117000 au 0800217000 au WhatsApp 0772140000

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content