UFUGAJI WA MIFUGO

by
Mfugaji wa mifugo ni nani? Huyu ni mtu ama Kampuni ambayo inafanya shughuli la usimamizi na uzalishaji (breeding) wa mifugo za nyumbani kwa nia ya kupokea bidha...
Read more
5 months ago
by
UFUGAJI WA MIFUGO

Suluhu Ya Kutoa Risiti Ya Fisikali/Kifedha Cha Kielektroniki Na Ankara (Invoicing) (Efris).

by
Utangulizi (introduction) Ufafanuzi wa EFRIS ni Risiti ya kifedha/fisikali ya Kielektroniki na Suluhu ya kutoa ankara. EFRIS ni ubunifu chini cha programu ya ku...
Read more
5 months ago
by
Suluhu Ya Kutoa Risiti Ya Fisikali/Kifedha Cha Kielektroniki Na Ankara (Invoicing) (Efris).

SEKTA YA USAFIRISHAJI

by
Sekta la usafirishaji inajumuisha nini kwa mambo ya kodi ? Sekta ya usafirishaji Uganda inaweka manane (empasies) kwa magari za mizigo na za abiria kwa kusudi y...
Read more
5 months ago
by
SEKTA YA USAFIRISHAJI

SEKTA YA BURUDANI – (Overview of Entertainment)

by
Burudani ni nini? Burudani ni shughuli ambayo inavutia umakini na nia ya watazamaji au inaleta raha. Burudani ya umma inajumuisha shughuli kama tamasha (concert...
Read more
6 months ago
by
SEKTA YA BURUDANI – (Overview of Entertainment)

Sekta Ya Jumla Na Rejareja

by
Biashara ya jumla ni nini? Biashara ya jumla ni ununuzi wa bidhaa kwa wingi kutoka kwa watengenezaji au wasambazaji na kuziuza kwa muuzaji rejareja kwa kiasi ki...
Read more
6 months ago
by
Sekta Ya Jumla Na Rejareja

Mwenye nyumba ni nani?

by
Huyu ni mtu ambaye hutoa mali isiyohamishika (ardhi na au majengo) kwa mtu mwingine (mpangaji) kwa malipo. Mtu anaweza kuchukua fomu ya: mtu binafsi, kampuni, a...
Read more
6 months ago
by
Mwenye nyumba ni nani?

Mtengenezaji wa bidhaa yanaoonekana (tangible). (Manufacturing of tangible products)

by
Bidhaa yanaoonekana (tangible) inaweza kufafanuliwa kama kifaa chochote ambacho kwa hatua  fulani inawonekana, inawezashikwa kwa mkono, inaweza pimwa, kunushwa...
Read more
7 months ago
by
Mtengenezaji wa bidhaa yanaoonekana (tangible). (Manufacturing of tangible products)

Kiwanda Cha Usindikiaji Wa Kilimo

by
Usindikiaji (processing) wa kilimo ni sekta ndogo ya utengenezaji wa kutumia nyenzo (material) za kilimo (agricultural raw materials) na zinatengenezwa kuwa bid...
Read more
7 months ago
by
Kiwanda Cha Usindikiaji Wa Kilimo

Muhtasari Ya Sekta Ya Kiwanda/Kutengeneza Bidhaa

by
Viwanda/kutengeneza bidhaa ni harakati ya usindikiaji (processing) wa mali ghafi (raw materials) au vipande vya vifaa (parts) vya bidhaa ili ziwe bidhaa ambazo ...
Read more
9 months ago
by
Muhtasari Ya Sekta Ya Kiwanda/Kutengeneza Bidhaa

Kiwanda Cha Kutengeneza/Usindikiaji Wa Nguo (Textile Processing Industry)

by
Utengenezaji/usindikiaji wa nguo ni mchakato wa kubadilisha mali ghafi (raw material) kwa nyuzi (threads) ili kutengeneza nguo na vitambaa kwa kutengeneza, kush...
Read more
1 year ago
by
Kiwanda Cha Kutengeneza/Usindikiaji Wa Nguo (Textile Processing Industry)

SEKTA YA USAFIRISHAJI – Waendeshaji na wenye Boda boda

by
Nani ni mwendeshaji /mwenye boda boda? Hii ni mtu binafsi /kampuni ambayo inafanya shughuli/operesheni ya pikipiki/boda boda kwa biashara.
Read more
1 year ago
by
SEKTA YA USAFIRISHAJI – Waendeshaji na wenye Boda boda

MADUKA YA MITISHAMBA /MADAWA YA KIENYEJI (Herbal Shops)

by
Maduka ya mitishamba/Maduka za madawa za kienyeji ni mastoo  ambazo zinauza mimmea za madawa za kienyeji na bidhaa zingine ambazo zinahusiana kama  viungo (sp...
Read more
1 year ago
by
MADUKA YA MITISHAMBA /MADAWA YA KIENYEJI (Herbal Shops)

BIDHAA ZA SAMAKI YA KUSAFIRISHA/MAUZO YA NJE – (Fish Products Export)

by
KAMPUNI YA KUSAFIRISHA SAMAKI NJE YA NCHI Kusafirisha samaki nje ya nchi, ni harakati ambayo serikali inaruhusu makampuni na wanabiashara wadogo kuuza bidhaa za...
Read more
1 year ago
by
BIDHAA ZA SAMAKI YA KUSAFIRISHA/MAUZO YA NJE – (Fish Products Export)

MVUVI NA WACHUUZI WA SAMAKI – (Fisherman and fishmongers)

by
Mvuvi na Mchuuzi wa samaki ni watu gani? Mvuvi ni mtu ambaye anavua samaki ya kuliwa na ya kuuza. Mchuuzi wa samaki (fishmonger) ni mtu ambaye anayeuza samaki k...
Read more
1 year ago
by
MVUVI NA WACHUUZI WA SAMAKI – (Fisherman and fishmongers)

USINDIKIAJI WA SAMAKI – (Fish processing)

by
Usindikiaji wa samaki ni nini? Usindikiaji wa samaki inajumuisha shughuli ambazo zinaongeza thamani kwa samaki ya kuwashilisha/kuchukua kwa wateja. Hapa Uganda ...
Read more
1 year ago
by
USINDIKIAJI WA SAMAKI – (Fish processing)

Magari ya Mizigo

by
Hizi ni taarifa kuhusu magari ya mizigo
Read more
1 year ago
by
Magari ya Mizigo

UFUGAJI WA KUKU

by
Ufugaji wa kuku nine? Ufugaji wa kuku ni ukuzaji/ufugaji wa wa ndege kama kuku, batamzinga (turkeys), na bukini (geese) ya kibiashara au ya matumizi ya nyumbani...
Read more
1 year ago
by
UFUGAJI WA KUKU

MTANGAZAJI NA PROMOTA (Promoters or Events Managers)

by
Mtangazaji/Promota ni nani? Mtangazaji/promota ni mtu au kampuni ambayo iko na jukumu la kutangaza biashara na tukio (event) kama tamasha (concent), mashindano ...
Read more
1 year ago
by
MTANGAZAJI NA PROMOTA (Promoters or Events Managers)
Add to Bookmarks (0)
Skip to content