Bidhaa yanaoonekana (tangible) inaweza kufafanuliwa kama kifaa chochote ambacho kwa hatua fulani inawonekana, inawezashikwa kwa mkono, inaweza pimwa, kunushwa...
Usindikiaji (processing) wa kilimo ni sekta ndogo ya utengenezaji wa kutumia nyenzo (material) za kilimo (agricultural raw materials) na zinatengenezwa kuwa bid...
Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo ...
Utengenezaji/usindikiaji wa nguo ni mchakato wa kubadilisha mali ghafi (raw material) kwa nyuzi (threads) ili kutengeneza nguo na vitambaa kwa kutengeneza, kush...
Maduka ya mitishamba/Maduka za madawa za kienyeji ni mastoo ambazo zinauza mimmea za madawa za kienyeji na bidhaa zingine ambazo zinahusiana kama viungo (sp...
KAMPUNI YA KUSAFIRISHA SAMAKI NJE YA NCHI Kusafirisha samaki nje ya nchi, ni harakati ambayo serikali inaruhusu makampuni na wanabiashara wadogo kuuza bidhaa za...
Mvuvi na Mchuuzi wa samaki ni watu gani? Mvuvi ni mtu ambaye anavua samaki ya kuliwa na ya kuuza. Mchuuzi wa samaki (fishmonger) ni mtu ambaye anayeuza samaki k...
Usindikiaji wa samaki ni nini? Usindikiaji wa samaki inajumuisha shughuli ambazo zinaongeza thamani kwa samaki ya kuwashilisha/kuchukua kwa wateja. Hapa Uganda ...
Ufugaji wa kuku nine? Ufugaji wa kuku ni ukuzaji/ufugaji wa wa ndege kama kuku, batamzinga (turkeys), na bukini (geese) ya kibiashara au ya matumizi ya nyumbani...