Maduka ya mitishamba/dawa ya kienyeji

Maduka ya mitishamba ni mastoo ambazo zinauza mimea za madawa na bidhaa zingine kama viungo (spices), mafuta muhimu, mbegu, beri, mizizi, majanii, gome (bark) au mauwa za kutumia kama dawa.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 4 times, 1 visits today)

Biashara zote ambazo ziko kwa sekta ya afya Uganda zinahitajika kusajiliwa na

  • Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa biashara
  • Mamlaka ya Kitaifa cha Madawa kwa leseni (NDA)
  • KCCA/ Halmashauri ya Manispaa kwa leseni la biashara
  • Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi

Kwa mtu binafsi  (For individual )

  • ID ya Kitaifa, au mawili baadhi za hati za kujitambulisha, Pasipoti, Leseni ya kuendesha gari/chombo, Kadi ya kura, I’D ya kijiji, I’D ya kazi, I’D ya mhamiaji, Taarifa ya benki ya kisasa, Kibali cha kazi, Kadi ya fedha, Visa, Kadi ya NSSF nakadhalika
  • Cheti cha kusajiliwa (kama uko kwa biashara )
  • Taarifa ya kuhusu hati kama ni ushirikiano (if partnership)

Kwa mtu asiye binafsi  (For non individual)

  • Fomu 20 ya kampuni
  • Cheti cha kusajili kampuni/shirika

Bonyeza hapa ili upokee mahitaji ya kusajiliwa kwa kina

Unafaa kutembelea tovuti ya URA kwa ura.go.ug

Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu binafsi  (for non individual)

Bonyeza hapa ili usajiliwe kama mtu asiye binafsi/kampuni

Kodi ya mapato  (sana sana kodi ya prisamptivi)

Retani hii inajazwa namna za retani za mapato za biashara zingine

Bonyeza hapa ili upokee habari ya kuhusu namna ya kurejesha retani

 

 

Baada ya kujaza retani, unafaa kulipa kodi ambayo inafaa kwa kutumia jukwaa kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi, EFT, RTGS, Msimbo wa (code) USSD (*285# nakadhalika )

Tafadhali jua: tarehe halisi ya malipo ya kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapa ili usajili malipo

Bonyeza hapa ili upokee haki yako kama mlipakodi

Bonyeza hapa ili upokee wajibu wako kama mlipakodi

Kama haukuweza kujisajili kimtandao, tembelea ofisi ya URA iliyo karibu au piga simu ya bila malipo kwa 0800117000/0800217000 au WhatsApp: 0772140000.

 

 

Print Friendly, PDF & Email
Add to Bookmarks (0)
Skip to content