UFUGAJI WA MIFUGO

Mfugaji wa mifugo ni nani?

Huyu ni mtu ama Kampuni ambayo inafanya shughuli la usimamizi na uzalishaji (breeding) wa mifugo za nyumbani kwa nia ya kupokea bidhaa kama maziwa na nyama ili kufaidika kibiashara.

Mfugaji wa mifugo hupokea mapato kutoka kwa uuzaji wa wanyama na bidhaa zao kama nyama, ngozi, maziwa na kadhalika.

Ufugaji wa mifugo, wa kuku, kilimo cha bustani (horticulture), ufugaji wa samaki na utengenezaji/usindikiaji wa bidhaa za kilimo.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 8 times, 1 visits today)

Kama unataka kusajili jina la biashara ya mifugo, unaweza kutembelea Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB).

Utapewa Cheti cha Kuingizwa (Certificate of incorporation) kama umesajili Kampuni au Cheti cha kusajiliwa kama ni jina la biashara.

    • Wana-shughuli ambao wanataka kufungua ofisi, wanafaa kupokea leseni la biashara kutoka kwa KCCA /Halmashauri ya Manispaa.
    • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA)

Kama mkulima amesajiliwa, anahitajika kutii mahitaji ya idara ya ufugaji (husbandry) wa wanyama kwa Wizara ya Kilimo, Viwanda,  Wanyama na  Uvuvi (fisheries).

 

  • Kwa mtu binafsi (individual)

    • Kitambulisho cha Kitaifa (ID)
    • Cheti cha Kusajiliwa kama ni (mtu binafsi)

    Kwa mtu asiye binafsi (non-individual)

    • Fomu ya Kampuni 20
    • Cheti cha Kusajili Kampuni / Shirika (incorporation)

    Bonyeza/finya hapa ili upokee habari  ambazo zinahitajika ili usajili biashara ya mifugo.

  • Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug.
  • Bonyeza / finya hapa ili ujisajili kama mtu binafsi
  • Bonyeza/finya hapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi (non individual)

Bonyeza/finya hapa ili upokee habari kuhusu haki na wajibu wako kama mlipakodi.

Mtu yeyote ambaye anafanya shughuli za bishara za mifugo anafaa kujisajili kwa kodi ya mapato  (kupokea TIN ). Kodi ya mapato inafaa kulipwa na watu wote ambao wanapokea mapato hata akikuwa mtu binafsi, mtu asiye binafsi/ kampuni au ushirikiano.

Retani hizi zinarejeshwa kama retani zingine.

Bonyeza/finya hapa ili upokee namna ya kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi ukitumia jukwaa (platforms) hizi ambazo ziko kama benki, pesa kwa simu rununu (mobile money), EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, USSD (Acode) (*285#) na kadhalika.

Tafadhali jua: tarehe yenyewe ya kulipa kodi ni sawa na tarehe yenyewe ya kurejesha retani.

Add to Bookmarks (0)
Skip to content