KILIMO CHA MAUA NA KUISAFIRISHA NJE YA NCHI (EXPORTS)

Kilimo cha maua ni nini?

Kilimo cha maua ni kupanda na kutafuta masoko ya  maua na mimea ya majani (foliage plant). Inajumuisha uzalishaji, usindikiaji, kutafuta masoko za bidhaa na usambazaji (distribution)

Bidhaa za maua zinajumuisha maua ambazo zimekatwa na majani (foliage), ambazo zimepandwa kwa mitungi, mimea za kutoka kwa mashamba na nyenzo (material) za uenezi (propagation).

Sekta ya kilimo cha maua ni mojawapo wa sekta ambazo zinaleta sarafu (currency) kutoka nje ya nchi (ni baadhi ya sekta kumi muhimu). Inajumuishwa kwa kuleta maendeleo karibu na milioni 30 USD kutoka kwa mapato ya nje ya  nchi. Maua za Uganda zinapandwa kwa nia za  kipekee cha kuuzwa kwa masoko za nje. Jumla ya 98% ya uzalishaji  zinasafirishwa nje ya nchi kwa mfano  Uholanzi. Kwa hizi 90% ya maua inauzwa kupita kwa mnada (auction) na 10% inauuzwa kwa Mauzo ya moja kwa moja. Sana sana kwa wanaoshughulikia maua (florists). Maua ambazo zinapandwa nchini ni maua ya rosesi ambayo zimekatwa.

Add to Bookmarks
Print Friendly, PDF & Email
(Visited 7 times, 1 visits today)

Kuchukua bidhaa na huduma nje ya nchi ambayo imetoka kwa nchi moja na halafu inauzwa kwa mnunuaji  wa kutoka kwa nchi ingine. Bidhaa na huduma ya kuchukuliwa nje ya nchi ni muhimu kwa uchumi wa kisasa kwa sababu inapea watu na makampuni masoko mengi za bidhaa na huduma.

Wakulima wote ambao wanapokea mapato kutoka kwa biashara ya kilimo wanafaa kusajiliwa na;

 Ofisi ya Huduma ya Usajili Uganda (URSB) kwa kusajili makampuni au Cheti cha Usajili kama ni mtu binafsi.

Shirika ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) kwa kodi.

Tafadhali jua;

Kama mkulima amesajiliwa, anafaa kufuatilia masharti za Mashirika za Kisheria/Statutari kama;

– Muungano ya Kitaifa cha Wakulima wa Maua  Uganda ya kusafirisha nje ya nchi (UFEA)

-Shirikisho ya Kitaifa cha Wakulima Uganda (UNFFE)

-Uganda Hortech Ltd (UHL)

– Wakulima wa Maua Uganda na Muungano ya Chama cha Wafanyakazi washirika (UHAWU) ?

Kwa mtu binafsi (individual)

–  Kitambulisho cha Kitaifa (ID)

– Cheti cha kusajiliwa

Kwa mtu asiye binafsi/kampuni  (non individual)

– Fomu 20

– Cheti cha kusajili kampuni/shirika

  • Unahitajika kutembelea tovuti ya URA kwa www.ura.go.ug
  • Bonyeza hapa ili ujisajili kama mtu binafsi (for individual)
  • Bonyezahapa ili ujisajili kama mtu asiye binafsi/kampuni (non individual ).

Kama mlipakodi unahaki na pia unawajibu ambazo unafaa kutimiza

Bonyeza hapa ili upokee haki na wajibu wako kama mlipakodi

Unafaa kuweka rekodi zote ambazo zinahusiana na shughuli za biashara zako. Unafaa kukuwa na rekodi ambazo ziko na tarehe ili ikusadie kufahamu, ripoti na muda yake, na hizi ni;

  • Rekodi ya taarifa/stetimenti ya mapato
  • Rekodi ya risiti na Ankara (invoice)
  • Vocha ya malipo
  • Ratiba ya uagizaji kama wewe ni mleta bidhaa nchini
  • Mkataba (contract) ambayo imetekelezwa/imefanywa
  • Taarifa/stetimenti ya benki
  • Mkataba wa wajiriwa na ushahidi wa malipo ya wafanyakazi.
  • Bili ya matumizi (utility bills)
  • Rekodi ya stoki
  • Wenye wanadai biashara na wenye biashara inawadai (debtors and creditors)

  • Weka rekodi vizuri vya shughuli za biashara zote kwa lugha ya kingereza.
  • Kama unataka kuweka rekodi kwa lugha tafauti, tuma maombi kwa maandiko ukiweka sababu kwa Kamishna ukiomba ruhusa.
  • Kama rekodi haijawekwa kwa lugha ya kingereza, utahitajika kugharamia mwenye kutafsiri (translations ) lugha ya kingereza ambaye amethibitishwa na Kamishna.
  • Weka rekodi ili irahisishe kuamua dhima (liability) ya kodi;
  • Weka rekodi kwa miaka mitano baada ya muda ya kodi kukamilika ambayo, inahusika ili kama kuna mahitaji mbeleni ya kukagua vitabu au hati, itakuwa rahisi
  • Unahitajika kuweka rekodi kwa muda kisicho chini cha miaka mitano, kwa wakati wowote,
  • Rekodi ambayo imewekwa inafaa kukuwa na ushahidi ambayo inatosha ya habari ya biashara na inafaa kuwekwa kwa umbizo/fomati ambayo itakuwa rahisi kubadilishwa kwa namna ya kawaida ambayo itakuwa rahisi kueleweka.

Mtu yeyote ambaye anahusika kwa biashara ya kilimo anahitajika kulipa kodi ya mapato. Kodi ya mapato inalipwa na kila mtu ambaye amepokea mapato wala kama ni mtu binafsi (individual ),  na mtu asiye binafsi/kampuni (non individual ),  na ushirikiano (partnership ).

Kodi ya Shirika/Kampuni/koparesheni (Corporation tax)?

Kodi hii inawekwa kwa kila makampuni Uganda kwa cheo cha kawaida ya 30%. Mkulima wa maua anahitajika kujisajili kwa kodi hii.

Kodi ya mapato

Hii ni kodi ambayo inawekwa kwa mtu binafsi (for individual) kwa sekta hii kwa kutumia cheo cha mtu  binafsi ambayo inafaa.

Bonyeza hapa ili upokee habari za kuhusiana na vyeo vya kodi.

Lipa Ukiingza Malipo (PAYE)

Hii kodi inalipwa na wafanyakazi kwa sekta hii ambao wanapokea mshahara juu ya UGX 235,000 kila mwezi. Mwajiri anabakisha (WHT) mshahara kwa niaba ya mfanyakazi na kuwashilisha kwa URA.

Bonyeza hapa ili upokee vyeo vya (PAYE).

Kodi ya kubakisha (WHT) italipwa na mkulima wa maua kama amesambaza maua kwa ajenti aliyethibitishwa kama thamani ya ankara (involve) ni UGX 1,000,000.

 

 

Bonyeza hapa ili upokee habari zaidi kwa namna ya kurejesha retani

Baada ya kurejesha retani, unahitajika kulipa kodi ambayo inafaa ukitumia majukwaa zifuatazo kama benki, pesa kwa simu rununu, VISA, Mastakadi nakadhalika.

Tafadhali jua; tarehe halisi ya kulipa kodi ni sawa na tarehe ya kurejesha retani.

Bonyeza hapa ili usajili malipo

Add to Bookmarks (0)
Skip to content