KILIMO CHA MAZAO

Kilimo cha mazao ni nini?

Kilimo cha mazao ni uzalishaji wa mazao ambazo zinajumuisha kilimo cha mimea (plants) ambayo inatumika kama malisho/vyakula vya binadamu, malisho/vyakula vya wanyama na kwa matumizi zingine za kibiashara.

Kilimo cha mazao za fedha,mazao zinapandwa kwa nia za kusafirisha nje ya nchi (exports) kama kahawa (coffee), pamba, tumbaku nakadhalika. Vyakula vya malisho zinapandwa kwa matumizi za kinyumbani na za biashara.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 33 times, 1 visits today)

Kama unataka kusajili jina la biashara ya kilimo, unafaa kutembelea Ofisi ya Huduma ya Usajili wa Uganda (URSB).

– Utapewa Cheti cha Usajili kama ni Kampuni au Cheti cha Usajili kama ni jina la biashara.

– Wahusika kwa sekta hii ambao wana mpango wa kufungua ofisi wanapaswa kupokea leseni la biashara kutoka kwa KCCA / Halmashauri ya Manispaa.

– Shirikaya Mamlaka ya Mapato Uganda kwa kodi.

Tafadhalijua.

Baada ya kusajiliwa mkulima anafaa kufuatilia/kutii mahitaji kutoka kwa Wizara wa Kilimo, Viwanda vya Wanyama na Uvuvi.

 

Kwa mtu binafsi (for Individual)

– Kitambulisho cha Kitaifa (ID)

– Cheti cha Kusajiliwa

Mtu asiye binafsi / Kampuni (non individual)

– Fomu ya Kampuni 20

– Cheti cha kusajili Kampuni

Bonyeza hapa kwa habari zaidi kuhusu kusajiliwa

Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug

– Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu binafsi

Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi / Kampuni.

 

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi.

Mtu yeyote ambaye anahusika kwa biashara ya Kilimo cha mazao anafaa kusajiliwa kwa kodi ya mapato (kupokea TIN)

Kodi ya mapato inajumuisha watu mbalimbali ambao wanapokea mapato kwa mfano mtu binafsi (individual),  mtua siye binafsi/kampuni (non individual), Ushirikiano (partnership).

Bonyeza hapa ili upokee TIN

 

Retani hii inajazwa kama retan zizingine za kodi za mapato.

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu kurejesha retani.

 

Baada ya kurejesh aretani, unafaa kulipa kodia mbayo zinafaa ukitumia majukwaa (platforms) ambazo zimepewa kama benki, pesa kwa simu rununu, EFT, RTGS, VISA, Mastakadi, USSD (code) (*256#) nakadhalika.

Tafadhali jua:

Tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

 

Kodi ya Shirika/Kampuni (Corporation tax)

Ni kodi ambayo inawekwa kwa cheo cha 30% kwa mhusika asiye mtu binafsi /Kampuni (non individuals)

Kodi ya mapato

Kodi hiii inawekwa kwa mtu binafsi kwa sekta hii, kulingana na cheo cha kibinafsi zifuatazo.

Bonyeza hapa kwa habari zaidi za kuhusiana na cheo cha kodi ya mapato.

Lipa Ukiingiza Mapato (PAYE)

Hii kodi inalipwa na mhusika ambaye anajiri (wafanyakazi wa utawala (adiminstration staff) au wa kulipwa kwa kila siku). Ambao wanapokea jumla ya malipo amazo zinazidi 235,000 kila mwezi aina hizi za kodi zinabakishwa kila mwezi.

Tafadhali jua.

WHT na VAT itawekwa kwa wahusika ambao wanafanya uzalishaji w akuongeza thamani kwa bidhaa za kilimo na kwa vyakula isipokuwa nafaka ya ngano (wheat grain).

Kodi ya kubakisha (WHT) ni kodi ya mapato ambayo inabakishwa kwa chanzo (saurce) ajenti mbakishaji (Witholding agent) kama malipo imepewa kwa mwingine (payee). Kama mkulima wa mimea amesambaza bidhaa zaidi ya milioni 1, mtu ambaye amepokea bidhaa anafaa kutoza kodi kwa cheo cha 6%. Mkulima anapewa Cheti cha Malipo ya Kodi (TCC) ambayo itatumika kwa kuondoa kodi ambayo imelipa wakati wa kurejesha ratani ya kodi ya mwisho (offsetting of debts)

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT), ni kodi kwa matumizi (consumption tax) ambayo inatozwa kwa cheo cha 18%, kwa usambazaji ambayo imefanywa na mtu anayefaa kutozwa kodi (taxable person). Cheo cha chini cha kuhutimu ili kusajiliwa kwa VAT ni mauzo ya jumla ya milioni 150, au milioni 37.5 kwa miezi mitatu za kuanza/ambazo zinafuatana.

Chini cha kilimo; bidhaa ambazo hazijasindikizwa (unprocessed product) hazitozwi VAT, inamaanisha eti mkulima ambaye anajishughulsha kwa uchuuzi (transanction) wa bidhaa ambazo hazijasindikizwa (unprocessed product ) hafai kutozwa kodi ya VAT kwa mauzo.

Bonyeza hapa ili upokee habari kuhusu kurejesha retani.

Baada ya kurejesha retani, unafaa kulipa kodi ambazo zinafaa ukitumia majukwaa zifuatazo kwa mfano kwa benki, pesa kwa simu rununu, EFT, RTGs, VISA, Mastakadi, USSD (code) (*285#) nakadhalika.

Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Maelezo

Motisha ya kodi  (Tax incentives )

Majembe

 

Jembe ni kifaa ambacho kina mkono kirefu cha kusikilia, ambacho kuna sehemu ya chuma chembamba cha kutumia kwa upaliliaji na kulima udongo (weeding and ploughing )

● Kodi ya VAT inasamehewa kama muuzaji amesajiliwa chini cha Sheria ya VAT.

 

● Kodi zote zimesahemewa kama muagizaji anafanya shughuli za kilimo chini cha Ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004.

 

Majembe (plaughs), Harrow, siida, planta na transplanti, kifaa cha kusambaza samadi na mbolea (manure and fertilizer ).

● VAT inasamehewa kama mleta bidhaa nchini amesajiliwa chini cha Sheriaya VAT.

 

● Kodi zote zimesamehewa kama muagizaji (importer) anajishughulisha kwa kilimo chini cha Ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004.

Mbolea (fertilizers)

 

Mbolea ni kifaa chochote asili au ya chanzo cha sinthentiki isipokuwa nyenzo (material )ya laimi ambayo inawekwa kwa udongo au kwa tisu ya mimea kama kwa matawi, ili kusambaza virutubisho  (nutrients) moja au zaidi ambazo ni muhimu kwa ukuazaji wa mimea (plants).

● Kodi zote zimesahemewa chini cha Ratibaya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004. Kama imepitishwa na Wizara ya Kilimo Viwanda vya Wanyama na Uvuvi.

Trekta ya kilimo

● Kodi zote zimesahemewa kama ni muuzaji (dealer) chini cha Sheriaya VAT.

 

 Kodi zote zimesahemewa kama mtu anayefanya shughuli za kilimo chini cha Ratibaya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004.

Mbegu ya kupanda, spowa (spores) na mbegu ya mimea ambayo imekatwa (plant cuttings)

 

Mbegu ni mimea ya kiinitete/embirio ambayo imefunikwa kwa ngozi ya nje (coated with outer skin).

● Kodi zote zimesahemewa chini cha Ratiba ya 5 ya Sheria ya Usimamizi wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2004. Kama imepitishwa na Wizara wa Kilimo Viwanda vya Wanyama na Uvuvi.

 

Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea ofisiya URA ili upokee usaidizi au piga simu kwa nambari ya bure 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

Add to Bookmarks (0)
Skip to content