Biashara ndogo ni nini

Hii ni biashara ambayo jumla ya mauzo haizidi ShU 150,000,000 kwa mwaka Fulani.

Kwa hivyo, kwa matumizi ya kodi, URA inazingatia biashara ambayo mauzo inazidi ShU milioni 10,000,000 na haizidi milioni ShU 150,000,000, biashara hii lazima mauzo yanazidi ShU 34,000 kwa siku.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 48 times, 1 visits today)

URA ilianzisha kuhesabu kodi kwa biashara ndogo ndogo na ikalipeya jina la ‘Presumptive tax’.

Kodi hii inalipwa na wenye biashara madogo madogo.

Wamiliki wa biashara madogo madogo ambao wako kwa kategoria hii wanafaa kulipa kodi?

Hapana. Wataalamu, kwa mfano daktari wa meno, matibabu, mhandisi/injinia, Mhandisi/wahesabu wa vitabu (accountants) na kazi ya usanifu (architecture) miongoni mwa wengine hawalipi kodi.

Chini kuna viwango/vyeo vya kutoza biashara ndogo ndogo.

JUMLA YA MAUZO KWA MWAKA

KODI AMBAYO INAFAA KULIPWA

 

 

Ambayo iko na rekodi

Ambayo haina rekodi

Jumla ya mauzo ambayo haizidi ShU milioni 10

Hakuna kodi

Hakuna kodi

Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 10 na ambayo haizidi ShU milioni 30

0.4% kwa jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo inazidi ShU milioni 10

ShU 80,000

Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 30 na ambayo haizidi milioni 50

ShU 80,000 nauinaongeza/unajumuisha 0.5% kwa jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 30

ShU 200,000

Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 50 na ambayo hayazidi ShU 80

ShU 180,000 unaongeza/unajumuisha 0.6% ya jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo inazidi ShU milioni 50

ShU 400,000

Jumla ya mauzo ambayo inazidi ShU milioni 80 na ambayo haizidi milioni 150

ShU 360,000 unaongeza/unajumuisha 0.7% kwa jumla ya mauzo kwa mwaka ambayo yanazidi milioni 80

ShU 900,000

Jumla ya mauzo kwa mwaka

-Kutokana na rekodi ambazo ziko za biashara

Tafadhali jua

  1. Kodi ambayo imelipwa na mlipakodi wa ‘presumptive’ itakuwa kodi ya mwisho kwa mapato ya biashara
  2. Hakuna punguzo ambayo itakubalika kutokana na gharama au hasara ambayo inatokana na uzalishaji wa mapato ya biashara na;
  3. Hakuna krediti ya kodi ambayo inapewa wakati wa kutoa hesabu ya kodi ya ‘presumptive’ kama kodi ya kubakisha (WHT)
  4. Mlipakodi ambaye hana rekodi ya biashara atalipa idadi ya kodi ambayo tayari imeamuliwa (fixed), na kwa wale ambao wako na rekodi ya biashara watalipa asilimia ya jumla ya mauzo kwa mwaka

Unaweza kulipa kodi hii ukifuata hatua ya chini:

  1. Enda kwa tovuti ya URA; ura.go.ug;
  2. Chini cha huduma ya kielektroniki, chagua usajili wa malipo
  3. Chagua aina ya kodi kama kodi ya mapato – ya biashara ndogo ndogo.
  1. Weka TINI
  2. Waka idadi ambayo unafaa kulipa kutoka kwa mabano (bracket) ya juu
  3. Chagua aina ya malipo ambayo unafaa kulipa kama kwa (benki, simu ya rununu, EFT) na kadhalika.

Finya/Bonyeza hapa ili ufanye/utekeleza wa usajili wa malipo

Hakikisha ati umefanya malipo ya idadi ya kodi ambayo imepimiwa/tathminiwa (assessed). Unaweza kutufikia kupitia kwa moja ya ofisi yetu, kwa usaidizi piga simu kwa nambari ya bure ya; 0800117000/0800217000 au WhatsApp 0772140000

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content