Skip to content
Customize Consent Preferences

We use cookies to help you navigate efficiently and perform certain functions. You will find detailed information about all cookies under each consent category below.

The cookies that are categorized as "Necessary" are stored on your browser as they are essential for enabling the basic functionalities of the site. ... 

Always Active

Necessary cookies are required to enable the basic features of this site, such as providing secure log-in or adjusting your consent preferences. These cookies do not store any personally identifiable data.

No cookies to display.

Functional cookies help perform certain functionalities like sharing the content of the website on social media platforms, collecting feedback, and other third-party features.

No cookies to display.

Analytical cookies are used to understand how visitors interact with the website. These cookies help provide information on metrics such as the number of visitors, bounce rate, traffic source, etc.

No cookies to display.

Performance cookies are used to understand and analyze the key performance indexes of the website which helps in delivering a better user experience for the visitors.

No cookies to display.

Advertisement cookies are used to provide visitors with customized advertisements based on the pages you visited previously and to analyze the effectiveness of the ad campaigns.

No cookies to display.

Mtangazaji na promota

Mtangazaji/Promota ni nani?

Mtangazaji/promota ni mtu au kampuni ambayo iko na jukumu la kutangaza biashara na tukio (event) kama tamasha (concent), mashindano ya mbiyo (athletic tournaments), tukio ya kutoa usaidizi (charity event), utendaji (performance) kwa klabu ya usiku, tukio la mchezo (sports event) na tamasha (festivals).

(Visited 15 times, 1 visits today)

Promota/mtangazaji ako na jukumu la kusambaza vipeperushi (fliers), matangazo kwa redio na televisheni, kwa mtandao ya kijamii na harakati ya kutoa uhusiano mzuri kwa umma. Lengo lao kuu ni kutoa huduma thabiti  kwa kongomano/mkutano wa umma na kuhumudu bajeti iliyopewa ya kutoa matangazo.

  • Kuhakikisha eti tiketi la tukio ( event) fulani imeuzwa.
  • Promota/mtangazaji anafaa kuhakikisha eti gharama zote ziko na ankara/risiti ambazo zinahusika.
  • Anafaa kubakisha kodi kwa cheo cha 6% kwa usambazaji ambayo thamani ya ankara inazidi Ugx 1,000,000.
  • Promota/mtangazaji anafaa kuhusisha URA kwa harakati ya mkutano wa kuhusu matukio (events) ambazo zitafanywa
  • Anapaswaa kufanya jukumu la kuhakikisha eti wamepewa leseni zote;
  1. KCCA/Halmashauri ya Manispaa kwa kupokea ruhusa ya kuweka mabango (posters)
  2. Ruhusa ya kukubaliwa kutumia chombo cha kutoa kelele kama muziki
  3. Ruhusa kutoka kwa polisi ambayo inathibitisha usalaama.

Wahusika wote wa kutoa biashara ya huduma ya matangazo/mapromota Uganda wanahitajika kusajiluwa na,

– Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda  (URA) kwa kodi

– Kwa mtu asiye binafsi/kampuni (for non individuals) unafaa kusajili jina la kampuni na URSB

 

Mtu binafsi (for individual )

– Kitambulisho cha kitaifa ID

– Cheti cha Kusajiliwa

Kwa asiye binafsi/kampuni  (for non individual)

– Fomu 20 ya kampuni

– Cheti cha kusajili Kampuni

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kuhusu kusajiliwa

Unahitajika kutembelea tovuti ya URA ya www.ura.go.ug

– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi (for individual)

– Bonyeza hapa ili usajiliwe kama kampuni/mtu asiye binafsi

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi

Kodi ya kubakisha – italipwa na promota/mtangazaji kama amefanya usambazaji wa huduma kwa ajenti aliyethibitishwa kama thamani ya ankara inazidi UGX 1,000,000

Kodi ya Kuongeza Thamani (VAT) – kwa wahusika ambao wanapokea mapato kutoka kwa manejimenti ya tukio ambayo inazidi 150,000,000 kwa mwaka fulani,  wanafaa kusanya VAT kwa kila shughuli ambayo ankara imepewa (EFRIS).

Kama promota/mtangazaji wa tukio amepokea msaada kutoka kwa kampuni yoyote anafaa kupeyana ankara ya EFRIS ambayo inajumuisha VAT kwa mtoaji msaada.

Bonyeza hapa ili upokee habari ya kuhusu urejeshaji wa retani.

Baada ya kurejesha retani unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa kwa kutumia majukwaa ambazo ziko kama benki, simu rununu, VISA, Mastakadi nakadhalika.

Tafadhali jua: tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Kama unataka kupokea usaidizi zaidi, tembelea ofisi ya URA iliyokaribu kwa usaidizi au piga simu ya bila malipo 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000

Print Friendly, PDF & Email